Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 35,667
- 70,305
Siri ipi wkt ww umeshamwaga?😃😃KWA sasa hawezi kuhamia huko, Lisu atakuja kumwaga siri

Sio kweli, kila mtu anaweza akatunga uongo kama huu.Bila shaka kila mmoja anajiuliza kwann mbowe hajagombea chauma? Jibu ni moja tu.
Alipoenda kumsalimia Lisu kule gerezani , waliongea mambo mengi sana. Mbowe alitumwa na wanamtandao, kuwa aende akamshauwishi Tundu Lisu kule gerezani alegeze kidogo, wampe majimbo, akubari kushiriki uchaguzi, Achane na "No reform No election" kama kawaida Tundu Lisu akakaza ,akasema nipo tayari kufa,"
, ukawambie mm nipo kwa ajili ya watanzania. " Wanamtandao walimwahidi vitu vingi sana Lisu endapo angekubari.
Sasa basi hii ndo point ya msingi kwann mbowe hajaenda chauma? Anaogopa Lisu akitoka gerezani ,atakuja kutoa siri, na ndio maana walitaka kumuua, kwa sumu. baada ya kukataa kupitia Mbowe.
Hakika Tundu Lisu ndio mkombozi wa wanyonge wa Taifa hili, Mungu akulinde dhidi ya wahuni hao.No reforms No election" Mungu ibariki Tanzania
By mwinjilist wenu Gabeji
Ccm wanamwogopa Lissu mpka pressure inapanda.Lissu atapinduliwa come 2026 mapema kwa mkutano mkuu wa dharura
Ndo CCM ilivyoandaa Mapinduzi?, imehairishwa kumnyonga?.Lissu atapinduliwa come 2026 mapema kwa mkutano mkuu wa dharura
Hakuna anayejiuliza zaidi ya jinga km ww. Mpigie sm maana kazi yenu kufuatilia maisha ya watuBila shaka kila mmoja anajiuliza kwann mbowe hajagombea chauma? Jibu ni moja tu.
Alipoenda kumsalimia Lisu kule gerezani , waliongea mambo mengi sana. Mbowe alitumwa na wanamtandao, kuwa aende akamshauwishi Tundu Lisu kule gerezani alegeze kidogo, wampe majimbo, akubari kushiriki uchaguzi, Achane na "No reform No election" kama kawaida Tundu Lisu akakaza ,akasema nipo tayari kufa,"
, ukawambie mm nipo kwa ajili ya watanzania. " Wanamtandao walimwahidi vitu vingi sana Lisu endapo angekubari.
Sasa basi hii ndo point ya msingi kwann mbowe hajaenda chauma? Anaogopa Lisu akitoka gerezani ,atakuja kutoa siri, na ndio maana walitaka kumuua, kwa sumu. baada ya kukataa kupitia Mbowe.
Hakika Tundu Lisu ndio mkombozi wa wanyonge wa Taifa hili, Mungu akulinde dhidi ya wahuni hao.No reforms No election" Mungu ibariki Tanzania
By mwinjilist wenu Gabeji
So this is true kuhusu sumuBila shaka kila mmoja anajiuliza kwann mbowe hajagombea chauma? Jibu ni moja tu.