Hata kama ningekataa Mimi angetafuta mwingine bado haisaidii kitu, maisha hayako sawa wakati mwingine, kama mwanamke pia najua inaumiza.
aliyekwambia nadestroy familia ya mtu nani???? Nyie ndo mnaojifanya watakatifu nyuma ya keyboard i know what m doing bora mimi nimeongea ukweli wangu ili wengine wapate somo kupitia hadithi yangu.
Hahahah why shy mumy lol, utakua waonea aibu hadi camera
angelita aisee!!..mi naenda kumtaarifu mkewe....(usiniulize nimewafahamuje)
miss neddy utapata mrejesho......
Mimi ni msomaji mzuri wa biblia naijua kuliko ufikiriavyo, biblia haijakataza ndoa za mitala ila dini ndo zinakataza.
Nakuoa au kuolewa mitala sio dhambi rudi kasome vizuri agano la kale hadithi ya baba wa Imani Ibrahimu aliowa wake wangapi, nasio huyo tu mfalme Daudi vipi kuhusu mfalme Suleiman Mwenye hekima kuliko wote???? Wako wengi sana hao niwachache tu
Tunaishi kwakufuata dini sio biblia.
Afu bado sina dhambi nalisamehewa hata kabla sijazaliwa (Yohana 14) dhambi zangu zilijulikana kabla misingi ya dunia kuumbwa ndomana mwanae wa pekee alikufa kwa ajili yangu.
but mkewe sara si ndio alimshauri ibrahimu afanye hivo baada ya kuona miaka imeenda hajapata mtoto???? so sara aliridhia hilo...back to you huyo mkewe ana tatizo lolote na ameridhia????
Hapana miss. Sijadhani kitu, ni mjadala ulifikia mwisho ndo maana nikasema good luck. Siwezi kukuhukumu MankaM coz hata mie nina yangu yamejaa debe hapa..ni kukbushana tu..
Mkuu ukiwa muongo usiwe msahaulifu, rudi page ya 6 kama sajakosea kwenye comment yako ulisema kwa kua ww ni muislam dini inaruhusu, na nyengine ukasema mke wa pili n sunna kwa hiyo kwako haisumbui, na comment hii kama unatudanganya mkuu
cc: miss neddy, lara 1
Ni fasheni kwa wasiojielewa mshenga...sorry kama ntamkwaza mtu lakini maisha ni jinsi mtu anavyoamua kuishi mwenyewe....mara nyingi tunajisahau kila tulifanyalo hapa duniani lina malipo
Angalieni msifanye wema machoni mwa wati, kusudi kwamba mkatazamwe nao kwa matendo yenu.... jueni kwamba hamtapata thawabu kwa mungu.....
Khantwe, sababu za kuumiza zipo na zinachukua nafasi kubwa tu. Huwezi jua hao wawili wamepitia visamga gani hadi huyo mume akawa hivyo alivyo, they worked hard for goodness sake. Yawezekana kuna kipindi watu wameshindia chai au uji ilimradi familia iwe na future nzuri, watu wamepitia magumu na ndoa zao. Leo mtu anajichekesha ati kumanua na mme/mke wa mtu is the best thing that could happen?
hahahahaaaa mkuu mimi najulikana aiseeh mke anatambua uwepo wangu, hata jamaa akitaka kutoka anaulizwa "utakuwa na angelita au mwingine, ole udanganye nampigia simu kumuuliza" si mke tu watoto na ndugu wa jamaa.
Wanaiba waume za wenzao,USO mkavu hawana hata aibu_Fa
Kuna siku MMU member tuliitwa MAZIMWI baada ya innocent girl fulani kuleta uzi na kuomba ushauri....jamaa kwa huruma ..akamwambia yaani ndio umeleta uzi kwa haya mazimwi yakushauri? Nilikuja juu sana kwa kauli ile.....Lakini kila kukicha naona kuna ka ukweli. Japo si wengi.
My dear kuna watu wanajifanya watakatifu nyuma ya keyboard wakati maisha yao yamejaa uozo zaidi ya huu wanaodai hapa.
naona ile voda yake haipatikani...nipm kama una no yake nyingine.....(this is serious)
Wadada wa cku hizi unatembea na mume wa mtu halaf ur proud of it...njaa kitu kibaya sana.