MMU team bachelors Vs team wasio kua bachelors.

MMU team bachelors Vs team wasio kua bachelors.

Heri ya mwaka mpya wakuu,napendekeza tuwe na teams hapa jamvini kati ya mabachelor na wasio kua mabachelor, hii ni katika kuboresha na kunogesha tu jukwaa,nadhani inaweza hata kusaidia wale wanao omba ushauri hapa jamvini kutambua aina ya ushauri umetoka kwa mtu wa namna gani nadhani nime eleweka hapa..

Mi napendekeza ichezwe game ya mpira wa miguu kat ya waliooa na wasiooa
 
ha ha ha
hivi Tembosa, my best friend keshafanya ile homework nilompa?
marafiki si lazma wawe na tabia sawa, mimi niko tofauti..mwaka huu lazma nimalize huu mjadala!!
Am giving u a chance!

mkuu kwani ulitaka mimi nimwoe miss chagga?
una uhakika hajaolewa?
 
Last edited by a moderator:
Ila nimechoka kuwa bachelor, kha!
Kweli mwaka huu kitaeleweka???
Fanya 'Masters' basi,Lols--Joking!
Ndugu, aliechoka hasemi, anavunja kimya tu.
Nakumbuka, Wacheza kwaito,azonto, zungukazunguka tumejaa tele na michango utapata mingi tu.
Angalizo: Walioko ndani wanatamani watoke, Akili kichwani mwako.
 
Please don't stop! Married Status still loading ......
 
Heri ya mwaka mpya wakuu,napendekeza tuwe na teams hapa jamvini kati ya mabachelor na wasio kua mabachelor, hii ni katika kuboresha na kunogesha tu jukwaa,nadhani inaweza hata kusaidia wale wanao omba ushauri hapa jamvini kutambua aina ya ushauri umetoka kwa mtu wa namna gani nadhani nime eleweka hapa..

Unataka kuwazibia wenzio rizki tu...
 
Bachelor eti....!nastaafu mwaka huu ila sijui nastaafu vp haaahaa duh km limeniganda.
 
Back
Top Bottom