Mnakosea mahesabu wadada wa mjini

Mnakosea mahesabu wadada wa mjini

Mnapenda wanaume wenye pesa, wawe wasafi, wamiliki magari mazuri. Hiyo hesabu ni kama pyramid walio na vitu hivyo ni wachache sana nao kuna waliowasaidia kufikia hapo hawawezi kuwasahau. Inawezekana ni wazazi, ndugu, au wapenzi na wake zao.

Unampenda bank teller anaepata
750,000. Anakatwa student loan, anakatwa mkopo wa vitz, analipa kodi ya chumba na sebule, hajakula wala hajaweka gari mafuta. Unategemea akupe hela ya saloon, akununulie vocha ya simu na kumbom vi 20,000. Unamuongezea pressure, akikukimbia usitafute mchawi.

Wakati kuna mkaka anakaanga chips na mishkaki, anaingiza laki mbili kwa siku na ana uwezo wa kukupa hayo maisha unayotaka. Humtaki kisa status mjini utawaambia nini mashost eti babe mkaanga chips!

Ndiyo hapo mnapokosea hesabu zenu.
leo umewaamlia asubuhi asubuhi.
 
Kama wanataka wanaume wasafi na wale bata waje kwetu kwa madereva wa mashirika waone,ila wakituzengua tu tunawaacha keep left

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Mnapenda wanaume wenye pesa, wawe wasafi, wamiliki magari mazuri. Hiyo hesabu ni kama pyramid walio na vitu hivyo ni wachache sana nao kuna waliowasaidia kufikia hapo hawawezi kuwasahau. Inawezekana ni wazazi, ndugu, au wapenzi na wake zao.

Unampenda bank teller anaepata
750,000. Anakatwa student loan, anakatwa mkopo wa vitz, analipa kodi ya chumba na sebule, hajakula wala hajaweka gari mafuta. Unategemea akupe hela ya saloon, akununulie vocha ya simu na kumbom vi 20,000. Unamuongezea pressure, akikukimbia usitafute mchawi.

Wakati kuna mkaka anakaanga chips na mishkaki, anaingiza laki mbili kwa siku na ana uwezo wa kukupa hayo maisha unayotaka. Humtaki kisa status mjini utawaambia nini mashost eti babe mkaanga chips!

Ndiyo hapo mnapokosea hesabu zenu.
mulemule dada wanaoenda wapuliza perfume
 
Na juwafundisha mabinti kuwa si lazima umapate mume aliyekwisha fanikiwa. Maisha kuna yalipoanzia cha muhimu umpate mtu anae kupenda na kukuheshimu. Mnaweza kuanza na moja na mkafika juu.
this is very true, kwa mfano nikiangalia nilikotoka halafu leo kunaa kadada kananimendea kanatamani.mali zangu na pesa, kataishia kupigwa miti tu. Nilianzia chini na wakati huo wasichana wazuri hawakunikubali.
 
Uhalisia mimi nshawahi kuwa afisa mkopo mshahara wangu ulikuwa laki nane ila makato yote nabaki na kama 470,000 ndo niliyokuwa napokea kwa mwezi ,lakini benki kuna rushwa sana kwa mwezi nilikuwa natoa mikopo 10 hadi 20 ,tufanye 12 mara kwa chini sana 200,000=2,200,000/= ,hapo sija weka tips za wateja ,mfano wewe unataka mkopo umeweka dhamana nyumba yako iko chamanzi hivi kunifata ofisa kaliakoo mpaka chamanzi nikazunguke na kwa wenyekiti wa mtaa au halmashauri na wewe umeomba mil 40 halafu mimi ndo unajua naandika ripoti nzuri au mbaya unadhani utaniacha bure sasa afisa mkopo karibu kila siku anakagua dhamana kuna siku hata wateja watatu
Mkuu rushwa tips na zawadi sio mshahara huwezi kufanya budgeti yako kwa kutegemea rushwa utakayo pokea au zawadi.....be serious pls

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii thiredi wakina dada wataichungulia kwa mbaaaaali.......kizuri zaidi kaileta kubwa lao.....dada asante....tunawasubiria waje na hoja.......za kupangua hoja shirikishi..
 
napenda wanaume wenye pesa, wawe wasafi, wamiliki magari mazuri. Hiyo hesabu ni kama pyramid walio na vitu hivyo ni wachache sana nao kuna waliowasaidia kufikia hapo hawawezi kuwasahau. Inawezekana ni wazazi, ndugu, au wapenzi na wake zao.

