Mnaoagiza magari nje mnapata wapi dola?

Mnaoagiza magari nje mnapata wapi dola?

Wakuu habari zenu.

Naomba kuuliza kwa wajuzi wa mambo hasa kwenye kufanya malipo kwenda nje ya nchi. Leo nimeshindwa kulipia gari Japan sababu kubwa ni dollar, niliienda NMB wakasema mwisho kuchange ni $100.

Nimeshindwa kuelewa, ina maana hata kama Pesa ipo kwa account yangu inakuwa ngumu kufanya payment? Hata kuexchange pesa juu kwa juu inakuwa shida?

Nilikuwa najua kupata noti ya dollar ndo kipengele, hata kwa Pesa iliyo kwa account kubadili kuwa dollar nayo ni kipengele???.

Nataka kulipia gari Japan, naombeni msaada bank ambayo haina MBAMBAMBA.
Hongera kwa kutujulisha kutaka uagizie Gari. Aaaahhh Hii ya dollars umechomekea tu.
 
Wakuu habari zenu.

Naomba kuuliza kwa wajuzi wa mambo hasa kwenye kufanya malipo kwenda nje ya nchi. Leo nimeshindwa kulipia gari Japan sababu kubwa ni dollar, niliienda NMB wakasema mwisho kuchange ni $100.

Nimeshindwa kuelewa, ina maana hata kama Pesa ipo kwa account yangu inakuwa ngumu kufanya payment? Hata kuexchange pesa juu kwa juu inakuwa shida?

Nilikuwa najua kupata noti ya dollar ndo kipengele, hata kwa Pesa iliyo kwa account kubadili kuwa dollar nayo ni kipengele???.

Nataka kulipia gari Japan, naombeni msaada bank ambayo haina MBAMBAMBA.
Kuna wazee wako huko vijijini akili zao mpaka leo zipo ccm sawa na wazee wenzao wa huko South Africa bado wana akili za ANC.. nchi hii yahitaji mabadiliko walioko hawafai hata kugombani..

Tatizo upinzani nao hawako serious kwenye wanachokifanya.
 
Wakuu habari zenu.

Naomba kuuliza kwa wajuzi wa mambo hasa kwenye kufanya malipo kwenda nje ya nchi. Leo nimeshindwa kulipia gari Japan sababu kubwa ni dollar, niliienda NMB wakasema mwisho kuchange ni $100.

Nimeshindwa kuelewa, ina maana hata kama Pesa ipo kwa account yangu inakuwa ngumu kufanya payment? Hata kuexchange pesa juu kwa juu inakuwa shida?

Nilikuwa najua kupata noti ya dollar ndo kipengele, hata kwa Pesa iliyo kwa account kubadili kuwa dollar nayo ni kipengele???.

Nataka kulipia gari Japan, naombeni msaada bank ambayo haina MBAMBAMBA.
Akitoka Korea kusini atakujibu.
Yeye anapata wapi dollar za kusafiria?
 
Jiulize mtu kama niffer anayesafiri kila day na kuleta mizigo ya milions anazipataje. Mjini hapa watu wanafanya biashara ya dollar fresh tu
Unaweza ukapata kwa kukusanya kidogo kidogo hizo usd 100 wanazotoa Nmb mpaka ukafikia kiasi unachotaka. Pia nilichojifunza zinatolewa kwa kujuana au connection maana kuna watu wanazipata kwa kuomba kibali maalum.
Kuna umuhimu wa kufungua account ya USD kama wewe ni mfanyabiashara maana tshs inaporomoka kwa kasi kila kukicha
 
Back
Top Bottom