kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,099
- Thread starter
- #41
Alikuwa mpenzi wanguAlikuwa mume wako?😎
Alikuwa mpenzi wanguAlikuwa mume wako?😎
Hapana sikumpa huyo kijana niliondoka zangu nisingeweza kufanya upuuzi kama huoMalizia stori sasa, si ulimpa maana wewe ulitaka mlale ila jamaa alikuwa na haraka posibly hakutimiza haja zako
Aya chukua bia mbili hapoAcha madharau dogo yani ninywe soda iniletee nyuki? Nakunywa bia uje kulipa chap
Kitimoto alikuletea au ukimwachia ale kwa hasira?Hapana sikumpa huyo kijana niliondoka zangu nisingeweza kufanya upuuzi kama huo
Hizo Mambo nimezifanya mno,upwiru ni kitu Cha kipekee mno ktk dunia hii 🙏,katika maisha yangu nimetembea na wapangaji wangu watatu tofauti tena mala baada tu ya kuingia ktk nyumba tangu
Kwahiyo bado unaendeshwa na upwiru?Hizo Mambo nimezifanya mno,upwiru ni kitu Cha kipekee mno ktk dunia hii 🙏,katika maisha yangu nimetembea na wapangaji wangu watatu tofauti tena mala baada tu ya kuingia ktk nyumba tangu
Nieleweshe tafadhali ukifanya ngono na unaempenda, ila sio mume, unampenda tu. Unakuwa unazini?Alikuwa mpenzi wangu
Wala siyo chai nawakumbusha vijana waache uzinzi
Huyu kijana hakuwa na nidhamu, huwezi kutaka kupewa na mwanamke asiye mpenzi wako kiharaka hivyo na tena ametoka kufanya na mpenzi wakeUliogopa mimba?
Maana tayari ingekuwa ya huyo aliyekukojolea awali
Uliogopa kuchafuliwa?
Mbona tayari ilishachafuliwa
Ulimchukia kijana kakuchukuliaje?
Mume na mke hufanyia home,hivyo tunavyochukuliwa tunaoenda kupigwa huko roomuni ni sahihi tu
Nilipo oa najiona mwenye makosa nimetubu na kumrudia mokozi bado weweKwahiyo bado unaendeshwa na upwiru
Ndiyo unakuwa umezini mkuuNieleweshe tafadhali ukifanya ngono na unaempenda, ila sio mume, unampenda tu. Unakuwa unazini?
Nikikutana na mwanamke nikampenda muonekano wake nkafanya ngono. Nimezini ama sio?
Asingefanya haraka vipi, ungempa siku nyingine?Huyu kijana hakuwa na nidhamu, huwezi kutaka kupewa na mwanamke asiye mpenzi wako kiharaka hivyo na tena ametoka kufanya na mpenzi wake
Kaishia njiani 😂😂😂😂Mbona hujamalizia story my?
Ningekuwa nachagulia watu mume na mke ningewaunganisha holoholo wa enzi hizo na Binti Sayuni03 😂😂🤣Nl
Nilipo oa najiona mwenye makosa nimetubu na kumrudia mokozi bado wewe
Binti Sayuni03 nam pm kila mala hataki kunijibuNingekuwa nachagulia watu mume na mke ningewaunganisha holoholo wa enzi hizo na Binti Sayuni03 😂😂🤣
Tungeshuhudia vituko balaa
Kwani yeye Binti Sayuni03 hajipendi. Anatambua kuna wababe zaidi yake😂Binti Sayuni03 nam pm kila mala hataki kunijibu
Hongera umeupiga mwingi sana, ngoja na mimi nitafute mwanaume mwenye pesa anioeNl
Nilipo oa najiona mwenye makosa nimetubu na kumrudia mokozi bado wewe
Huyo mume wa mtu sitaki matatizoNingekuwa nachagulia watu mume na mke ningewaunganisha holoholo wa enzi hizo na Binti Sayuni03 😂😂🤣
Tungeshuhudia vituko balaa
Kwanini umewaza hivyoKwani yeye Binti Sayuni03 hajipendi. Anatambua kuna wababe zaidi yake😂