Unampenda bank teller anaepata
750,000. Anakatwa student loan, anakatwa mkopo wa vitz, analipa kodi ya chumba na sebule, hajakula wala hajaweka gari mafuta. Unategemea akupe hela ya saloon, akununulie vocha ya simu na kumbom vi 20,000. Unamuongezea pressure, akikukimbia usitafute mchawi.

Wakati kuna mkaka anakaanga chips na mishkaki, anaingiza laki mbili kwa siku na ana uwezo wa kukupa hayo maisha unayotaka. Humtaki kisa status mjini utawaambia nini mashost eti babe mkaanga chips!

Ndiyo hapo mnapokosea hesabu zenu.
safi sana dada sky yaani umewapa ukweli maana madada wa sasa ukimtaka mdada ukamwambia nakaanga chips humpati ukimwambia nafanya kazi bank yaani fasta unaennda kuchapa
 
Uhalisia mimi nshawahi kuwa afisa mkopo mshahara wangu ulikuwa laki nane ila makato yote nabaki na kama 470,000 ndo niliyokuwa napokea kwa mwezi ,lakini benki kuna rushwa sana kwa mwezi nilikuwa natoa mikopo 10 hadi 20 ,tufanye 12 mara kwa chini sana 200,000=2,200,000/= ,hapo sija weka tips za wateja ,mfano wewe unataka mkopo umeweka dhamana nyumba yako iko chamanzi hivi kunifata ofisa kaliakoo mpaka chamanzi nikazunguke na kwa wenyekiti wa mtaa au halmashauri na wewe umeomba mil 40 halafu mimi ndo unajua naandika ripoti nzuri au mbaya unadhani utaniacha bure sasa afisa mkopo karibu kila siku anakagua dhamana kuna siku hata wateja watatu

Ndo maana mikopo chechefu haiishi kwenye tasnia maana chanzo cha wananchi wengi kukataa au kusuasua kulipa mkopo ni hizo 10% wanazotoa ili wapatiwe mkopo.
Mwisho huona mkopo tuulipe wote au silipi....

Anyways kuna binamu yangu alishawahi kugoma kulipa mkopo na alishinda kesi hasara inadondokea kwa mabenki.

Kasinde.
 
Love affair sikuiz haipo iyo, kipimo kidogo tu angalia dada zetu wanavyo angaika kutafuta ndoa now days na kwa bahat mbaya wanaishia kuchukuliwa na vibabu

All in all these things called love have no formula.

Kasinde.
 
Ndo maana mikopo chechefu haiishi kwenye tasnia maana chanzo cha wananchi wengi kukataa au kusuasua kulipa mkopo ni hizo 10% wanazotoa ili wapatiwe mkopo.
Mwisho huona mkopo tuulipe wote au silipi....

Anyways kuna binamu yangu alishawahi kugoma kulipa mkopo na alishinda kesi hasara inadondokea kwa mabenki.

Kasinde.
dada hakuna 10 per huonsi ukweli ,kwa mwezi nilikuwa natakiwa nitoe mil 300 na sikuwahi toa chini ya 400 Sasa wangetoa 10 per basi kwa mwezi ningekuwa napata mil 35 kwenda juu,kimsingi na kibinadamu ww umekuja unaomba mil 40 ukaongeze kuku nimekuhudumia vizuri ,na tumezurula wiki nikichukua details zako kiroho Safi siku umepata unanambia mdogo wangu pitia laki pale dukani,nimekuwa loan officer 2 yrs skuwahi omba rushwa japo nakili hizi tips sio lawful na robo walikuwa hawatoi kitu na huna Cha kudai,afu loan officers ndo huwa washauri wa wafanyabiashara wasio na elimu ,so dada ukiwa mjanja hulali njaa minnilijenga nyumba ndani ya 2 yrs na Bata kibao
 
Back
Top Bottom