Yah na mimi ndo nimemuuliza kwamba hizo reasons zina uzito kiasi gani kiasi cha kudhulumu haki ya mtu? Kila binadamu aliyekamilika ana ambitions na matamanio yake lakini kuna matamanio mengine tunalazimika kuya-postpone for the sake of others' happiness,peace,comfort and security. Kuna mambo mengine tunapenda kujustify tu kwa sababu ya roho zetu ngumu ila tunaweza tukayaacha,tukatafuta mbadala wake na tusipungukiwe chochote...... Tuishi tupendavyo maana kila mtu ana uhuru wa kufanya apendavyo but do not hurt orthers.
Angalieni msifanye wema machoni mwa wati, kusudi kwamba mkatazamwe nao kwa matendo yenu.... jueni kwamba hamtapata thawabu kwa mungu.....kuna matamanio mengine tunalazimika kuya-postpone for the sake of others' happiness,peace,comfort and security. .
Exactly equal reaction!!!!!!! but dont hate road bcoz your missing home...
JUST A REMINDER.......Psheeeeeeeeeew! Too SENTIMENTAL! Everybody for themselves God for us all! Others comfort, happiness, security COME ON! HOW ABOUT HER HAPPINESS, COMFORT ET AL? she should give that up for the wife? Who is the wife again in her life? NOBODY! And who says she has to be unhappy so other people can be happy? Bullshit! ITS THE WIFE FATE TO LOSE SHE SHOULD BEAR HER FATE! Kila MTU a capitalise kwenye luck, heavens, her gods then who the gods seek to destroy first will eventually lose to circumstances. And its logic if she spends the rest of her life blaming the gods and her bitter fate. Cc Tyta
Angalieni msifanye wema machoni mwa wati, kusudi kwamba mkatazamwe nao kwa matendo yenu.... jueni kwamba hamtapata thawabu kwa mungu.....
Angalieni msifanye wema machoni mwa wati, kusudi kwamba mkatazamwe nao kwa matendo yenu.... jueni kwamba hamtapata thawabu kwa mungu.....
napitwaga lol ngoja nijipange nirudi
nice one ongereni
WHAT A COLD BLOOD LADY....!!!!JUSTIFYNG ALL THESE ACTS BY PUTTING A BLAME ON THE POOR WIFE?.....OK...SPARE IT ATLEAST FOR THE KIDS SAKE......PUT A SECOND THOUGHT..A LITTLE BIT OF SOFTINESS IN HEART.....MAY BE THE 2ND BEST ALTERNATIVE OF THE BURNT CASH SPENT ON YOU WAS A FEE TO I.S.T....instead they end up at ''ST.ABDALLA PRE & PRIMARY SKUL''
So far....you are good na umekuwa muwazi (according to my belief).
Majibu yako yamenogesha mjadala japo kila jibu lilikuwa linanihamasisha kuuliza swali jingine....ila naomba niishie hapa.
Shukrani kwako muandaaji miss neddy pia angelita kwa ushirikiano wako
Hyo ndo hot talk yenyewe.
hahahaaaa nimefocus haiji kutokea kwaio nimejibu kabisa kabisa ndugu
angelita aisee!!..mi naenda kumtaarifu mkewe....(usiniulize nimewafahamuje)
miss neddy utapata mrejesho......
Hot talk well well, miss neddy u nafaa kuwa mwandishi, mtangazaji lol if you not lakini
yes unapenda ualikwe siku moja
mmm napenda usinialike mwanangu maana nitakutandika bakora tukifika home