Kwa sasa sijui mi ilikuwa zamani sana
Tell them,sie wenye kipato cha laki sita hawatutakiNa kuwafundisha mabinti kuwa si lazima umapate mume aliyekwisha fanikiwa. Maisha kuna yalipoanzia cha muhimu umpate mtu anae kupenda na kukuheshimu. Mnaweza kuanza na moja na mkafika juu.
Na kuwafundisha mabinti kuwa si lazima umapate mume aliyekwisha fanikiwa. Maisha kuna yalipoanzia cha muhimu umpate mtu anae kupenda na kukuheshimu. Mnaweza kuanza na moja na mkafika juu.