Kinachoendelea mwambie mtu mzima mwenzako asirudi hapa nyumba kubwa.
Maana nasikitika kuona anatukanwa na wadogo zangu.
Kigoli (if I may) usionee mtu huruma asiye staili...
Siitaji huruma yako...
Nina kifua ndio maana nimechangia humu...
Ahsanteeeeeeeeee na mtu utaogaje bila kuchafuka...Mimi naona kama hadithi hadithi za watoto....
Kuna ubaya gani watoto kucheza na kuchafuka ili wajifunze.....?
Seriously, sioni ubaya wowote hadi nilipoishia ukurasa wa 12....
Labda kwa sababu nilistaafu baada ya kupitia battle fields za kutosha...lol!!
Muendelee salama!
Babu DC!!
Hahahahaaaaaa Eli79 nimecheka kwa masikitiko mana sikutegemea kusikia hizo habari toka kwako, naona umeamua kujivua heshima mwenyewe sijui wakubwa wenzio wanaosoma hiki ulichouliza sijui wanakuchukuliaje.
Kama wewe mchafu usidhani wanaume wote mafirauni kama wewe, na inavyoonyesha ndio tabia yako.
Huwezi sema nashusha heshima wakati hujui kama ninayo at first place...Eeee for your own benefit na nakuheshimu jamani haya siyapendi yatokeee angelita amevurugwa huyu achana nae bwana umeshamwambia kakusikia....
Ila kujibishana nae ni kujishushia heshima.
Haya samahani endelea kutukanwa lakini.....
Kiddo ENOUGH IS ENOUGH LETS GO, ACHANA NA GRANNYS WHO DONT HAVE FAMILLY TIME DAY N NIGHT THROWING DAGGERS AT THEIR YOUNGY! Ushasasambua vya kutosha! THERE WILL ALWAYS BE ANOTHER WAR TO FIGHT! Achana na BIBI LA BIBI kanywe wine na wasichana Wa umri wako. Ondoka saivi kabla wakubwa zako hawajavua nguo kukulaani rasmi! Hahaahaaaa!
LONG LIVE DEMOCRATS! IJUMAA IJAYO KAMA KAWAIDA HOT TALT MISS NEDDY MAKuE IT HAPPEN!
Mmmhhh
Sikuwezi....
Jamani mumuache khaaaa kwani yeye ndo wakwanza??
Ndio haijakaa poa ila si kufikia kumwambia hivyooooo.
Na kashasema atamuacha akisha acomplish her missions probably 3 months from now(nkipiga mahesabu kama gari kaagiziwa this week).
pc .........!!
Sasa hapo ndo unakosea kaliwa 3 yrs atoke kavu hapana kwa kweli tumvumilie tu apate gari na msingi wa nyumba keshaupata ataimalizia mwenywewe.
Ataondokaje na kitu keshaagiziwa mkoko...
Miezi 3 si mingi....
Bora atoke na faida kuliko atoke bila faida...
Kosa lilishafanyika miaka 3 iliyopita imebakia miezi 3 afunge mkataba.
Huwezi sema nashusha heshima wakati hujui kama ninayo at first place...
Wewe ume take sides ki silence afu wakati mwingine unataka kuwa kote kote...
Simamia unachoamini...
Na mimi nasimamia nachoamini...
Na sinaga kinyongo na mtu..
That's why Lara 1 ni rafiki yangu tukikutana kwenye nyuzi ambazo hatuna differences...
Heshima unashusha mtandaoni...like serious???with fake IDs????
Hahahaa haaaa
Umenifanya.nicheke
Ahsanteeeeeeeeee na mtu utaogaje bila kuchafuka...
Gari zuri ni lile lililopita barabara ya matope tena ya mfinyazi na ya lami.
Gari ya lami pekee si salama.
hawa si watoto ni watu wazima wanaoishi maisha ya kuigiza akina wema sepetuMimi naona kama hadithi hadithi za watoto....
Kuna ubaya gani watoto kucheza na kuchafuka ili wajifunze.....?
Seriously, sioni ubaya wowote hadi nilipoishia ukurasa wa 12....
Labda kwa sababu nilistaafu baada ya kupitia battle fields za kutosha...lol!!
Muendelee salama!
Babu DC!!
mie naamini unachokisema ,mie na huyo angelita tumepishana 3 yrs tu....
Najua mengi ya sasa kuliko wew(upo enzi za zinjathropus)hiyo ndo life ya sasa mmeshamwambia amewasikia na katoa sabaaaabu ila ukataka kujifanya wewe ndo wewe kushikilia kidedea as if yeye ndo wa kwanza na probably hata wewe(kwa maelezo ya angelita) upo singe inawezekana ni kimada wa mtu au una serengeti maana 39 yrs ndo mihemuko ipo juu hatariiiii.
e
Yes nakuheshimu na hiyo hiyo fake ids.....
Ila umejishusha utakubalije mtoto wa 23yrs akuambie yakukuambia?
Mtu mzima akivuliwa nguo anatuchama wewe umeshindwa kuchutama....
Yaani wanamshauri mwenzao amuache leo wakati kaagiziwa gari...
Hii si
P.ussy sellers!.....what is the price tag?we wanna buy
Nlikuwa nawaambia hakuna mtu ambaye ahfanyi uziznzi mkuu ila hawa kwanza wanaona ni sifa na kuwaponda watu watu waliotulia na walio kwenye ndoa..Wote tunapitia machafuko mbalimbali,yeye sio wa kwanza na wa mwisho,wote ni wadhambi....shida ni hawa wanakuja kujisifia kuharibu nyumba za watu as if ni jambo la maana wamefanya...wanadiss married people madhaifu yao na jinsi wanavyotake advantage kuhalalisha home wrecking...haiwezekani madhambi ninayofanya nije hapa nianze kuyaglorify kwamba ni sahihi,kama sio ujuha ni nini?
Nimefurahi huu uzi umeleta toauti kubwa sana, kuna kipindi cha nyuma kidogo, mada kama hizi zilikuwa zikiletwa na hawa WATU zilipata aina flani ya ushabiki sana hapa JF, kuna watu walikuwa wanawashabikia lakini sasa hivi naona wamestukiwa..nawapongeza sana Tyta, nyumba kubwa, LebronWade, kim nana, Christine ibrahimu, Brenda 18, Harvest, Eiyer, Eli79, Kaunga, Diva Beyoncé kwa kuweka mambo sawa....mimi ntawaita TEAM KUAMINI MAFANIKIO YOYOTE(mapenzi au uchumi) YANAKUJA KWA KUFANYA KAZI KWA BIDII NA KUJITUMA. Lkini tumpe heshima kubwa sana nyumba kubwa JF woman of the year.
Mtatangaza sana miaka ...
Hata miss Tz kasema ni 18...
Haisaidii...
Wanaume wamewashtukia wanaangalia sura kama imeshuka or not...