Mnakosea mahesabu wadada wa mjini

Mnakosea mahesabu wadada wa mjini

Mnapenda wanaume wenye pesa, wawe wasafi, wamiliki magari mazuri. Hiyo hesabu ni kama pyramid walio na vitu hivyo ni wachache sana nao kuna waliowasaidia kufikia hapo hawawezi kuwasahau. Inawezekana ni wazazi, ndugu, au wapenzi na wake zao.

Unampenda bank teller anaepata
750,000. Anakatwa student loan, anakatwa mkopo wa vitz, analipa kodi ya chumba na sebule, hajakula wala hajaweka gari mafuta. Unategemea akupe hela ya saloon, akununulie vocha ya simu na kumbom vi 20,000. Unamuongezea pressure, akikukimbia usitafute mchawi.

Wakati kuna mkaka anakaanga chips na mishkaki, anaingiza laki mbili kwa siku na ana uwezo wa kukupa hayo maisha unayotaka. Humtaki kisa status mjini utawaambia nini mashost eti babe mkaanga chips!

Ndiyo hapo mnapokosea hesabu zenu.
Unaenda mbinguni kwa kunena vyema Dada, eti wanaona raha sana kujiweka ktk mahusiano na Mwanaume anayefanya kazi ikulu sababu ya status, kwani kule ikulu hakuna wasafisha mazingira, wapishi na wafanyakazi wadogo wadogo kuliko mkaanga kuku wa kizungu aliye na uhakika wa kuingiza kila siku 120,000/=?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnapenda wanaume wenye pesa, wawe wasafi, wamiliki magari mazuri. Hiyo hesabu ni kama pyramid walio na vitu hivyo ni wachache sana nao kuna waliowasaidia kufikia hapo hawawezi kuwasahau. Inawezekana ni wazazi, ndugu, au wapenzi na wake zao.

Unampenda bank teller anaepata
750,000. Anakatwa student loan, anakatwa mkopo wa vitz, analipa kodi ya chumba na sebule, hajakula wala hajaweka gari mafuta. Unategemea akupe hela ya saloon, akununulie vocha ya simu na kumbom vi 20,000. Unamuongezea pressure, akikukimbia usitafute mchawi.

Wakati kuna mkaka anakaanga chips na mishkaki, anaingiza laki mbili kwa siku na ana uwezo wa kukupa hayo maisha unayotaka. Humtaki kisa status mjini utawaambia nini mashost eti babe mkaanga chips!

Ndiyo hapo mnapokosea hesabu zenu.
Hahahhh you nailed it mate!
 
Pia si kila mwanaume aliyefanikiwa kiuchumi ni Mume bora, ambavyo hatufanani si kwa maskini pekee.

Afu unaamini vp mafanikio ya mtu kirahisi rahisi bila ya kujua siri ya mafanikio yake iliyojificha nyuma ya pazia, ni kweli kila aliyefanikiwa kapata kiuhalali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi kabisa yani kule kaskazini si mchaga, mpare, mmeru, muiraki wote wako kimaslahi labda Mmasai tu kdg huwa ana kaaibu aibu flani hv ka kutoendekeza tamaa.
Akili za kushikiwa eti wadada wa mujini watasemaje wakati kodi ya nyumba wadada wa mujini hawakusaidii kuilipa.

Kuna kabila moja la kaskazini wale hawaangalii status wa wanaangalia mwanaume ataweka shilingi ngapi mezani. Anaolewa na mkaanga chipss baada ya miaka miwili wamesimamisha ghorofa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kila umuonae mjini basi ni wa mjini.

Hususan jiji la Dar kwa sasa 90% wakuja.

Wa mjini tuna hadhi zetu hatubabaishwi na vijisenti, udi tu tunaojifukiza wa mawardi, nenda Dubai ukiupata gram moja chini ya dollar mia ujuwe huo feki.

Hivyo vinuka mkojo na vivaa vizuwia ushuzi vya kuomba 20 ya saloon ndio wa mjini? Khaa!

Wa mjini kutukuta saloon ni nadra ya ajabu tuna vifaa vyote majumbani mwetu na mtu wa saloon anakuja yeye akimaliza shughuli zake anaondoka yeye, hatutaki aje hata na shanuo lake. Yanini kutiana mba?

TUOMBE RADHI.
Leo umeshikwa panapo, pole sana Mama.

Kwani kuna anayeishi mjini asiye na kijijini kwao(chimbuko la wazazi wake walikotokea kiukoo na kikabila)?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom