kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,095
- Thread starter
- #61
Mimi wanaume wa hivyo sipendagi kabisaNimewaza tu
Si ndio walewale wa upako
Mimi wanaume wa hivyo sipendagi kabisaNimewaza tu
Si ndio walewale wa upako
Amefanya jambo la maana kuachana na hiyo kazi mapema aiseeNina rafiki yangu tulisoma utumishiTanga wote, sasa tupo kitaa jamaa akapata kusimamia lodge kule chamazi mbili ila zipo jirani.
Yule jamaa anasema kwa mwezi kwa zile lodge mbili alikuwa anafunga hesabu hata ya 10 million yeye alikuwa analipwa 500,000 lakini pamoja na hayo acha zile anazotia mfukoni.
Rafiki yang huyu licha ya kulipwa lakini kila tukikaa ananiambia kwamba hii kazi anaacha kufanya kutokana na kila muda kutafuna wanawake.
Anakwambia demu analetwa pale harafu anatelekezwa, yaan mtu anamkimbia, sasa unafika wakati wa kubadirisha mashuka nakwenda vyumbani unamkuta demu kaachwa hana hata mia, wengine wanakwala mpaka simu.
Anamuhoji utakuta demu anatoka mlandizi au bunju hivyo hana hata mia ya kurudia kwao, basi anampa uchi ili ampe nauli ya kufika kwao.
Sasa anakwambia iwe mchana, asubuhi mwenyew kazipa jina la NDAZA anakwambia unakuta demu mkali basi nawe unapiga kimoja unampa 2000 au 4000 nauli ya kumfikisha bunju huko.
Yule jamaa alipopata fedha akaenda vetq sasa hivi yupo kwenye maroli ya mafuta
Unapenda wanaume kama mimi😍Mimi wanaume wa hivyo sipendagi kabisa
Napenda watulivu wasio na mambo mengi wenye pesa😊Unapenda wanaume kama mimi😍
Aliniletea nikaila nikaondoka kwa hasira😁😁Kitimoto alikuletea au ukimwachia ale kwa hasira?
Imeisha sikumpa mkuuKaishia njiani 😂😂😂😂
Alibidi aanze kuniapproach nikikubali ndiyo aombeAsingefanya haraka vipi, ungempa siku nyingine?
Muda mchache sana wa kuishi hapa DunianiHupoi
Sasa si nimempa kitumoto aliyenunuahaha kwanini unaletewa kitimoto hutaki kutoa kitumoto
🙂
Nini hiki?Nimacho yangu au uzi wako umekaa kama View attachment 3293022
Endelea kufurahiFuraha
Unaumia nini mkuu? Enheee wakikupiga ban unanifanyaje?Una miaka 25 ila ushatembea miles nyingi sana mpaka wazee wa miaka 50 washakulalia kwa juu
Ole wake mods wanipige ban kwa hii comment wewe Mods kimbelembele kupiga watu ban kila wanaposema ukweli kaa mbali
Mtu akijaribu kuvaa viatu vyangu hawezi kutembea😁😁🙌Ila binti sayuni una mapito mengi.. 😹😹
Ingependeza tufurahi pamojaEndelea kufurahi
Wewe unapenda sana kupigwa bomba story zako nyingi ni za kugongwa inaonekana ndio kitu unakipenda sana kupigwa mitiUnaumia nini mkuu? Enheee wakikupiga ban unanifanyaje?
Ushapigwa sana miti hadi hapo ulipofikia ila mhudumu wa guest ukamkazia maana alikuona kwamba wewe ndio kitu unapenda zaidi kuliko kitu kingine sasa unakaaje bila kugongwa na hujagongwa na jamaa yako si akataka akusaidie kukugonga na unavyopenda kugongwa umeliweka mpaka leo unalisimulia JF maana yake jamaa angekaza kidogo tu angekuwa ameshakugonga na hapa ungekuja na story nyingine jinsi ulivyosuguliwa na mhudumu wa guest akakupa upakoMtu akijaribu kuvaa viatu vyangu hawezi kutembea😁😁🙌
Ila mimi ntamtetea Binti Sayuni03Wewe unapenda sana kupigwa bomba story zako nyingi ni za kugongwa inaonekana ndio kitu unakipenda sana kupigwa miti
ohoooooo, kwa namna ninavyokujua kwa hasira ukampa akaila ili asikusumbue tenaAliniletea nikaila nikaondoka kwa hasira😁😁