Mnakosea mahesabu wadada wa mjini

Mnakosea mahesabu wadada wa mjini

Sky Eclat una hoja ya maana lakini hiyo mada ni tata sana. Mimi kwa mtizamo wangu maisha hujengwa na jinsi mtu anavyoyaona maisha.

Anaweza mtu kuwa mkaanga chips maisha yake yote na akaishia kupanga na mwisho wa siku akawa ni mkaanga chips kwenye vilabu vya pombe za kienyeji ama kwenye Bar za mchafukoge.

Awe ni mkaanga chips ama Afisa ya wa benki, kama mwanamke anataka mwanaume wa kubadili maisha yake ni lazima atazame kwanza akili ya huyo mwanaume.

Mtazamo wa mwanaume au mwanamke hujengwa toka alikolelewa. Wanasaikolojia wanadai ni rahisi mwanaume kujenga mtazamo toka kwa mwanamke aliyemlea kuliko mwanaume aliyemlea. Jinsi mwanaume anavyoyatazama maisha ndivyo nafasi ya kusonga mbele inavyokuwa.

Maana hata mkaanga chips anaweza kuwa ni mkaanga chips anayetumia banda lake la kukaangia chips kama tego la kupatia wanawake. Huyu naye hana uwezo

Wanawake zijaribuni kwanza akili za wanaume mnaotaka kufanya nao maisha badala ya kuangalia walivyo navyo. Akili ndizo hubadili maisha ya mtu na si vile alivyo navyo. Ndiyo maana tajiri wa leo anaweza kuwa maskini wa kesho na maskini wa leo akawa tajiri wa kesho.

FaizaFoxy wanawake wengi (Siyo wote) wanaoishi kwenye nyumba za urithi ndiyo wanaongoza kwa kuwa na watoto kwa baba tofauti tofauti kwa kuwa wao ni maslahi mbele.
 
Kuna waliokuja wakajenga karibu ya mjini usisahau hilo, haimaanishi kuwa wao ni wa mjini. Mjini Dar, Mwisho bonde la Jangwani.

Thubutu wenye nasaba zao ukute mitoto ya haramu imerundikana kwao.
 
Uhalisia mimi nshawahi kuwa afisa mkopo mshahara wangu ulikuwa laki nane ila makato yote nabaki na kama 470,000 ndo niliyokuwa napokea kwa mwezi ,lakini benki kuna rushwa sana kwa mwezi nilikuwa natoa mikopo 10 hadi 20 ,tufanye 12 mara kwa chini sana 200,000=2,200,000/= ,hapo sija weka tips za wateja ,mfano wewe unataka mkopo umeweka dhamana nyumba yako iko chamanzi hivi kunifata ofisa kaliakoo mpaka chamanzi nikazunguke na kwa wenyekiti wa mtaa au halmashauri na wewe umeomba mil 40 halafu mimi ndo unajua naandika ripoti nzuri au mbaya unadhani utaniacha bure sasa afisa mkopo karibu kila siku anakagua dhamana kuna siku hata wateja watatu

Unataka kusemaje sasa hapa mjomba sijakuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume aliyekupenda atakuwa tayari kufanya chochote ili akuridhishe. Kama mwanamke amempenda mkaanga chips na kumwambia ninahitaji milioni 5 ninunue kiwanja mwanaume atajitahidi kuzitafuta.

Mkaanga chips pia usiwe mwoga kutafuta binti wa kisure anaweza kubadili mind set yako.
 
Uhalisia mimi nshawahi kuwa afisa mkopo mshahara wangu ulikuwa laki nane ila makato yote nabaki na kama 470,000 ndo niliyokuwa napokea kwa mwezi ,lakini benki kuna rushwa sana kwa mwezi nilikuwa natoa mikopo 10 hadi 20 ,tufanye 12 mara kwa chini sana 200,000=2,200,000/= ,hapo sija weka tips za wateja ,mfano wewe unataka mkopo umeweka dhamana nyumba yako iko chamanzi hivi kunifata ofisa kaliakoo mpaka chamanzi nikazunguke na kwa wenyekiti wa mtaa au halmashauri na wewe umeomba mil 40 halafu mimi ndo unajua naandika ripoti nzuri au mbaya unadhani utaniacha bure sasa afisa mkopo karibu kila siku anakagua dhamana kuna siku hata wateja watatu
Mkuu TAKUKURU wanakutafuta😀😀😀😀😀
 
Kuna waliokuja wakajenga karibu ya mjini usisahau hilo, haimaanishi kuwa wao ni wa mjini. Mjini Dar, Mwisho bonde la Jangwani.
Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! una mbwembwe sana wewe. Ina maana watu wa Magomeni siyo watu wa mjini? Hongera yenu watu wa Kariakoo.

