Mnakumbuka kashfa hii?

Bora mimi Toka Siku Nyingi siku Chakula Chochote cha Nje...Wakinipata Labda kwenye Vinywaji kama nako wanachakachua
MAANA MIMI NI HIVI:
>>> Mchele: Kyela,Kilombero,Shinyanga,Magugu,Igunga,Tabora,Moshi N.k
>>> Mahindi Nalima Mwenyewe
>>> Ngano ya Basutu
>>> Nyanya za Morogoro,Iringa,Handeni,KIlimanjaro
>>> Matunda ya Handeni ,Kilosa, Lushoto
>>>Mafuta ya Alizeti tu! Kutoka Popote Tanzania Haswa Singida
>>> Nawaonea HURUMa wale wasio Thamini vya kwao ndo watakoma
Mkuu kwetu haviko
 
Hivi hawa waAsia mbona wanatutawala kiasi hiki?
Kuna mtu yeyote mwenye asili ya kitanzania huko Uarabuni au India ambaye ana cheo hata cha ukatibu kata?
Msinione mbaguzi jamani lakini hawa watu wanaongoza katika kutuharibia nchi yetu na ndio maana Idd Amini aliwatimua.
Sijui Jeetu Patel mara Rostam Azizi mara Dewj.
Africans sijui tumelogwa na nani!!
Kwani hawa ni waAsia? Si ni Watanzania wa kuzaliwa?
Dhambi ya ubaguzi haimaliziki
 
Luteni General Abrahaman Shimbo Na Trillions 4.3 Kwenye Nbc Bank South Africa

Akasafishwa Kwa Dodoki Na Detal Hadi Akatakata Akawa Ambassador China
 
Bora mimi Toka Siku Nyingi siku Chakula Chochote cha Nje...Wakinipata Labda kwenye Vinywaji kama nako wanachakachua
MAANA MIMI NI HIVI:
>>> Mchele: Kyela,Kilombero,Shinyanga,Magugu,Igunga,Tabora,Moshi N.k
>>> Mahindi Nalima Mwenyewe
>>> Ngano ya Basutu
>>> Nyanya za Morogoro,Iringa,Handeni,KIlimanjaro
>>> Matunda ya Handeni ,Kilosa, Lushoto
>>>Mafuta ya Alizeti tu! Kutoka Popote Tanzania Haswa Singida
>>> Nawaonea HURUMa wale wasio Thamini vya kwao ndo watakoma
Kwa mujibu wa science ya chakula na Vyombo vyetu vya kudhibiti ubora hayo mafuta ya alizeti unayokula kwa vile yalivyo siyo chakula, ni malighafi, sorry kwa kukosa maarifa
 
Upo ni mzuri watu wanaumezea mate ila umbumbu wetu wa kuendekeza siasa kuliko mambo mengine ya muhimu unatuponza. Juzi ninilikwa m,alawi nimekuta Mchele upmechambuliwa vizuri na kupakiwa vizrui na nembo ya Kilomero rice. bei yake hugusi, unaliwa na watu wa kada fulanbi tu. Huku badala ya kul;ipa wataalam wafanye kazi kwa moyo tunalipa wansiasa wabunge bila kujali darasa. wataalamu wanaangaika mtaani.
Mkuu ile kilombero ya malawi haitoki kilombero mkuu sorry, nimeishi sunny side Blantyre for two years na area 43 Lilongwe for 15 months ninataarifa za kutosha kuwa ule mchele hautoki Tanzania, Ila sehemu ya nchele wa Kyela unatoka Karonga malawi
 
Kwanini makampuni yaruhusiwe kuagiza mchele kutoka nje wakati tunao mwingi wa kututosha?
Tanzania hatuna mchele wa kutosha mkuu, tuna maeneo mengi ya kulima but production yetu bado IPO chini Sana na gharama ya kuzalisha IPO juu mno. ,ukirogwa ukazuia kile ulichokiona kwenye sukari kitatokea kwenye mchele pia
 
Daaahh !!!! kaburi limefukuliwa ... kwa hiyo mnataka kutuambia kuwa haya ni matokeo ya KARMA
 
Mnafukuaa Makaburi ukute wengine walishatangulia Mbele za hakii...!! Aisee Kweli Jamii forum balaaa
 
Back
Top Bottom