Facilitator
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 2,279
- 1,772
mnakumbuka soksi za pundamilia, either black+white au red+white....tulikua tunatokelezeaje!!!
Na shati lazima liwe na muhuri kwenye mfuko
mnakumbuka soksi za pundamilia, either black+white au red+white....tulikua tunatokelezeaje!!!
Na shati lazima liwe na muhuri kwenye mfuko
Hapo sasa kwenye kutafuta kipenyo...............kichwa kilkuwa kinauma............lakini siku hizi hata ukiniamsha usiku wa manane nakokotoa kipenyo mpaka unashangaa.Faciliatator hiyo kitu inaitwa hesabu ilikuwa inaniumiza kichwa mbaya sana eti tafuta kipenyo, sijui engo aaahhh dah umenikumbusha mwalimu mmoja alikuwa mkali huyo ukikosa hesabu mbili fimbo mbili ukikosa kumi fimbo kumi na hatanii hata siku moja na alikuwa haumwi kabisa tangu nianze shule hajawahi kukosa dah
Na shati lazima liwe na muhuri kwenye mfuko
Enzi hizo wanafunzi mnagaiwa kila kitu shuleni..
kuanzia madaftari ya masomo yote,hadi penseli na peni.
Wapi hizi huduma siku hizi???
Hapo sasa kwenye kutafuta kipenyo...............kichwa kilkuwa kinauma............lakini siku hizi hata ukiniamsha usiku wa manane nakokotoa kipenyo mpaka unashangaa.
BTW Nimekumbuka wimbo;
Mabata madogomadogo yanaogelea yanaogelea katika shamba zuri la bustani
Yanapenda kutembea bila viatu....bilaaa ..bila viatu katika shamba zuri la bustaniii
Ha ha ha ha question tags?? Nilikuwa noma mpaka mwalimu alikuwa ananiambia niwafundishe wenzangu
Ha ha ha umeanza za kishule shule sio ........Didn't she???
Umenikumbusha mbali sana!! Enzi hizo za Mwalimu Nyerere ambapo nilikuwa darasa moja na Mzee Mwanakijiji! OMG! Those old good days. Ahsante Dena Amsi.
Haya na wewe nipe question tag kwa hii kitu: John also applied for a job
Safi. Nlidhani ungesema tookn't she?? Manake kulikuwa na balaa darasani kwetu, acha tu.
Ha ha ha ha nakumbuka tukiwa darasa la tatu ndo tunaanza kusoma kiingishi mambo ya kusebu mpaka 10, 20, 30 mpaka mia kwa kiingilishi kuna msichana alikuwa anahesabu 1-20, kufika eleven ilikuwa mbinde si akahesabu vizuri kufika 11 akasema ten one, ten two na kuendelea sitasahau mpaka leo