Ila siku hizi hapo kwenu ni kama kumekuwa ni ukingani maana wamejaa kina Sanga na Mbwilo watoto wa mjini wameuza maeneo yao kwa wakuja ambao kwa sasa ndiyo wana wa mji.
 
Mnapenda wanaume wenye pesa, wawe wasafi, wamiliki magari mazuri. Hiyo hesabu ni kama pyramid walio na vitu hivyo ni wachache sana nao kuna waliowasaidia kufikia hapo hawawezi kuwasahau. Inawezekana ni wazazi, ndugu, au wapenzi na wake zao.

Unampenda bank teller anaepata
750,000. Anakatwa student loan, anakatwa mkopo wa vitz, analipa kodi ya chumba na sebule, hajakula wala hajaweka gari mafuta. Unategemea akupe hela ya saloon, akununulie vocha ya simu na kumbom vi 20,000. Unamuongezea pressure, akikukimbia usitafute mchawi.

Wakati kuna mkaka anakaanga chips na mishkaki, anaingiza laki mbili kwa siku na ana uwezo wa kukupa hayo maisha unayotaka. Humtaki kisa status mjini utawaambia nini mashost eti babe mkaanga chips!

Ndiyo hapo mnapokosea hesabu zenu.
Bibie mie nilidhani unawalekeza wajitafutie? kumbe wewe unawatoa kwa mabenki teller kwenda kwa wauza chips. Mimi nadhani ungewambia wazazi waondoe hizo mind set za kutegemea wanaume na wajitegemee. Pole kwa yaliyokukuta na benki teller
 
Uhalisia mimi nshawahi kuwa afisa mkopo mshahara wangu ulikuwa laki nane ila makato yote nabaki na kama 470,000 ndo niliyokuwa napokea kwa mwezi ,lakini benki kuna rushwa sana kwa mwezi nilikuwa natoa mikopo 10 hadi 20 ,tufanye 12 mara kwa chini sana 200,000=2,200,000/= ,hapo sija weka tips za wateja ,mfano wewe unataka mkopo umeweka dhamana nyumba yako iko chamanzi hivi kunifata ofisa kaliakoo mpaka chamanzi nikazunguke na kwa wenyekiti wa mtaa au halmashauri na wewe umeomba mil 40 halafu mimi ndo unajua naandika ripoti nzuri au mbaya unadhani utaniacha bure sasa afisa mkopo karibu kila siku anakagua dhamana kuna siku hata wateja watatu

Yaani unadiriki kabiskuja humu na kutueleza kinagaubaga namna ulivyokuwa unafanya dhuluma kwa watu kwa kula rushwa, na unafurahia kitendo hicho? Nina wasiwasi kwamba siku zako si nyingi, kama bado unaendelea nna maisha ya aina hii!
 
Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! una mbwembwe sana wewe. Ina maana watu wa Magomeni siyo watu wa mjini? Hongera yenu watu wa Kariakoo.

Ila siku hizi hapo kwenu ni kama kumekuwa ni ukingani maana wamejaa kina Sanga na Mbwilo watoto wa mjini wameuza maeneo yao kwa wakuja ambao kwa sasa ndiyo wana wa mji.
Aah wa magomeni wenyewe wakija Kariakoo wanasema "nakwenda mjini".
 
matatizo ya kujitakia, kuna msemo "maskini/lofa hadindishi". kama kipato chako kidogo usijitafutie matatizo, achana nao,chukua jukumu la kufua mashuka na boxer
 
Ww sio wa kwanza. Ilinitokea hiyo kitu. Unajua nilicofanya?
Well nilijisomesha kwa bidii. Mwenyewe.. mpaka nikampita ile level yake.. miaka miwili baadae alikuja gundua kuwa nimempita.
Mwenyewe akaanza jirudiaha.. oh baby umekula.. oh nimekumiss. Oh siku hiz unipendi..

