Mnajua kwann? Mbowe Bado hajahamia chauma?

Mnajua kwann? Mbowe Bado hajahamia chauma?

Nyie ndo dead walkers, nafsi zenu zimetwa,zinatumikiswa
Hivi kati ya Mimi na wewe ni nani nafsi yake inatumikishwa?!!! In the name of hatred kwa Mama Samia basi Kila kitu kwenu kinazushiwa jambo flani na sababu zake. Yaani unatumwa kuja kuandika ujinga kama huo katika jukwaa linalosemekana ni la great thinkers halafu eti ndo unajiona mjanja. Mnasikitiaha sana chadema.
 
Siasa haiitaji kiburi. TAL anatakiwa ajue namna ya kuzichanga karata za kisiasa sio kuendekeza kibri. Haisaidii kitu.
 
Bila shaka kila mmoja anajiuliza kwann mbowe hajagombea chauma? Jibu ni moja tu.
Alipoenda kumsalimia Lisu kule gerezani , waliongea mambo mengi sana. Mbowe alitumwa na wanamtandao, kuwa aende akamshauwishi Tundu Lisu kule gerezani alegeze kidogo, wampe majimbo, akubari kushiriki uchaguzi, Achane na "No reform No election" kama kawaida Tundu Lisu akakaza ,akasema nipo tayari kufa,"
, ukawambie mm nipo kwa ajili ya watanzania. " Wanamtandao walimwahidi vitu vingi sana Lisu endapo angekubari.

Sasa basi hii ndo point ya msingi kwann mbowe hajaenda chauma? Anaogopa Lisu akitoka gerezani ,atakuja kutoa siri, na ndio maana walitaka kumuua, kwa sumu. baada ya kukataa kupitia Mbowe.
Hakika Tundu Lisu ndio mkombozi wa wanyonge wa Taifa hili, Mungu akulinde dhidi ya wahuni hao.No reforms No election" Mungu ibariki Tanzania
By mwinjilist wenu Gabeji
Ameeeen
 
Hivi kati ya Mimi na wewe ni nani nafsi yake inatumikishwa?!!! In the name of hatred kwa Mama Samia basi Kila kitu kwenu kinazushiwa jambo flani na sababu zake. Yaani unatumwa kuja kuandika ujinga kama huo katika jukwaa linalosemekana ni la great thinkers halafu eti ndo unajiona mjanja. Mnasikitiaha sana chadema.
Ww kila mtu anatetea taifa ni chadema? Sio ndo maana nakuita dead walker
 
Chadema hawezi kufa mkuu, ndo inaxidi kukua zaidi
Amemjibu huyo jamaa aliyesemaga cdm imekufa, kama imekufa mbona wanahangaika nayo hivyo? Mfano mzoga wa Simba hauwezi kutisha mtu! sasa mbona ccm wanahangaika hivyoo? Wanajua hawatoboi huko ni kutapatapa kwa mfa maji.
 
Ww kila mtu anatetea taifa ni chadema? Sio ndo maana nakuita dead walker
Mara nyingi humu uchawi na viupumbavupumbavu vya Kila namna huandikwa na wafuasi wa chadema ndo maana. Siku nyingine andika vitu halisi na sensitive Ili tusikitupie katika kundi hilo.
 
Mara nyingi humu uchawi na viupumbavupumbavu vya Kila namna huandikwa na wafuasi wa chadema ndo maana. Siku nyingine andika vitu halisi na sensitive Ili tusikitupie katika kundi hilo.
Pole sana mkuu,
 
Na ndiyo kaomba atoe ushahidi kwa siri ili Lisu anyogwe na Kisha drama za kumrudishia uenyekiti chadema zifanyike
Asicheze maana hana hati miliki ya maisha yake! Anaweza tangulia yeye!
 
Watanzania walipoteza familia zao Inatakiwa Mbowe akipanda jukwaa lolote la kisasa Inatakiwa atupiwe mkopo ya mikojo unaleta uhuni kwenye maisha ya watu
KWA kweli amepoteza sana maisha ya watanzania , mm nilisema kuwa huyo ni black agent mkubwa sana kwenye stystem
 
Back
Top Bottom