Mnakumbuka Enzi hizo????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnakumbuka Enzi hizo?????

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Dena Amsi, Oct 11, 2012.

 1. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Kwa wale tuliosoma zamani ilikuwa raha sana.......angalia mwenyewe


  [​IMG] Jogoo na Pazi
  Sizitaki mbichi hizi ha ha ha sungura mjanja sana [​IMG]  Hiki kitabu bado kipo kweli........................


  [​IMG]
   
 2. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,353
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Umenikumbusha mbali sana!! Enzi hizo za Mwalimu Nyerere ambapo nilikuwa darasa moja na Mzee Mwanakijiji! OMG! Those old good days. Ahsante Dena Amsi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Kibanga ampiga mkoloni, hekaheka mtoni,.....
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160

  We Arushaone muongo wewe ulikuwa darasa moja na Mzee Mwanakijiji??? Mmmhhh haya bana
   
 5. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #5
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160

  Siku hizi havipo hivi bana............................
   
 6. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Na zile hesabu za majira ya nukta, magazijuto, k.k.s, k.d.s, namba za kirumi, badili sehemu kuwa desimali, tafuta eneo la sehemu iliyotiwa kivuli (tumia pai 22 juu ya 7) na mengine kibao.....

   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,069
  Likes Received: 6,529
  Trophy Points: 280
  Zama zetu tulikuwa na saa na taa.
   
 8. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #8
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Faciliatator hiyo kitu inaitwa hesabu ilikuwa inaniumiza kichwa mbaya sana eti tafuta kipenyo, sijui engo aaahhh dah umenikumbusha mwalimu mmoja alikuwa mkali huyo ukikosa hesabu mbili fimbo mbili ukikosa kumi fimbo kumi na hatanii hata siku moja na alikuwa haumwi kabisa tangu nianze shule hajawahi kukosa dah
   
 9. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #9
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Haswa na ilikuwa poa .............................
   
 10. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Ulikuwa unapenda somo gani dena??
   
 11. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #11
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  English...................
   
 12. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,095
  Likes Received: 10,453
  Trophy Points: 280
  Nimekumbuka mbali sana.....
  Enzi hizo kuwahi saa moja asubuhi kushika namba....njiani mkononi una dumu la maji na ufagio...

  Kunasiku ya kuleta mbolea na kuni kwaajili ya kupika chai ya walimu....
  Bustani ya maua unaleta maua mwenyewe kutoka home...
   
 13. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,319
  Likes Received: 2,606
  Trophy Points: 280
  Hesabu ni nzuri sana eeh X 2
  Eeh mwalimu nifundishe,
  Niweze kuelewa,
  Eeh Mwalimu X 2,
  Nifundishe!
   
 14. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,095
  Likes Received: 10,453
  Trophy Points: 280
  Saa imefika ya kwenda nyumbani x 2,
  mama amepika wali wa nyamaaa...
  mwalimu akiwaruhusu mnakimbiaje ....
   
 15. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #15
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  kuomba omba kubaya sana
  kuomba omba kubaya sana
  usiombe usiombe jitegemee!!!

  au hii
  napenda kuhesabu namba 1 2 3\
  najua kuhesabu namba 1 2 3
  4 5 6 7 8 9 10

  au hii hapa
  are yu sleeping
  are yu sleeping brother musa ,brother musa
  moni bela linging(hapo ndo matamshi ya morning bell is ringing)
  moni bela linging
  NDI NDO NDU,NDI NDO NDU!NDI NDO NDUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU!
   
 16. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #16
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,095
  Likes Received: 10,453
  Trophy Points: 280
  Aisiye penda shule ni mjinga kabisa x2..Baarua ikija aitembeza kutwa x2 huyo huyo huyo ni mjinga kabisa....
   
 17. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #17
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,353
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Dena Amsi una vigezo gani unanibishia sikusoma praimare na Mzee Mwanakijiji?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #18
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,319
  Likes Received: 2,606
  Trophy Points: 280
  mnakumbuka soksi za pundamilia, either black+white au red+white....tulikua tunatokelezeaje!!!
   
 19. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #19
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Unakumbuka question tags?? passive & active voice?? Ilikuwa vichomi darasani kwetu, sitasahau.

   
 20. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #20
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160


  Ha ha ha Arushaone hapa Chit chat bana steres free au sio
   
Loading...