Mnajua kwann? Mbowe Bado hajahamia chauma?

Bila shaka kila mmoja anajiuliza kwann mbowe hajagombea chauma? Jibu ni moja tu.
Alipoenda kumsalimia Lisu kule gerezani , waliongea mambo mengi sana. Mbowe alitumwa na wanamtandao, kuwa aende akamshauwishi Tundu Lisu kule gerezani alegeze kidogo, wampe majimbo, akubari kushiriki uchaguzi, Achane na "No reform No election" kama kawaida Tundu Lisu akakaza ,akasema nipo tayari kufa,"
, ukawambie mm nipo kwa ajili ya watanzania. " Wanamtandao walimwahidi vitu vingi sana Lisu endapo angekubari.

Sasa basi hii ndo point ya msingi kwann mbowe hajaenda chauma? Anaogopa Lisu akitoka gerezani ,atakuja kutoa siri, na ndio maana walitaka kumuua, kwa sumu. baada ya kukataa kupitia Mbowe.
Hakika Tundu Lisu ndio mkombozi wa wanyonge wa Taifa hili, Mungu akulinde dhidi ya wahuni hao.No reforms No election" Mungu ibariki Tanzania
By mwinjilist wenu Gabeji
Story kama hii tunathibitishaje?
 
Kwaiyo sasa mchungaj tumekusikia sasa Sadaka ya maono yako tunakutumiaje??
 
Waliongea mambo mengi sana, watu huwa wanafikiri hivyo, lakini Lisu anasiri sana kuliko hata mbowe, sema watu hawajui maana ya siri
Siri ni kutomweleza yeyote mambo yasiyomhusu au kutosimulia yale ambayo nawe huenda umeyafahamu tu kwa nafasi uliyonayo.
 
Bila shaka kila mmoja anajiuliza kwann mbowe hajagombea chauma? Jibu ni moja tu.
Alipoenda kumsalimia Lisu kule gerezani , waliongea mambo mengi sana. Mbowe alitumwa na wanamtandao, kuwa aende akamshauwishi Tundu Lisu kule gerezani alegeze kidogo, wampe majimbo, akubari kushiriki uchaguzi, Achane na "No reform No election" kama kawaida Tundu Lisu akakaza ,akasema nipo tayari kufa,"
, ukawambie mm nipo kwa ajili ya watanzania. " Wanamtandao walimwahidi vitu vingi sana Lisu endapo angekubari.

Sasa basi hii ndo point ya msingi kwann mbowe hajaenda chauma? Anaogopa Lisu akitoka gerezani ,atakuja kutoa siri, na ndio maana walitaka kumuua, kwa sumu. baada ya kukataa kupitia Mbowe.
Hakika Tundu Lisu ndio mkombozi wa wanyonge wa Taifa hili, Mungu akulinde dhidi ya wahuni hao.No reforms No election" Mungu ibariki Tanzania
By mwinjilist wenu Gabeji
Lissu atakuja kutoa siri gani?? Siri yenyewe wewe umeitoa kwenye Uzi wako tayari, acha kusema ni siri 🤔🤔🤔
 
Ngoja Mnyapaa atoke atasema yote na mengine tusiyoyajua.

Bila shaka kila mmoja anajiuliza kwann mbowe hajagombea chauma? Jibu ni moja tu.
Alipoenda kumsalimia Lisu kule gerezani , waliongea mambo mengi sana. Mbowe alitumwa na wanamtandao, kuwa aende akamshauwishi Tundu Lisu kule gerezani alegeze kidogo, wampe majimbo, akubari kushiriki uchaguzi, Achane na "No reform No election" kama kawaida Tundu Lisu akakaza ,akasema nipo tayari kufa,"
, ukawambie mm nipo kwa ajili ya watanzania. " Wanamtandao walimwahidi vitu vingi sana Lisu endapo angekubari.

Sasa basi hii ndo point ya msingi kwann mbowe hajaenda chauma? Anaogopa Lisu akitoka gerezani ,atakuja kutoa siri, na ndio maana walitaka kumuua, kwa sumu. baada ya kukataa kupitia Mbowe.
Hakika Tundu Lisu ndio mkombozi wa wanyonge wa Taifa hili, Mungu akulinde dhidi ya wahuni hao.No reforms No election" Mungu ibariki Tanzania
By mwinjilist wenu Gabeji
oj
 
Ccm wanamwogopa Lissu mpka pressure inapanda.
CCM inamwogopa Lisu ¿¿¿¿ nchi inawatu wagumu sana kuelewa!!!

sasa sio Lisu ndio kavua jezi katupa taulo ulingoni Kagoma kushiliki Uchaguzi.

CCM inausikaje kumwogopa Lisu au Chadema ????
 
Bila shaka kila mmoja anajiuliza kwann mbowe hajagombea chauma? Jibu ni moja tu.
Alipoenda kumsalimia Lisu kule gerezani , waliongea mambo mengi sana. Mbowe alitumwa na wanamtandao, kuwa aende akamshauwishi Tundu Lisu kule gerezani alegeze kidogo, wampe majimbo, akubari kushiriki uchaguzi, Achane na "No reform No election" kama kawaida Tundu Lisu akakaza ,akasema nipo tayari kufa,"
, ukawambie mm nipo kwa ajili ya watanzania. " Wanamtandao walimwahidi vitu vingi sana Lisu endapo angekubari.

Sasa basi hii ndo point ya msingi kwann mbowe hajaenda chauma? Anaogopa Lisu akitoka gerezani ,atakuja kutoa siri, na ndio maana walitaka kumuua, kwa sumu. baada ya kukataa kupitia Mbowe.
Hakika Tundu Lisu ndio mkombozi wa wanyonge wa Taifa hili, Mungu akulinde dhidi ya wahuni hao.No reforms No election" Mungu ibariki Tanzania
By mwinjilist wenu Gabeji
Mkuu lisuu kuleta mabadiliko nakubaliana na ww kwa 100% ila to be the head hapana anakosa vitu vya msingi kabisa ambavyo the head is needed.. ila kwa agenda zake atatuvusha then anawajibika kumpa mtu mwingine kijiti...
 
Ngoja tuone mkuu
 
Na amekubali kuwa shahidi wa Jamhuri ili kukamilisha mchakato wa kumtia Lissu hatiani, Lissu akishapotezwa Mbowe anarudishiwa kikoba chake aendelee kupiga pesa ya Abdul.

Mbowe alishakataliwa CHADEMA. Hawawezi kumrudisha kamwe.
 
Hakuna mkombozi hapo. Tofauti yake na wapigaji wengine yeye anakuwa yupo smart kama kuku, anakula na kuufuta mdomo wake haraka sana leaving no trace behind

Sawa Makala tumekusikia. Ukitaka uvae viatu vya Lissu kapigwe risasi moja tu na ukakae rumande siku Saba pekee. Shida mnaongea kujifurahisha nafasi zenu baada ya kuona Lissu hateteleki.
 
Bila shaka kila mmoja anajiuliza kwann mbowe hajagombea chauma? Jibu ni moja tu.
Alipoenda kumsalimia Lisu kule gerezani , waliongea mambo mengi sana. Mbowe alitumwa na wanamtandao, kuwa aende akamshauwishi Tundu Lisu kule gerezani alegeze kidogo, wampe majimbo, akubari kushiriki uchaguzi, Achane na "No reform No election" kama kawaida Tundu Lisu akakaza ,akasema nipo tayari kufa,"
, ukawambie mm nipo kwa ajili ya watanzania. " Wanamtandao walimwahidi vitu vingi sana Lisu endapo angekubari.

Sasa basi hii ndo point ya msingi kwann mbowe hajaenda chauma? Anaogopa Lisu akitoka gerezani ,atakuja kutoa siri, na ndio maana walitaka kumuua, kwa sumu. baada ya kukataa kupitia Mbowe.
Hakika Tundu Lisu ndio mkombozi wa wanyonge wa Taifa hili, Mungu akulinde dhidi ya wahuni hao.No reforms No election" Mungu ibariki Tanzania
By mwinjilist wenu Gabeji
Ukombozi hautamsaidia chochote kwa aina hii ya wananchi.
Yes, anaweza akawa anapambana lakini je, hao wanaopambaniwa wapo tayari?!
 
Back
Top Bottom