Lissu si mwana CCMLisu ndo kikwazo cha hao wanamtandao
Pole wewe kwa kuandika kama chadema.Pole sana mkuu,
Afanye siasa za kuuza watu wauliwe kama Mbowe sio? Unapata faida ukiona binadamu mwenzako wanakufa wale wana familia zinawategemea Aya tangia kibao amekufa au Soka kuna unafuu gani wa maisha umepatikana. Sometimes inakuaga vigumu kukubaliana na wale wabaguzi wanaosema waafrika sio binadamu kamili lakini sometimes uwa nakubaliana naoSiasa haiitaji kiburi. TAL anatakiwa ajue namna ya kuzichanga karata za kisiasa sio kuendekeza kibri. Haisaidii kitu.
Kiwanda cha kutengeneza uzushi. Kimeshafyatua uzushi mwingine.Bila shaka kila mmoja anajiuliza kwann mbowe hajagombea chauma? Jibu ni moja tu.
Alipoenda kumsalimia Lisu kule gerezani , waliongea mambo mengi sana. Mbowe alitumwa na wanamtandao, kuwa aende akamshauwishi Tundu Lisu kule gerezani alegeze kidogo, wampe majimbo, akubari kushiriki uchaguzi, Achane na "No reform No election" kama kawaida Tundu Lisu akakaza ,akasema nipo tayari kufa,"
, ukawambie mm nipo kwa ajili ya watanzania. " Wanamtandao walimwahidi vitu vingi sana Lisu endapo angekubari.
Sasa basi hii ndo point ya msingi kwann mbowe hajaenda chauma? Anaogopa Lisu akitoka gerezani ,atakuja kutoa siri, na ndio maana walitaka kumuua, kwa sumu. baada ya kukataa kupitia Mbowe.
Hakika Tundu Lisu ndio mkombozi wa wanyonge wa Taifa hili, Mungu akulinde dhidi ya wahuni hao.No reforms No election" Mungu ibariki Tanzania
By mwinjilist wenu Gabeji
INAWEZEKANA HILILissu atapinduliwa come 2026 mapema kwa mkutano mkuu wa dharura
Yaani we ni mpumbavu namwonea huruma mamakoBila shaka kila mmoja anajiuliza kwann mbowe hajagombea chauma? Jibu ni moja tu.
Alipoenda kumsalimia Lisu kule gerezani , waliongea mambo mengi sana. Mbowe alitumwa na wanamtandao, kuwa aende akamshauwishi Tundu Lisu kule gerezani alegeze kidogo, wampe majimbo, akubari kushiriki uchaguzi, Achane na "No reform No election" kama kawaida Tundu Lisu akakaza ,akasema nipo tayari kufa,"
, ukawambie mm nipo kwa ajili ya watanzania. " Wanamtandao walimwahidi vitu vingi sana Lisu endapo angekubari.
Sasa basi hii ndo point ya msingi kwann mbowe hajaenda chauma? Anaogopa Lisu akitoka gerezani ,atakuja kutoa siri, na ndio maana walitaka kumuua, kwa sumu. baada ya kukataa kupitia Mbowe.
Hakika Tundu Lisu ndio mkombozi wa wanyonge wa Taifa hili, Mungu akulinde dhidi ya wahuni hao.No reforms No election" Mungu ibariki Tanzania
By mwinjilist wenu Gabeji
Ndiyo hao wanaona aibu kuonekana mbwa hawaNdio hao mashahidi wa siri?
Duuuu.....damu ya wanyonge italipwa tuBila shaka kila mmoja anajiuliza kwann mbowe hajagombea chauma? Jibu ni moja tu.
Alipoenda kumsalimia Lisu kule gerezani , waliongea mambo mengi sana. Mbowe alitumwa na wanamtandao, kuwa aende akamshauwishi Tundu Lisu kule gerezani alegeze kidogo, wampe majimbo, akubari kushiriki uchaguzi, Achane na "No reform No election" kama kawaida Tundu Lisu akakaza ,akasema nipo tayari kufa,"
, ukawambie mm nipo kwa ajili ya watanzania. " Wanamtandao walimwahidi vitu vingi sana Lisu endapo angekubari.
