Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 933
- 2,544
Kama una mpango wa kununua gari kupitia yard au gari zilizo nchini tayari kuwa makini sana na haya maneno mawili;
1. AFTER MVUNJOO
2. JUST ARRIVED FRESH FROM JAPAN
Haya maneno mawili yanatumiwa sana na madalali kuuza magari yaliyokaa sana.
Msemo wa kwanza AFTER MVUNJO unatumiwa kuuza gari hata kama sio ya mvunjo, lengo ni kuluaminisha kuwa mwenye gari alikuwa anaitumia haina ubovu ameamua kuji upgrade na gari ya bei juu zaidi( of coz huwezi kuvunja utoke kwenye Prado uende kwenye Crown) So mteja utaamini gari ni nzima kumbe kiuhalisia mwene nalo wala hajavunja ameliuza kwa sababu linamsumbua.
JUST ARRIVED/ FRESH FROM JAPAN.
Hii sasa nimetuma mtu kulipia kaomba document zinaonesha ipo nchini miaka 2 sasa, hii inakuwa ni used nje kweli na inakuwa mpya kwa huko bongo. Ila shida unapoambiwa just arrived unaamini ni mpya. Kiuhalisia hizi huwa wanaziendesha na chasisi number na hawafanyi service wakiamini mteja akija atafanya service. So hapa unaweza kuuziwa gari limeuliwa kwa kukosa service.
My take kama hauwezi kusubiri itoke Japan au kwingineko, nunua gari kwa dealer alienyooka. Hakikisha anakupa uhakika au warranty in case of chochote. Sio dealer unatoka na gari saa 3 asubuhi ukimtafuta mchana anakuruka.