Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,167
- 10,226
Afu wewe mdada nakutafuta, hakikisha tunaonana kabla ya x'mass nkukabidhi lile gauni lako, fundi keshamaliza kushona...amekuwekea kola nyeupe na mikanda...
mpenzi nimekumiss. Nipo busy na shemeji yako uporoto tunafanya tendo la uumbaji. Namwona bishanga anapakaza fitina. Gauni langu nitumie usije ukalivaa.