Mnajua kwann? Mbowe Bado hajahamia chauma?

Mbowe hajahamia chaumma mpkq leo kwasabb mapokeo ya chaumma hata baada ya vifaranga wake kuhamia huko siyo mazuri kama alivyotarajia. Hiyo ya kwenda kumshawishi Lisu ilikuwa ni njia mbadala baada ya chaumma kufeli.

Mpk sasa Mbowe anatakiwa kurudisha hela alizopewa na ccm kwa kuwa mkakati wa kuiua chadema aliyoahidi haujafanikiwa.
Mambo ni mengi mkuu
 
Bila shaka kila mmoja anajiuliza kwann mbowe hajagombea chauma? Jibu ni moja tu.
Alipoenda kumsalimia Lisu kule gerezani , waliongea mambo mengi sana. Mbowe alitumwa na wanamtandao, kuwa aende akamshauwishi Tundu Lisu kule gerezani alegeze kidogo, wampe majimbo, akubari kushiriki uchaguzi, Achane na "No reform No election" kama kawaida Tundu Lisu akakaza ,akasema nipo tayari kufa,"
, ukawambie mm nipo kwa ajili ya watanzania. " Wanamtandao walimwahidi vitu vingi sana Lisu endapo angekubari.

Sasa basi hii ndo point ya msingi kwann mbowe hajaenda chauma? Anaogopa Lisu akitoka gerezani ,atakuja kutoa siri, na ndio maana walitaka kumuua, kwa sumu. baada ya kukataa kupitia Mbowe.
Hakika Tundu Lisu ndio mkombozi wa wanyonge wa Taifa hili, Mungu akulinde dhidi ya wahuni hao.No reforms No election" Mungu ibariki Tanzania
By mwinjilist wenu Gabeji
Kiswahili kimekukataa!
 
Sioni kama ana haja ya kuhamia CHAUMA! Yeye kazi yake ni Udalali.
Kuiua CDM kwa mkono wa CCM.
Hana shida ya kuhamia huko! Elewa CDM aliifanya ni Mali yake.
2015 aliiuza CDM kwa CCM kwa mkono wa ENL.
Na ndiyo kaomba atoe ushahidi kwa siri ili Lisu anyogwe na Kisha drama za kumrudishia uenyekiti chadema zifanyike
 
Bila shaka kila mmoja anajiuliza kwann mbowe hajagombea chauma? Jibu ni moja tu.
Alipoenda kumsalimia Lisu kule gerezani , waliongea mambo mengi sana. Mbowe alitumwa na wanamtandao, kuwa aende akamshauwishi Tundu Lisu kule gerezani alegeze kidogo, wampe majimbo, akubari kushiriki uchaguzi, Achane na "No reform No election" kama kawaida Tundu Lisu akakaza ,akasema nipo tayari kufa,"
, ukawambie mm nipo kwa ajili ya watanzania. " Wanamtandao walimwahidi vitu vingi sana Lisu endapo angekubari.

Sasa basi hii ndo point ya msingi kwann mbowe hajaenda chauma? Anaogopa Lisu akitoka gerezani ,atakuja kutoa siri, na ndio maana walitaka kumuua, kwa sumu. baada ya kukataa kupitia Mbowe.
Hakika Tundu Lisu ndio mkombozi wa wanyonge wa Taifa hili, Mungu akulinde dhidi ya wahuni hao.No reforms No election" Mungu ibariki Tanzania
By mwinjilist wenu Gabeji
Bwege kutoka chadema chakavu ya kibaraka lissu likiwapumbaza mabwege wenzie kutoka chadema chakavu ya kibaraka lissu.🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom