Mnajua kwann? Mbowe Bado hajahamia chauma?

Kama atahukumiwa jela au kunyongwa kwa mtazamo wangu naona jamaa hajahama kwakua anajua kuwa anaweza kupata nafasi ya kuwa mwenyekiti tena ikiwa Lisu ataishia gerezani
 
Bila shaka kila mmoja anajiuliza kwann mbowe hajagombea chauma? Jibu ni moja tu.
Alipoenda kumsalimia Lisu kule gerezani , waliongea mambo mengi sana. Mbowe alitumwa na wanamtandao, kuwa aende akamshauwishi Tundu Lisu kule gerezani alegeze kidogo, wampe majimbo, akubari kushiriki uchaguzi, Achane na "No reform No election" kama kawaida Tundu Lisu akakaza ,akasema nipo tayari kufa,"
, ukawambie mm nipo kwa ajili ya watanzania. " Wanamtandao walimwahidi vitu vingi sana Lisu endapo angekubari.

Sasa basi hii ndo point ya msingi kwann mbowe hajaenda chauma? Anaogopa Lisu akitoka gerezani ,atakuja kutoa siri, na ndio maana walitaka kumuua, kwa sumu. baada ya kukataa kupitia Mbowe.
Hakika Tundu Lisu ndio mkombozi wa wanyonge wa Taifa hili, Mungu akulinde dhidi ya wahuni hao.No reforms No election" Mungu ibariki Tanzania
By mwinjilist wenu Gabeji

Kwa mtaji huu usalama wa Lissu au hata kuachiliwa ni majaliwa
 
Binti acha umbea
 
Bwege kutoka chadema chakavu ya kibaraka lissu likiwapumbaza mabwege wenzie kutoka chadema chakavu ya kibaraka lissu.🤣🤣🤣🤣
Kama Lissu ni kibaraka, hao wanaouza rasirimali zetu kwa fujo tuwaiteje ? Bandari, Loliondo, gas, makaa ya mawe, madini, nk mnauza kwa wazungu, waarabu na wachina. Lissu aliuza nini, ????
 
Bila shaka kila mmoja anajiuliza kwann mbowe hajagombea chauma? Jibu ni moja tu.
Alipoenda kumsalimia Lisu kule gerezani , waliongea mambo mengi sana. Mbowe alitumwa na wanamtandao, kuwa aende akamshauwishi Tundu Lisu kule gerezani alegeze kidogo, wampe majimbo, akubari kushiriki uchaguzi, Achane na "No reform No election" kama kawaida Tundu Lisu akakaza ,akasema nipo tayari kufa,"
, ukawambie mm nipo kwa ajili ya watanzania. " Wanamtandao walimwahidi vitu vingi sana Lisu endapo angekubari.

Sasa basi hii ndo point ya msingi kwann mbowe hajaenda chauma? Anaogopa Lisu akitoka gerezani ,atakuja kutoa siri, na ndio maana walitaka kumuua, kwa sumu. baada ya kukataa kupitia Mbowe.
Hakika Tundu Lisu ndio mkombozi wa wanyonge wa Taifa hili, Mungu akulinde dhidi ya wahuni hao.No reforms No election" Mungu ibariki Tanzania
By mwinjilist wenu Gabeji
Mbowe atabaki mioyoni mwenu na kwenye vinywa vyenu hadi pale mtakapoenda kumuomba msamaha kwa matusi na uongo mnaomtungia kila siku! Kama asemavyo Kaka Pascal Mayalla, karma ipo na karma ya Mbowe inawatafuna sana Chadema !
 
Na wanachadema waliokufa na kupotea vp?
 
Back
Top Bottom