nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,397
Yaani wanamshauri mwenzao amuache leo wakati kaagiziwa gari...
Hii si
P.ussy sellers!.....what is the price tag?we wanna buy
Yaani wanamshauri mwenzao amuache leo wakati kaagiziwa gari...
Hii si sawa.
Mtatangaza sana miaka ...
Hata miss Tz kasema ni 18...
Haisaidii...
Wanaume wamewashtukia wanaangalia sura kama imeshuka or not...
Miaka weka kwenye vyeti vya kuombea ajira au u miss
Ha ha umepanic....
Kama mie sura imenishuka wewe utakuwa una uharaza wa pusi
Uko sawa kabisaaa lakini mwenyewe kapenda kupata kwa njia hiyo kuna ubaya......Ivi gari ni nini..? mbona mnaaibisha hivyo yaani gari ndo linawachengua hivyo...? lakini mbona kuna wengine wenzenu wengi tu wanapiga mzigo wananunua hayo magari na wametoka familia maskini tu..!!!!!
it was just a by the way....ok the foot soldier... but you know the whole truth....this is the highest degree of selfishness.....moneysake ,...moneysake....and who is targeted...the poor married man....so shameless
Ha ha umepanic....
Kama mie sura imenishuka wewe utakuwa una uharaza wa pusi
You can say that again (navyopenda kusifiwa lol)
Nimefuta kauli yangu...
Wewe ni mzuri kama huyo unayemtumia kwenye avatar yako...lol
(nisije nikaua bashara za watu)
HAAHAHAAAAAAAAAAA! WE SI ULIKUWA TEAM YA REPUBLICANS? MBEBA POCHI WA HER MAJESTY YOUR ROYAL HIGNESS/ HAPPY MARRIAGE??????????????????? HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!
WELCOME TO THE DEMOCRATS WHERE TRUTH HAS NO TEMPERATURE!
HATA UKIA MBAYA BUT YOU ARE STILL YOUNG AS SHIT! Hahahaaaaaaaaaa!
HAAHAHAAAAAAAAAAA! WE SI ULIKUWA TEAM YA REPUBLICANS? MBEBA POCHI WA HER MAJESTY YOUR ROYAL HIGNESS/ HAPPY MARRIAGE??????????????????? HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!
WELCOME TO THE DEMOCRATS WHERE TRUTH HAS NO TEMPERATURE!
HATA UKIA MBAYA BUT YOU ARE STILL YOUNG AS SHIT! Hahahaaaaaaaaaa!
Wote tunapitia machafuko mbalimbali,yeye sio wa kwanza na wa mwisho,wote ni wadhambi....shida ni hawa wanakuja kujisifia kuharibu nyumba za watu as if ni jambo la maana wamefanya...wanadiss married people madhaifu yao na jinsi wanavyotake advantage kuhalalisha home wrecking...haiwezekani madhambi ninayofanya nije hapa nianze kuyaglorify kwamba ni sahihi,kama sio ujuha ni nini?
Ha ha umepanic....
Kama mie sura imenishuka wewe utakuwa una uharaza wa pusi
Hapo nilipobold ndo kunashida kidogo, so hapo sasa tukubaliane kwanza kazaliwa familia maskini( kama watu wengine wengi), lakini pia kashidwa kuhimili huo umaskini (kama wasichana wengine wengi) na alikchoamua kufanya ni kuuza k(papuchi) ili aweze kukabiliana na huo umaskini..kwa hiyo yeye ni muuza k ila anauza kisomi sio kama wale wa buguruni wa baribarani...hatuwezi kumkatza maana wala hatumjuai ila kwa kuwa ameleta hapa na anabrag as if ni kitu cha kawaida na sisi tupo jf ndo tumefikia hapa sasa kwamba si kitu cha kawaida na wala sio njia ambayo inatakiwa ifuate ya kutatuta umaskini..angekubali tu kwamba anauza mwili(kisomi) wala huo mtanange na nyumba kubwa usingefika huko...Uko sawa kabisaaa lakini mwenyewe kapenda kupata kwa njia hiyo kuna ubaya......
Haaaaaa mshahara wenyeqw kazini 500k kuanza nao mpaka upate 12m kununua gari leo....
Na keshasema yupo anasoma embu mumuwaaacheee
Kwi kwi kwi...
Kumbe na wewe umeshamuona hatabiriki, aaminiki...
Huku yupo
Kule yupo
Na hatutaki wasaliti kwenye team yetu mpya siye...
Tumewapa ... mchukueni buuuree...
Wewe mbibi embu tulia kwanza dose uliyopewa ikuingie dozi yangu hutoiweza.....
Very old and single last born 6 yrs sipati picha wa kwanza(uwiiiii naogopa laana mie kumtukana mamangu)
Serious tena sitaki kukutolea maneeeno machafu zaidi ya hapo....
hawa si watoto ni watu wazima wanaoishi maisha ya kuigiza akina wema sepetu
Hahahaaaaaaaaaaaaa! KONZI HILO! Imebidi niandike kwenye simu, UHARAZA WA PUSI! HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! I dont know what it means but it is FUNNY!
Ina maana pussy imeshaota sugu...
Hanyoi tena ana upara....
Bibi anayeandaliwa file lake la mafao anataka ligi na watoto wa miaka 23......