Sasa basi hii ndo point ya msingi kwann mbowe hajaenda chauma? Anaogopa Lisu akitoka gerezani ,atakuja kutoa siri, na ndio maana walitaka kumuua, kwa sumu. baada ya kukataa kupitia Mbowe.
Hakika Tundu Lisu ndio mkombozi wa wanyonge wa Taifa hili, Mungu akulinde dhidi ya wahuni hao.No reforms No election" Mungu ibariki Tanzania
By mwinjilist wenu Gabeji
Ngoja tuone mkuuBinafsi siwezi kupinga au kukubaliana na hoja hii Moja kwa moja. Kwamba Mbowe alitumwa kwenda kumshawishi Lissu hayo mambo. Kama wanamtandao walitumia mbinu hiyo basi uwezo wao katika haya mambo unapwaya na hawako smart. Kama walitaka hili jambo liwe Siri kwa nini wasingetumia njia yoyote ya kumfikishia Lissu ujumbe huo kwa njia fiche na ya Siri zaidi kwa kutumia watu wao wenyewe?
Kwa nini wamtumie Mbowe wakati inajulikana wazi yeye na Lissu Uchaguzi ndani ya Chama hicho uliacha makovu ambayo hayajapona??
Yaweza kuwa mtandao upo na una nguvu lakini wakati mwingine tunatengeza Midori iliyobeba visu Kisha tunaanza kuikimbia Midori hiyo wakati tunajua si vitu halisi!
Mimi chademaPambana na utapeli wenu ,ya chadema kaa nayo mbali
Stori za vijiweni.Bila shaka kila mmoja anajiuliza kwann mbowe hajagombea chauma? Jibu ni moja tu.
Alipoenda kumsalimia Lisu kule gerezani , waliongea mambo mengi sana. Mbowe alitumwa na wanamtandao, kuwa aende akamshauwishi Tundu Lisu kule gerezani alegeze kidogo, wampe majimbo, akubari kushiriki uchaguzi, Achane na "No reform No election" kama kawaida Tundu Lisu akakaza ,akasema nipo tayari kufa,"
, ukawambie mm nipo kwa ajili ya watanzania. " Wanamtandao walimwahidi vitu vingi sana Lisu endapo angekubari.
Sasa basi hii ndo point ya msingi kwann mbowe hajaenda chauma? Anaogopa Lisu akitoka gerezani ,atakuja kutoa siri, na ndio maana walitaka kumuua, kwa sumu. baada ya kukataa kupitia Mbowe.
Hakika Tundu Lisu ndio mkombozi wa wanyonge wa Taifa hili, Mungu akulinde dhidi ya wahuni hao.No reforms No election" Mungu ibariki Tanzania
By mwinjilist wenu Gabeji
Unamzungumzia huyu Lisu wa Singida au ambaye bado hajazaliwa?Bila shaka kila mmoja anajiuliza kwann mbowe hajagombea chauma? Jibu ni moja tu.
Alipoenda kumsalimia Lisu kule gerezani , waliongea mambo mengi sana. Mbowe alitumwa na wanamtandao, kuwa aende akamshauwishi Tundu Lisu kule gerezani alegeze kidogo, wampe majimbo, akubari kushiriki uchaguzi, Achane na "No reform No election" kama kawaida Tundu Lisu akakaza ,akasema nipo tayari kufa,"
, ukawambie mm nipo kwa ajili ya watanzania. " Wanamtandao walimwahidi vitu vingi sana Lisu endapo angekubari.
Sasa basi hii ndo point ya msingi kwann mbowe hajaenda chauma? Anaogopa Lisu akitoka gerezani ,atakuja kutoa siri, na ndio maana walitaka kumuua, kwa sumu. baada ya kukataa kupitia Mbowe.
Hakika Tundu Lisu ndio mkombozi wa wanyonge wa Taifa hili, Mungu akulinde dhidi ya wahuni hao.No reforms No election" Mungu ibariki Tanzania
By mwinjilist wenu Gabeji
Anasubiri Simba anyongwe na bichura iliarudi kuwa mwenyekiti chadema, vijana wake kwasababu nikipindi champito hawanamaisha njaa kali kawaelekeza chauma kujipatiapo kula angalau Kwa bei ya nusu mkate toka kijaniBila shaka kila mmoja anajiuliza kwann mbowe hajagombea chauma? Jibu ni moja tu.