Mnakumbuka Enzi hizo?????

so far so long. Kamata hii!

Zooom! Zoooom!zoooom!
eeh mama nyuki liawe x2

Toka mbali kutafuta ua zuri la chakula
Zoooom!zooom zoooom
Malizia ..............
 
Sisi vijana hodari, tulio hapa kambini. Twaishi bila jeuri, ingawa tuko porini. Twaijenga jamhuri, kwa jasho letu nchini. Jamhuri letu tukufu, nguzo ni sisi vijana.
Nguzo ni sisi vijana, tujengao jamhuri. Hatutaki kupigana, wala kufanya kiburi. Tunataka kuungana, tetende mambo vizuri. Jamhuri letu tukufu, nguzo ni sisi vijana. ..........!! Hili shairi nalikumbuka hadi leo kwa sababu ya ujumbe iliobeba!!
 
platozoom unakumbuka enzi hzo pale sabasaba shule ya msingi tulikuwa tunakalia mawe na vipande vya magogo? unakuta mtu anapanga mawe kama mafiga matatu afu anaweka jiwe bapa juu yake. weee ole wako ukakie!

Acha tuu..ilikuwa balaa.......ila tulikuwa tunaona poa tu, nakumbuka kama huna dawati subiri msimu wa mtihani wenyewe watakukaribisha!!.......akina...........(wababe fulani). Kumbe na wewe ulikalia mawe..........nilifikiri utazuga ulisoma saint academy lol!
 
Acha tuu..ilikuwa balaa.......ila tulikuwa tunaona poa tu, nakumbuka kama huna dawati subiri msimu wa mtihani wenyewe watakukaribisha!!.......akina...........(wababe fulani). Kumbe na wewe ulikalia mawe..........nilifikiri utazuga ulisoma saint academy lol!

hahaha, hapo uwe uko vizuri ndo utakaribishwa, otherwise inakula kwako. kha kwanini nijidanganye kuwa mesoma st.academy wakati hata kuvisit hizo shule sikuwahi? huo ni ulimbukeni square!!!!!
 
Bata kavaa chachacha, Kuku kapanda baiskeli,
juma kanunua chakacha, kumbe ni uharo wa bata

kuna wimbo nilikuwa naupenda:
kijani kibichi cha mpilipili,
shule yetu ina raha mama weeeh,
ilivyo karibu na barabara.
Vyombo vya pwani twapata bila shida
 
Kwa wale tuliosoma zamani ilikuwa raha sana.......angalia mwenyewe


545333_10151091437051915_166262849_s.jpg
Jogoo na Pazi
Sizitaki mbichi hizi ha ha ha sungura mjanja sana
3726_10151091435711915_1221831756_s.jpg




Hiki kitabu bado kipo kweli........................


643936_10151091433896915_967793994_n.jpg

I like this wallahi! Umenikumbusha enzi zile.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom