Mnakosea mahesabu wadada wa mjini

Mnakosea mahesabu wadada wa mjini

Sema ukiwa mwizi, siyo mjanja...
dada hakuna 10 per huonsi ukweli ,kwa mwezi nilikuwa natakiwa nitoe mil 300 na sikuwahi toa chini ya 400 Sasa wangetoa 10 per basi kwa mwezi ningekuwa napata mil 35 kwenda juu,kimsingi na kibinadamu ww umekuja unaomba mil 40 ukaongeze kuku nimekuhudumia vizuri ,na tumezurula wiki nikichukua details zako kiroho Safi siku umepata unanambia mdogo wangu pitia laki pale dukani,nimekuwa loan officer 2 yrs skuwahi omba rushwa japo nakili hizi tips sio lawful na robo walikuwa hawatoi kitu na huna Cha kudai,afu loan officers ndo huwa washauri wa wafanyabiashara wasio na elimu ,so dada ukiwa mjanja hulali njaa minnilijenga nyumba ndani ya 2 yrs na Bata kibao
 
Status kwanza jamani.. Utembee na Muuza chips utawaambia nini mashosti eeeh?? kwenye upendo yeyote anafaa ila kwenye kutafuta mlezi wenye hela kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili za kushikiwa eti wadada wa mujini watasemaje wakati kodi ya nyumba wadada wa mujini hawakusaidii kuilipa.

Kuna kabila moja la kaskazini wale hawaangalii status wa wanaangalia mwanaume ataweka shilingi ngapi mezani. Anaolewa na mkaanga chipss baada ya miaka miwili wamesimamisha ghorofa.
 
Kweli kabisa. Wakati tuko chuoni, wadada wazuri wa chuoni walipenda college mates ambao wazazi wao walikuwa na uwezo kifedha. Sisi wengine haikuwa rahisi kupata girlfriend mrembo. Sasa tuko duniani, mambo yamebadilika. Wa mwisho amekuwa wa kwanza na wa kwanza wa wakati ule amekuwa wa mwisho kimaisha. Ushauri - dada ambaye bado ni mdogo kwa umri - hebu angalia future potential katika mweza wako japo hana kitu wakati huo. Kama ana akili nzuri, bidii na maarifa, basi anakufaa japo hana kitu wakati huo. Akili, bidii na maarifa vitaleta maisha mazuri baadae.

Mnapenda wanaume wenye pesa, wawe wasafi, wamiliki magari mazuri. Hiyo hesabu ni kama pyramid walio na vitu hivyo ni wachache sana nao kuna waliowasaidia kufikia hapo hawawezi kuwasahau. Inawezekana ni wazazi, ndugu, au wapenzi na wake zao.

Unampenda bank teller anaepata
750,000. Anakatwa student loan, anakatwa mkopo wa vitz, analipa kodi ya chumba na sebule, hajakula wala hajaweka gari mafuta. Unategemea akupe hela ya saloon, akununulie vocha ya simu na kumbom vi 20,000. Unamuongezea pressure, akikukimbia usitafute mchawi.

Wakati kuna mkaka anakaanga chips na mishkaki, anaingiza laki mbili kwa siku na ana uwezo wa kukupa hayo maisha unayotaka. Humtaki kisa status mjini utawaambia nini mashost eti babe mkaanga chips!

Ndiyo hapo mnapokosea hesabu zenu.
 
Hilo ndio tatizo lenu. Status? Status itakulisha,status itakupa kazi? Status italipa kodi?

Status isnot equal to reality.

Niliwahi kuwa na mdada yaan yeye huwa anaangalia nikipata kazi katika kampuni nzur ndio anaanza kuwa karib. Nikienda kampun ya kawaida napotezewa..
Ukiangalia kwao ni makapukuwa kutupwa. Yeye na dada zake wana njaa mpaka kwenye kucha.. tena njaa za waziwaz.. ila wikitok hapo wanataka waonekane wa matawi ya juu..
Huyu nilimtema. Hiv kuna shida gani ukiishi maisha yako ya kihualisia
Status kwanza jamani.. Utembee na Muuza chips utawaambia nini mashosti eeeh?? kwenye upendo yeyote anafaa ila kwenye kutafuta mlezi wenye hela kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good examples. Na wanawake hao ni wale wa mipango. Huenda kuwa sio romantic kivile lakini ni yule mwaname anaekupa fursa. Mipango. Michongo.. yaaan mwanamke anakupush mfanye kitu. Yeye sio spender bal ni mtafutaji pia.

Hawa wa pwan wengi wao wanajua kula tu.. kutwa kudanga. Lakin ukimwambie nipe idea ya biashara. Hana hata moja.
Akili za kushikiwa eti wadada wa mujini watasemaje wakati kodi ya nyumba wadada wa mujini hawakusaidii kuilipa.

Kuna kabila moja la kaskazini wale hawaangalii status wa wanaangalia mwanaume ataweka shilingi ngapi mezani. Anaolewa na mkanaanga chipss baada ya miaka miwili wamesimamisha ghorofa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnapenda wanaume wenye pesa, wawe wasafi, wamiliki magari mazuri. Hiyo hesabu ni kama pyramid walio na vitu hivyo ni wachache sana nao kuna waliowasaidia kufikia hapo hawawezi kuwasahau. Inawezekana ni wazazi, ndugu, au wapenzi na wake zao.

Unampenda bank teller anaepata
750,000. Anakatwa student loan, anakatwa mkopo wa vitz, analipa kodi ya chumba na sebule, hajakula wala hajaweka gari mafuta. Unategemea akupe hela ya saloon, akununulie vocha ya simu na kumbom vi 20,000. Unamuongezea pressure, akikukimbia usitafute mchawi.

Wakati kuna mkaka anakaanga chips na mishkaki, anaingiza laki mbili kwa siku na ana uwezo wa kukupa hayo maisha unayotaka. Humtaki kisa status mjini utawaambia nini mashost eti babe mkaanga chips!

Ndiyo hapo mnapokosea hesabu zenu.
Hao sio wa mjini, hao wa kuja. Wa mjini tuna majumba ya urithi.
 
Mimi mwenyewe nimekimbiwa kisa hatulingani elimu
 
Siyo kila umuonae mjini basi ni wa mjini.

Hususan jiji la Dar kwa sasa 90% wakuja.

Wa mjini tuna hadhi zetu hatubabaishwi na vijisenti, udi tu tunaojifukiza wa mawardi, nenda Dubai ukiupata gram moja chini ya dollar mia ujuwe huo feki.

Hivyo vinuka mkojo na vivaa vizuwia ushuzi vya kuomba 20 ya saloon ndio wa mjini? Khaa!

Wa mjini kutukuta saloon ni nadra ya ajabu tuna vifaa vyote majumbani mwetu na mtu wa saloon anakuja yeye akimaliza shughuli zake anaondoka yeye, hatutaki aje hata na shanuo lake. Yanini kutiana mba?

TUOMBE RADHI.
 
Wanaokuita bibi wanakosea sana

Back
Top Bottom