Wwe hao wawili hujawahi hata kusalimiana naoWaliongea mambo mengi sana, watu huwa wanafikiri hivyo, lakini Lisu anasiri sana kuliko hata mbowe, sema watu hawajui maana ya siri
Wwe hao wawili hujawahi hata kusalimiana naoWaliongea mambo mengi sana, watu huwa wanafikiri hivyo, lakini Lisu anasiri sana kuliko hata mbowe, sema watu hawajui maana ya siri
Mkuu kila dhambi ina malipizi yake. Wanasiasa wengi ni kama makaburi yaliyopambwa kwa nakshi za kila aina ila deep down ni mabaki yenye harufu kaliSawa Makala tumekusikia. Ukitaka uvae viatu vya Lissu kapigwe risasi moja tu na ukakae rumande siku Saba pekee. Shida mnaongea kujifurahisha nafasi zenu baada ya kuona Lissu hateteleki.
Tutakuwepo👊Nitarudi
Haahaa labda afungwe..Lissu atapinduliwa come 2026 mapema kwa mkutano mkuu wa dharura
Tofauti ya siri na kusema ukweli ni kubwa.Kwani Mbowe hamjui Tundu Lisu kuwa hana siri!
Ngoja tusubili mkuuuTofauti ya siri na kusema ukweli ni kubwa.
Lissu amenyooka , anasema kweli ni ngumu mtu mwenye makandokando kumshirikisha mambo yako maana yatalipuka tu .
Hujiulizi kwanini team iliyoshindwa tena katika uchaguzi uliokuwa live kwenye mitandao ichukie na kuhama chama kwa mbwembwe na matusi?
Sababu wanajua walichokuwa wakikifanya enzi za Mbowe hayawezi kufanyika kipindi hiki.
mfungulie Lissu na futeni kesi zote muone kazi. itakufaje wakati wana nyanyaswaSi chadema imekufa watapindua nini sasa kumbe chadema bado ipo hakuna kitu Kibaya kama Kujidanganya wenyewe
Kwa nini unaleta udaku?😁Bila shaka kila mmoja anajiuliza kwann mbowe hajagombea chauma? Jibu ni moja tu.
Alipoenda kumsalimia Lisu kule gerezani , waliongea mambo mengi sana. Mbowe alitumwa na wanamtandao, kuwa aende akamshauwishi Tundu Lisu kule gerezani alegeze kidogo, wampe majimbo, akubari kushiriki uchaguzi, Achane na "No reform No election" kama kawaida Tundu Lisu akakaza ,akasema nipo tayari kufa,"
, ukawambie mm nipo kwa ajili ya watanzania. " Wanamtandao walimwahidi vitu vingi sana Lisu endapo angekubari.
Sasa basi hii ndo point ya msingi kwann mbowe hajaenda chauma? Anaogopa Lisu akitoka gerezani ,atakuja kutoa siri, na ndio maana walitaka kumuua, kwa sumu. baada ya kukataa kupitia Mbowe.
Hakika Tundu Lisu ndio mkombozi wa wanyonge wa Taifa hili, Mungu akulinde dhidi ya wahuni hao.No reforms No election" Mungu ibariki Tanzania
By mwinjilist wenu Gabeji
Ccm inamwogopa Lissu kama corona.CCM inamwogopa Lisu ¿¿¿¿ nchi inawatu wagumu sana kuelewa!!!
sasa sio Lisu ndio kavua jezi katupa taulo ulingoni Kagoma kushiliki Uchaguzi.
CCM inausikaje kumwogopa Lisu au Chadema ????
Vyema.Bila shaka kila mmoja anajiuliza kwann mbowe hajagombea chauma? Jibu ni moja tu.