MMU hot talk


U are not as tough as u are crying to be....a keyboard gangstar!
 
Umalaya unaujua??????? Kwanza bila umalaya sidhani kama wewe ungekuwepo, ule umalaya uliofanyika wa kukata viuno ukatokea ndo umalaya.
Shame on you who are you to judge me??????

Hahahhaaaa....ushakua emotional...kila mtu ana makosa,tatizo wewe unajisifia,it can not get sillier than that...halafu usiwe emotional ivo...
 
Hahahhaaaa....ushakua emotional...kila mtu ana makosa,tatizo wewe unajisifia,it can not get sillier than that...halafu usiwe emotional ivo...

Unajua maana ya kusema ukweli na kujisifia????? Tatizo la wengi mtu akisema ukweli anajisifia, unajua maana ya hot talk???? Huwezi kusema fulani ni Malaya kisa ana wanawake 2 wewe huyo mmoja umemuoa???? Wote si mnazini???? Next time atajifunza kutumia lugha nzuri sio unatoka tu huko nakumuita mtu Malaya wakati humjui.
 

Ulivojibu kibabe..it shows deep down una bitterness na married people...haiwezekani mtu unatetea umala.ya this much,sis wote ni wazinzi (mostly) ila tuoneshe remorse basi...yaani mpaka level ya kua home breakers wa nyumba za watu halafu unabrag in public?????jeeezuzzz
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha

angel Di Maria
angel merkel

hahahah...I aint vindicate paradoxes for comrades trippin....
 
Hii haimaanishi kuwa ndiyo malipo yake bana.
Kuna watu wengi tu ambao walikuwa soo innocent na wameondoka na hizo ngoma.
Mm katika mwaka huu tu nimeshashuhudia couples 3 za miaka 30's waume wamepata kansa tena wote hawanywi pombe wala kuvuta sigara (mmoja kansa ya mapafu , wa pili kansa ya ini na wa tatu kansa ya ini na figo kufeli) , je unaamini ni malipo ya matendo yao?

Mfano mwingine ndani ya mwaka huu nimeshuhudia vijana wawili wa 18 yrs wanafariki kwa kansa ya mapafu na hawajawahi kuvuta sigara wala kunywa pombe , je na wenyewe wanalipiwa ubaya gani?
Achilia mbali nimeshuhudia wagonjwa zaidi ya 20 wenye umri mdogo wakiugua kansa.
Kumbuka kansa huwa ni magonjwa yanayowapata watu kuanzia miaka 50 na zaidi.
Maisha siyo straight fomula , na dhambi ni dhambi tu. Tusiwe tunaona madhambi yetu yana afadhali na za wengine zimezidi , tusihukumu na kufikia hitimisho kabla ya Mungu.
 

Nakuelewa ila kusema huo "ukweli" huku una brag na huoneshi remorse sio sawa bwana...sema ukweli na pia sema u are not proud of what u did,hata mdogo wako akipita humu ajifunze....na kuitwa malay.a ni sawa tu,kwenda kubreak nyumba za watu ni kosa,una weaken marriage ya binadam kama wewe...kwanini usijenge vyako if u are really strong as u and lara1 brag to be?
 

Hizi ni fate zao tu! Walikuwa fungi la kukosa na wamekosa!

Watu kibao mashangingi wamesomesha nje watoto wamerudi wameajiriwa multinations vyuo vya Kara eanasaka Kazi daily!

ULICHOANDIKIWA NDO UTACHOPATA
 
Please reduce cognitive burdens!
 
You have done well , mengine yaliyojitokeza ni makadhalika ya binadamu kujiona bora zaidi ya wengine.
Sasa hapo mtu anaona kuzini na mtu single siyo dhambi Bali kuzini na mwenye ndoa ndiyo dhambi kweli kweli.
Tupa kule mengine hata huhitaji kujibu waache na unafiki wao.
 
Watu ni wanafiki sana humu.....
Dhambi ni dhambi tu , ila watu wanajiona dhambi zao ni ndogo.
Kuna tofauti gani ya kuzini na mtu single na mtu mwenye ndoa kwa Mwenyezi Mungu?
Tuache kuhukumu na dhambi ni dhambi tu.

Mkuu Asakuta upo sahihi sana,dhambi ni dhambi...zote sawa tu...na hamna haki ya mtu kumhukumu mtu...ila sasa hatuwezi kaa hapa tunajisifia kufanya haya madhambi...eti natoka na mume wa mtu na im proud of it,jezuz,sio utu kabisa...unadestroy nyumba ya mtu binadam kama wewe na watoto wasio na hatia halafu una brag????
 

So what gonna you do about it? Unafiki tu! Watu humu mnatoka povu kukemea kwenye jamii kimyaaa! Wengi wenu baba zenu wamezaa nje, waume zenu wamezaa nje, kaka zenu wanazaa nje, wanenu wanazalisha watoto Wa watu bila kinga! AND NOBODY SAYS SHIT ABT IT! Tunaufyataa kimyaaaa! Kukumbatia uovu. Mwenyewe kaka yangu kamzalisha MTU mwanafunzi Wa chuo, bi mkubwa anakonalia asimuoe wala mini. Alee tu mtoto. Uncle zangu, kaka zangu, ndo wale wale wakute wake zao, au mama zetu wanavolaani vimada sasa! Nyooooooo! Vimada Wa ndani ya nyumba kimyaaaa! No body says shit abt anything! Aliteleza tu. NDO MAANA NAWAAMBIA SPARE ME THE SENTIMENTS! MTAWHINE HAPA BT THE SOCIETY IS NOTHING CLOSE TO PERFECTION!
 
Watu ni wanafiki sana humu.....
Dhambi ni dhambi tu , ila watu wanajiona dhambi zao ni ndogo.
Kuna tofauti gani ya kuzini na mtu single na mtu mwenye ndoa kwa Mwenyezi Mungu?
Tuache kuhukumu na dhambi ni dhambi tu.

Hahaaaaa! Sema wewe ndugu yangu! NIKIITA HYPOCRITICAL INSTITUTION watu wanatoka povu
 

Asakuta impact ya kuvamia nyumba ya mtu unaathiri wengi,mke,watoto,and other dependants,ambao hawauhisiki kabisa,unaharibu taasisi...huwezi fananisha na single person uliezinzi nae...effect kwa familia ni more lethal...ndio maana ikawa forbidden...angalia intensity ya effect sio just mere dhambi ni dhambi tu
 
Kwani mkuu wewe ukishamla demu mzuri aliyekuwa unamfukuzia muda mrefu huwa hujisifii na kujikubali moyoni?
Majuto na masikitiko yetu ni kwa Mungu tu na siyo wanadamu.

Je ni vipi nafasi ya mume?
Mbona mume haonekani km ndiyo tatizo?
Je ni huyu angelita ndo jukumu lake kulinda hiyo familia na watoto au ni jukumu la mume?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…