we kongosho weee,unamwambia SL umenifanya nini?
yaani umenitafuna mzima mzima?lol!
Kwani uongo?
Raha ya kula mfupa kula na bone marrow
kusema kweli uzi wa marytina wa ulesbian naona ndo unatufungia mwaka! Du!
mbona ule uzi hauna noma kiivyo???