Mnafiki SITTA jana ITV

Re: Mnafiki SITTA jana ITV

quote_icon.png
By Mama Mdogo
Rose1980, hapa mimi bado niko bado natafakari kuhusu mwelekeo na misimamo ya BAADHI ya wana JF wenzetu waliojiunga kuanzia July 2010 wakati tukielekea uchaguzi mkuu. Naona kuna wengine walijiunga ili kutekeleza interest binafsi, maana kada la hawa watu ni bifu, majungu, uongo, uzandiki, hadithi za kufikirika nk. tu kwa kwenda mbele. Tafakari, chukua maamuzi!!

Mama mdogo hapo juu uliyoyasema ni ukweli mtupu!!
Inaelekea kuna watu wameingia JF kwa nia zao mbaya ila hawawezi badilisha kitu kwani watanzania wa leo wanaona ukweli, wanaujua ukweli na wanaweza kuchambua mambo na kufanya maamuzi yenye manufaa!!
Kwa hiyo kama wanajidanganya wanaweza kubadilisha hayo wanajichosha tu heri wamwache Sitta aseme kuisadia serikali isiyoweza kukemea uovu!
huna kumbukumbu
umesahau namna SITTA alivyobehave aliposhika nafasi ya kiongozi wa serikali bungeni??? aliishia kutukana wapinzani wanafki huku akibariki POSHO
Hivi wakuliwa wanapata wapi POSHO???????????? wewe unadanyanyika kirahisi kama toto bonge.
 
hana uzalendo huyu mtu hata kidogo. Kwanini alijenga ofisi ya spika urambo? Au alitaka kuwa spika wa maisha?
Kwa nini ali-align na wachumia tumbo wengine wa magamba kuhalalisha maposho hayo ambayo ni mzigo kwa taifa?
Kwa nini alizuia richmond kujadiliwa early mwaka jana? Si ndo maana tumefikishwa kwenye kulipa mamia ya mabilioni wakati hali zetu zinazidi kudorora?
Namhate sana huyu mzee na magamba wote.
Hakuna afadhali mle, wote ni magamba tu. Lazima yavuliwe ili tubaki salama. Tena ingekuwa amri yangu, CCM ingefutiliwa mbali na wanachama wahusika waliotufikisha hapa wangefunguliwa mashtaka kwenye special tribunal.
Majiniwatu haya.
be blessed! watu wanajiridhisha kuwa SITTA msafi wakati bora Mtikila
 
Anapiga kelele kila siku 'ooh dowans ni genge la majizi machache' wakati hajawah hata siku moja kuwataja hao wezi.
Haamini anachokiropoka, ila tamaa ya madaraka makubwa ndo yanayomsumbua. Tena huyu anadhani anapendwa na watz.
Hakuna kitu. Hana tofauti na ccj wenzake akina Mwakyembe na NAUYE. Alipotishiwa kuvuliwa uspika mwaka jana akaufyata mkia kabisa. Ndo hayo hayo tunayoyashuhudia kwa NAPE na kelele zake za kujivua gamba.
Yaani CCM ukiona NGI utadhani NGE. Vululuvululu tu.
 
Huyu Samweli asituchezee wananchi,Kwani suala la Dowans liliamuliwa kisheria,Kama alilifunga kisiasa alipo kuwa spika basi hii ndiyo historia mbaya itakayomgharimu maishani mwake hasa katika hatua yake ya uzeeni,Kama anataka anaweza pata ushauri wa bure ambao ni kuvua suti ya uwaziri na kuvaa joho la uwanasheria na uwakili ili akapinge malipo hayo kisheria na kufungua upya kesi ya uhujumu uchumi.Hiyo ndo njia pekee itakayo mfasafisha,Avaae joho la uwakili na uvue joho la uwaziri,kelele zake hazitusaidii zaidi ya kutufanya tumdharau na kumtamani kumnyonga sainia siasa badala ya sheria.
 
be blessed! watu wanajiridhisha kuwa SITTA msafi wakati bora Mtikila

shosti aliekutuma kumchafua Sitta sijui kakulipa nini:director:??? naona umekamia kweli!!!

Ila hujatueleza ubaya wake mkubwa hivyo aloufanya bado-labda nikuombe unishawishi tena ntakuelewa labda......

Vinginevyo heri Umuongelee makamu mwenyekiti ya ccm mzee
msekwa:spy: anayefisadi maliasili na nyara za serikali hapo watanzania tutakuelewa!
 
kama kuna watu nisowaamini ndani ya sisiem ni Nape na Sitta, hawa hujifanya wazalendo sana na wapigania haki za wanyonge kumbe huwa wanatikisa kucheki maslahi yao yanalindwaje au kuongezwaje.

