MMU hot talk

At last....umekubali...inatakiwa uwe shujaa namna hiyo "muuza k"....haya tuongee business,how much?....nijibu bwana niko serious...kama vipi nicheck PM!

Hapo na mimi naona ndo kameweka ukweli sasa...
 

Umepima na kitu gani ukajua ni overrated?...au ni brain stimuli zako zimeleta taarifa kua ni overrated?Haya na mwenzako akisema ni underrated?Nani yupo sahihi btn u too?...Ukisema ni wewe,uhalali huo kwamba upo sahihi umetoka wapi labda?
 
Last edited by a moderator:


kumbe huu mjadala bado ni mkubwa! wacha nipite
 
Nimekuelewa Mkuu ntalizingatia
FOCUS! FOCUS! GO FOR THE BIG REPUBLICANS!!!!!!!!! Kuna watu toka Ijumma Usiku wapo FRONT LINE, hao ndo wape kipaumbele kuwajibu, maana ndo wana uchungu wa huu uzi! Wanaokuja jioni hii TUPA KULE! Mi bado niko POOOOOO! Nitarudi a nguvu mpyaaa! Nacheza reserve nausoma mchezo kwanza!
 

.........you aint naughty by nature...you just got some loose screws in the head,,,needs some fixing..and you will get back on on your senses......

...lets get some flashback to give you hope...
.
....wow...

......Unafanya mambo hadi unajifikiria mzazi wako akisikia anaweza kuzimia. Point is i lost my CONSCIOUS along the road. Nafanya mambo mpaka najiuliza did i really do that? Ops i just did!
.
...behaviour change is possible...
.....Sasa dunia hadaa ulimwengu shujaa, nimekula vya watu, nimeliwa, give or take my love life hasnt been BAD! Not perfect but certainly NOT BAD! Sometime yes, sometimes no.
.....re-think and do not preach to the next generation....you are behind your hey days now.....

cc:angelita
 
You wish...sijawai hata kujua hao ma Mod wanakuwa contacted vipi...

Endelea kumsaidia amu...

Mmekutana na kisiki cha mpingo leo...
Njoeni wote na hao wanaowasaidia thru PM...

Nimejaa tele...:llama:

Achana nao dada...wanakupotezea muda tu...
 

Hatuendi na maneno hapa evidence tu, mwenzio najulikana na watu wenye akili zao humu usinichukulie powa, usije umbuliwa kama mwenzio kujifanya msafi wakati kajaa matope, tuliza kengere zako usitake kuanikwa hapa wanaume wenzio wanaojitambua wametulia pembeni sasa nyie mabasha mnavyohangaika.
 
,,,,hahah unused quarter back.....crying for a timeout.........
 
Umepima na kitu gani ukajua ni overrated?...au ni brain stimuli zako zimeleta taarifa kua ni overrated?Haya na mwenzako akisema ni underrated?Nani yupo sahihi btn u too?...Ukisema ni wewe,uhalali huo kwamba upo sahihi umetoka wapi labda?

Hahahaaaaaaaa! TOO LITTLE FOR MY LEAGUE! BRIGEDIA GENERAL Saivi naingia in command, wont have time for your little chatts! Sorry but I GOT TO FOCUS!
 
You wish...sijawai hata kujua hao ma Mod wanakuwa contacted vipi...

Endelea kumsaidia amu...

Mmekutana na kisiki cha mpingo leo...
Njoeni wote na hao wanaowasaidia thru PM...

Nimejaa tele...:llama:

Hizo file za kweli hazija chakachuliwa utaweweseka sana kumjua mchawi nani.

Bibi la bibi twende kazi umezoea kujifanya mwema na ID yako inayojulikana zile zingine unaziweka reserved kwa shughuri maalumu tumekujua bibi la bibi.
 
Hizo file za kweli hazija chakachuliwa utaweweseka sana kumjua mchawi nani.

Bibi la bibi twende kazi umezoea kujifanya mwema na ID yako inayojulikana zile zingine unaziweka reserved kwa shughuri maalumu tumekujua bibi la bibi.

Single gani unarudia mistari miwili ile ile...

Jazilizia...:llama:
 
Atoroke nani mwambie akazane kupiga Simu ila thread haifungwi, hapo alipo kazalishwa na mume wa mtu afu anakuja kuweweseka hapa, file lake limekuja mezani tuliza kengere zako, unarusha mawe wakati unakaa Nyumba ya vioo.

Dada Angelita huu ugomvi naona mnaupeleka mbali...mshapandwa jazba...wasichana bana...mi siingilii...ila naomba tu dada yangu uniuzie p,as long usha declare biashara,i will give an offer u cant refuse...
 
Wapo file kwamba hata kwa party ulionekana hujifichi nyuma ya keyboards.... na tunakujua vizuri sana sio hao wanafiki wazeee.
Halafu we lara 1 yule last born wako umeshamsimamia kufanya homework?maana naona unavyojishebedua wakati mtoto wa miaka 6 anatakiwa asimamiwe homework...
 
Last edited by a moderator:
kwanini wanakimbilia kwenye ban...

wENZIO IJUMAA ILE TULICHAMBA WATU VIP HUMU, TUKAPIGWA BAN WOOOOOOOOOOTE, MISS NEDDY HOST, MIMI, MGENI RASMI, HATA SISIMIZI WALIOKATIZA ULE UZI WALIKULA BAN! Sasa basi huu wa leo UNA KIBALI, NA WADHAMINI WNAOSPONSOR MTU JINA KUBWAAA, HIGHLY RESPECTED, ANAJIFANYAGA LADY OF VIRTUES AKIVULIWA NGUO KAMA HIVI, WAKO RADHI KUKUNULIA BUNDLE NA RED BULL! How hotter can it get?

Miss Neddy GETS THE RATINGS,
Angelita gets the fame,
Sponsors CAN NVER BE HAPPIER BIG FISHES WAKIKAANGWA KAMA HIVI
Lara 1, i get nothing, just protecting the youngy, The charitable me!

EVERY BODY IS HAPPY!
 

Tatizo lenu ndo hilo mkipewa ukweli mnakimbilia kwenye matusi au na hiyo inakuongezea cv?!!!...maana cv zenu za kishamba mnazitoa kubrag kwenye mambo ya kishamba kishamba tu, hapo nlipopigia mstari ndo shida nyingine ilipo kujulikana JF nayo ni dili sana..!!?? au mnafanya haya humu ili mjulikane..?! then mkishajulikana nini kinafuata..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…