Mnakumbuka kashfa hii?

umasikini wenu ndio unawafanya mlishwe vitu vya ajabu

pia upumbavu wenu wa kupenda vitu kutoka nje na kuona ndio vizuri kuliko vya apa

hivi nile mchele kutoka nje kwa lipi kwanza, wakati mchele unalimwa MBEYA,MOROGORO,SHINYANGA NA MWANZA tena bei poa kabisa

uzembe
 
[QUOTE ]Binti Kirembwe, post: 28760380, member: 429922"]Let's all hope for the better for him
All what we need is his safety[/QUOTE]

Naaam nikweli " tumuombee hiLo " ijapo kuwa inner voice ina niambia kuwa .. hawezi kurudi na akirudi basi ni dead body .. sijui kwanini but najikuta tu nina fikwa na hiyo imani
 
Mohamed Enterprises...wahusika woote wa kesi walikufa wakiwemo wakemia wakuu wawili,ahakimu,muendesha mashtaka,mashahidi...na kesi yenyewe imekufa...mwenye mali sasa ni mbunge...mjadala closed
Makamanda sijui kama Leo mtasimamia hili
 
Hivi hawa waAsia mbona wanatutawala kiasi hiki?
Kuna mtu yeyote mwenye asili ya kitanzania huko Uarabuni au India ambaye ana cheo hata cha ukatibu kata?
Msinione mbaguzi jamani lakini hawa watu wanaongoza katika kutuharibia nchi yetu na ndio maana Idd Amini aliwatimua.
Sijui Jeetu Patel mara Rostam Azizi mara Dewj.
Africans sijui tumelogwa na nani!!
Do not judge by colour judge by citzenship
 
Hivi hawa waAsia mbona wanatutawala kiasi hiki?
Kuna mtu yeyote mwenye asili ya kitanzania huko Uarabuni au India ambaye ana cheo hata cha ukatibu kata?
Msinione mbaguzi jamani lakini hawa watu wanaongoza katika kutuharibia nchi yetu na ndio maana Idd Amini aliwatimua.
Sijui Jeetu Patel mara Rostam Azizi mara Dewj.
Africans sijui tumelogwa na nani!!
Kuliko wakolomije
 
Wana JF nafikiri wengi mnakumbuka kasha ya mchele mbovu iliyotokea miaka ya tisini.

Nasikia ndiyo iliyosababisha kifo cha mkemia mkuu wa wakati huo, nasikia kampuni iliyo husika na kashfa hiyo bado inapeta na si ajabu bado inaendelea kuagiza mchele mbovu.

Je, tutafika?
😆😆😆😆
 
Ilikuwa ni kashfa ya ngano. Mkemia Mkuu akala ile ngano akakata roho.
Nadhani sasa Mkemia Mkuu ameshajifunza. Hivyo vyakula ni vya kutazama tu kwenye microscope-- diyo vya kula.
 
Mohamed Enterprises...wahusika woote wa kesi walikufa wakiwemo wakemia wakuu wawili,mahakimu,muendesha mashtaka,mashahidi...na kesi yenyewe imekufa...mwenye mali sasa ni mbunge...mjadala closed
Nchi ngumu sana hii, ndio maana ameanza kuwapora mashabiki limunyama, anadai alinunua. Familia hatari.
 
Wana JF nafikiri wengi mnakumbuka kasha ya mchele mbovu iliyotokea miaka ya tisini.

Nasikia ndiyo iliyosababisha kifo cha mkemia mkuu wa wakati huo, nasikia kampuni iliyo husika na kashfa hiyo bado inapeta na si ajabu bado inaendelea kuagiza mchele mbovu.

Je, tutafika?
Kampuni husuka inafadhili klabu moja ya soka hapa Tanzania!

Ni wauaji, makatili kwa kifupi ni mashetani!
 
Back
Top Bottom