Kama kweli yeye ni mzalendo mbona aliondoa mjadala wa Richmond bungeni na leo anapinga tozo yake ya mahakamani?kwanini hakupinga akiwa na mamlaka ya Uspika?kwanini mpaka leo anaendelea kukaa nyumba ya Spika ili hali yeye sio spika?hajioni kuwa anasababisha nchi hasara kwa kumkodishia nyumba nyingine spika wa sasa wakati nyumba ya spika ipo?kama ni mzalendo kwanini haokoi gharama za serikali?

Kwanini alishinikiza ofisi ya mbunge urambo ijengwe kwa hadhi ya spika?ina maana urambo ndio watatoa spika milele?huu si ubinafsi?

haya ni machache nawakilisha
 
jamani tusianze kujudge kabla kesi haijesha.tumwache mtu mwenye nia yake nzuri tuone anachotaka kufanya.baada ya hapo ndipo judgement ifanyike.
 
kuna suala pia linaleta mkanganyiko,wadau nisaidieni, Hivi katika sheria ya manunuzi ya ummah,hivii inazungumzia tuu zuio la ununuzi wa mitambo chakavu,vipi kuhusu endapo mtambo chakavu ukanunuliwa na mtu binafsi halafu ukaanza kuzalisha huduma na kuwauzia serikali isiyo ruhusiwa kununua mitambo chakavu!!!!!!!!kipi ni kipi??????? Hatukutaka kununua Dowans kwa kile kinachoitwa mitambo chakavu!!!!!!!!! leo hata nyumba ya Samweli[spika],mwakyembe[Richmond] inatumia megawati za Dowans mitambo chakavu.Napata contradiction of logic!!!!! ni siasa au urari wa kisheria.
 
huyu kaka kachoka, mbona walianzisha chama chao kama yeye ana uchungu na ccm, si ni mnafiki tu huyu.
 
Nitamkumbuka SITTA kwa jinsi alivyoliendesha BUNGE letu kwa gharama kubwa mno bila kujali WATANZANIA wa IGUNGA, URAMBO, TUNDURU, ......., wanavyoishi kwa taabu. Alipanga nyumba ya dola elfu8 kwa mwezi. Akaboresha posho na mafao ya wabunge kwa mapesa ya ajabu. Akawawezesha wabunge kuchukua posho kila kona walikotembelea. Jana nikaona anajidai kuwasemea wanyonge wa nchi hii! Amesahau jinsi alivyounyamazisha mjadala wa Richmond. Huyu baba wa makundi wala hajatuambia kilichomuengua kwenye kinyang'anyiro cha uspika. Wala hajtuambia kwa nini alimchuuza Mpendazoe.
 
u r my bratha from anatha matha
 
hana uzalendo huyu mtu hata kidogo. Kwanini alijenga ofisi ya spika urambo? Au alitaka kuwa spika wa maisha?
Kwa nini ali-align na wachumia tumbo wengine wa magamba kuhalalisha maposho hayo ambayo ni mzigo kwa taifa?
Kwa nini alizuia richmond kujadiliwa early mwaka jana? Si ndo maana tumefikishwa kwenye kulipa mamia ya mabilioni wakati hali zetu zinazidi kudorora?
Namhate sana huyu mzee na magamba wote.
Hakuna afadhali mle, wote ni magamba tu. Lazima yavuliwe ili tubaki salama. Tena ingekuwa amri yangu, CCM ingefutiliwa mbali na wanachama wahusika waliotufikisha hapa wangefunguliwa mashtaka kwenye special tribunal.
Majiniwatu haya.

hapo kwenye red natamani ccm wafanye hivyo hata sasaivi! lol
 
Rose1980, hapa mimi bado niko bado natafakari kuhusu mwelekeo na misimamo ya BAADHI ya wana JF wenzetu waliojiunga kuanzia July 2010 wakati tukielekea uchaguzi mkuu. Naona kuna wengine walijiunga ili kutekeleza interest binafsi, maana kada la hawa watu ni bifu, majungu, uongo, uzandiki, hadithi za kufikirika nk. tu kwa kwenda mbele. Tafakari, chukua maamuzi!!

taratibu mama, wengine ndo kwanza tulitambulishwa habari za JF wakati huo, nafikiri mwaka wa kujiunga JF isiwe issue sana hapa JF manake mkifanya hivyo tutawahesabu kuwa na nyinyi ni wanafiki kama CCM wanaodhani kukaa madarakani ni uzoefu wa kuongoza.
 
