kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,095
Kuna mtu humu aliwahi kuandika uzi kuhusu kumalizia upako kama alivyoita mwenyewe.
Alisema alikuwa anafanya kazi nyumba za kulala wageni kwahiyo wateja wanaokuja na wenzi wao wakimaliza mambo yao mwanamke akibaki ndiyo wanaenda kumalizia sasa huo upako.
Kuna siku moja zamani sana nilikuwa na mwanaume wangu tukawa tumeenda lodge sasa kwa huku mbele kama kuna Bar wanapika kitimoto nikawa nimemuagiza huyo kaka kitimoto nilichukua na namba yake ili iwe rahisi kumuagiza.
Sasa ile kitimoto ilichelewa nakumbuka nikawa nampigia namkumbusha atuletee maan nilikuwa nina ubao, sasa ikatokea yule mtu wangu akawa na haraka akaondoka, mimi nikabaki nikala nikawa navuta muda kidogo niondoke.
Yule kijana si akanipigia coz alimuona yule mtu alivyoondoka eti anataka aje nimpe, kuna watu ni wa ajabu sana jamani unapata ujasiri wapi kula alipokula mwenzio muda mchache tu uliyopita, hizi tamaa za ngono zitawaua vijana mnaofanya kazi nyumba za kulala wageni msipoweza kujicontrol.