Nikamwambia akapende washamba wenzake huko huko. Kamwe huwa sirudiag mapish.
Mimi mwenyewe nimekimbiwa kisa hatulingani elimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnapenda wanaume wenye pesa, wawe wasafi, wamiliki magari mazuri. Hiyo hesabu ni kama pyramid walio na vitu hivyo ni wachache sana nao kuna waliowasaidia kufikia hapo hawawezi kuwasahau. Inawezekana ni wazazi, ndugu, au wapenzi na wake zao.

Unampenda bank teller anaepata
750,000. Anakatwa student loan, anakatwa mkopo wa vitz, analipa kodi ya chumba na sebule, hajakula wala hajaweka gari mafuta. Unategemea akupe hela ya saloon, akununulie vocha ya simu na kumbom vi 20,000. Unamuongezea pressure, akikukimbia usitafute mchawi.

Wakati kuna mkaka anakaanga chips na mishkaki, anaingiza laki mbili kwa siku na ana uwezo wa kukupa hayo maisha unayotaka. Humtaki kisa status mjini utawaambia nini mashost eti babe mkaanga chips!

Ndiyo hapo mnapokosea hesabu zenu.
Aliyekuoa anafaida.
 
Dah! ukweli mchungu! Kwanza sijui tutatoka lini hapa kwenye hii dhana kuwa kila mnapovuana chupi, mmoja anakuwa na kazi ya kutoa huduma na mwingine analipia huduma hiyo. Tukibadili dhana hii huenda wahusika wakapiga hesabu vema.
 
Mnapenda wanaume wenye pesa, wawe wasafi, wamiliki magari mazuri. Hiyo hesabu ni kama pyramid walio na vitu hivyo ni wachache sana nao kuna waliowasaidia kufikia hapo hawawezi kuwasahau. Inawezekana ni wazazi, ndugu, au wapenzi na wake zao.

Unampenda bank teller anaepata
750,000. Anakatwa student loan, anakatwa mkopo wa vitz, analipa kodi ya chumba na sebule, hajakula wala hajaweka gari mafuta. Unategemea akupe hela ya saloon, akununulie vocha ya simu na kumbom vi 20,000. Unamuongezea pressure, akikukimbia usitafute mchawi.

Wakati kuna mkaka anakaanga chips na mishkaki, anaingiza laki mbili kwa siku na ana uwezo wa kukupa hayo maisha unayotaka. Humtaki kisa status mjini utawaambia nini mashost eti babe mkaanga chips!

Ndiyo hapo mnapokosea hesabu zenu.
MOTIVATION YA MADADA ZETU IKO KTK HELA NA NDIO MAANA NDOA NA MAHUSIANO MENGI YA KUDUMU YAMEBAKI HISTORIA KAMA HADITHI ZA ALFA LELA ULELA AU HISTORIA ZA VITA BARIDI. MAJUKUMU YAMEKUWA NI MENGI, NA MITINDO YA MAISHA IMEKUWA MINGI SANA. KUISHI KWA KUDANGA KUNA MWISHO AND NEVER CHEAT YOURSELF KUWA UKIPATA UNACHOTAKA UTAACHA, "NO HYENA HAS EVER LEFT A MEAT ON BUTCHER DESPITE BEING SATISFIED"
EWE DADA MDANGAJI WAKURINGIA MABWANA NA MABUZI KWA WENZIO JUST KNOW KUWA EVERY FINISH LINE ITS BEGINNING OF NEW RACE, IT HAS NEVER HAD GOOD END IT WONT EVER HAVE IT. MIND YOU THAT U SHALL CONTINUE BE SINGLE MOTHERS TILL JESUS COMES BACK BY PROCLAIMING YOU HAVE NEVER FIND A GOOD HUSBAND WHILE YOURSELF UR THE DEVIL WHO MAKE THOSE GOOD HUSBANDS TO RAN AWAY.
HOW CAN A DEVIL ATTRACT GOOD??
 
Back
Top Bottom