Ina maana wewe unawapenda mafisadie!!!!?????
Basi nimekuogopa tena kama ni hivyo wewe ni mnafki kuliko watanzania wote!!

na unajua kwamba 6 ni fisadi papa?? basi wewe ndo mnafiki na 1 afrika mashariki, 6 anajivika ngozi ya kondoo ndani ni mbwa mwitu.
 
jana kwenye taarifa ya habari saa mbili itv niliona mzee sitta akizindikwa kuwa mzee wa mkoa wa tabora
sherehe hii kwa tabora ina maana kuwa sitta ni mtu aliyesaidiana sana maendeleo ya tabora

sita akihutubia alisema kuwa yeye na wenzake watetengeneza mtandao wa kuondoa dhuluma dhidi wa walalahoi unaofanywa na serikali na ua ccm,mgeni mwalikwa alikuwa james lembeli mzee wa ndege za barrick

my take:sitta ni mnafiki namba mmoja kuwahi kutokea katika siasa za leo.tuliozaliwa lmiaka ya late 1980 tulikuwa tunaambiwa na baadhi ya wazee kuwa maalim seif ni mnafiki kuliko wazanzibar wote na sasa tumeanza kuamini.

Sitta hana punje ya uzalendo ila anakerwa na kunyimwa uwaziri mkuu, sitta pia anatakiwa abebeshwa zigo la dowans
sitta mpaka kesho anaishi nyumba ya spika, alijenga ofisi ya spika urambo?alikubali kuondoa dowans bungeneni kwa ahadi ya kuendelea na uspika?aliunga mkono posho, mkwewe alidakwa na takukuru akisambaza simu ila sheria imemwogopa.

kijana una uhakika na hayo usemayo?naona we umetumwa kumharibia sitta nitajie kiongozi gani ndani ya magamba kiukweli ambaye ameonyesha moyo wakutetea na kkusimamia masuala ya ufisadi nchini.hayo ya takukuru na mke wa sitta sio kazi yake hapo ilaumu takukuru,unalazimisha lawama kwa sitta loh mwambie aliyekutuma sitta achafukiki ingawa ana mapungufu yake kama binadamu.kama ni nyumba mbona wote waliopita kama hawakai kwenye nyumba zao basi wanalipiwa gharama za nyumba fanya uchunguzi..
 
kama haya unayoongea yanatoka moyoni kwako kweli sawa, ila kama umetumwa nakupa pole sana, hakuna kiongozi asiye na mapungufu, si bora huyu anayepambana hadharani kwa kuanika ufisadi, si bora anayeongea tukamsikia, je upo tayari kumpigia kura kiongozi asiyesema sera zake hadharani? mbona hao wengine wamekaa kimya??? niseme tu, pamoja na mapungufu yake SITA bado ni kiongozi anayekubalika na jamii, si wale wengine unaowapigia chapuo.
 
jana kwenye taarifa ya habari saa mbili ITV niliona Mzee SITTA akizindikwa kuwa mzee wa mkoa wa TABORA
Sherehe hii kwa Tabora ina maana kuwa SITTA ni mtu aliyesaidiana sana maendeleo ya Tabora

SITA akihutubia alisema kuwa yeye na wenzake watetengeneza mtandao wa kuondoa dhuluma dhidi wa walalahoi unaofanywa na serikali na ua CCM,Mgeni mwalikwa alikuwa JAMES LEMBELI mzee wa ndege za Barrick

My take:SITTA ni mnafiki namba mmoja kuwahi kutokea katika siasa za leo.Tuliozaliwa lmiaka ya late 1980 tulikuwa tunaambiwa na baadhi ya wazee kuwa Maalim Seif ni mnafiki kuliko wazanzibar wote na sasa tumeanza kuamini.

Sitta hana punje ya uzalendo ila anakerwa na kunyimwa uwaziri mkuu, Sitta pia anatakiwa abebeshwa zigo la Dowans
Sitta mpaka kesho anaishi nyumba ya Spika, alijenga ofisi ya spika urambo?alikubali kuondoa dowans bungeneni kwa ahadi ya kuendelea na uspika?aliunga mkono posho, mkwewe alidakwa na takukuru akisambaza simu ila sheria imemwogopa.

Tutasikia mambo mengi sana,ipo siku tutajua pumba ni zipi na mchele ni upi.
 
Dogo huo upagazi uliopewa hutaumudu. Mzigo uliopewa ni mkubwa na haulingani na malipo uliyopewa.
 
Wakubwa huyu mzee hana chembe ya uzalendo ndani ya nafsi yake!! Hivi ni nani anaeweza kukata tawi huku amelikalia???? Mtu wa namna hiyo kama si mnafiki.... basi atakua mjinga!!! Meno ya mbwa hayaumani jamani!!!! Yeye kama anauchungu kweli basi asiwe na shirika na hao anaowatuhumu!! Please Mr. Sitta.... stop playing us for the sucker!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom