MMU hot talk

Naona hii ndio fasheni siku hizi. You even applaud it...shame!
 
Hahaaaaaaaaaa looo umewaza nje ya box i can imagine technique zako zikoje
 
Naona hii ndio fasheni siku hizi. You even applaud it...shame!

Ofcooz.... ni fasheni kama tena hii iko more advanced na itaendelea kuwepo milele amina. hii sio fasheni ya nguo kwamba itaisha la hasha hii ipogo na itaendelea kudumu...... uliza watu wakupe reasons sio kushangaa tu
 
Ofcoz kila mtu anayefanya jambo ana reasons....sasa cha kujiuliza hizo reasons zako ndo zimuumize mtu mwingine??
 
Nimezipata reasons kwako, sina haja ya kuuliza tena. Lakini to every action there's an opposite equal reaction. Sidhani kama ni kitu cha kujisifia kulala na mume/mke wa mtu.
 
Khantwe, sababu za kuumiza zipo na zinachukua nafasi kubwa tu. Huwezi jua hao wawili wamepitia visamga gani hadi huyo mume akawa hivyo alivyo, they worked hard for goodness sake. Yawezekana kuna kipindi watu wameshindia chai au uji ilimradi familia iwe na future nzuri, watu wamepitia magumu na ndoa zao. Leo mtu anajichekesha ati kumanua na mme/mke wa mtu is the best thing that could happen?
 
Last edited by a moderator:
PALEASEEEEEEEEEEE! SPARE US THE SENTIMENTS! Mwenye familia yake KAONA ITS NOT WORTH HIS RESPECT don't be sentimental kumtaka 3rd party ajitie ana uchungu sanaaa! Psheeeeeew! Cc wanafiki wrote mliolike haswaa Tyta
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni nani hata unihukumu???? Maovu yako unayoyafanya umeyaacha????? Mkuu kabla hujarusha jiwe hakikisha wewe ni msafi.
Kila mtu anasitahili yake ya maisha aliyoamua kuishi ni maisha yangu nauhuru wakufanya chochote nitakacho.

Achana na mafirasayooo! Mume Wa MTU dhambi, hata uongo pia dhambi vile vile. Hahaaaaa! The difference is walau mume Wa mtu unamlia vyake, ukiwa muongo sana sana utachomwa bureeee!
 
Yah na mimi ndo nimemuuliza kwamba hizo reasons zina uzito kiasi gani kiasi cha kudhulumu haki ya mtu? Kila binadamu aliyekamilika ana ambitions na matamanio yake lakini kuna matamanio mengine tunalazimika kuya-postpone for the sake of others' happiness,peace,comfort and security. Kuna mambo mengine tunapenda kujustify tu kwa sababu ya roho zetu ngumu ila tunaweza tukayaacha,tukatafuta mbadala wake na tusipungukiwe chochote...... Tuishi tupendavyo maana kila mtu ana uhuru wa kufanya apendavyo but do not hurt orthers.
 
Last edited by a moderator:
PALEASEEEEEEEEEEE! SPARE US THE SENTIMENTS! Mwenye familia yake KAONA ITS NOT WORTH HIS RESPECT don't be sentimental kumtaka 3rd party ajitie ana uchungu sanaaa! Psheeeeeew! Cc wanafiki wrote mliolike haswaa Tyta

it is what it is...........
 
Ofcoz kila mtu anayefanya jambo ana reasons....sasa cha kujiuliza hizo reasons zako ndo zimuumize mtu mwingine??

kila mtu anaumizwa ..... simaanishi utembee na mume wa mtu ili kulipiza ulivyoumizwa lahasha...... hahahaaaa tambua dunia inazunguka hii tunapata usiku na mchana na mambo kama haya lazima yawepo ndugu
 
Hot talk well well, miss neddy u nafaa kuwa mwandishi, mtangazaji lol if you not lakini
 
Last edited by a moderator:
Nitamchagua mtu mwingi ambaye hajao kwasababu dini yangu inaruhusu mke mmoja tu.
Na huyu niliyenaye siwezi kuolewa nae kwasababu dini tofauti na pia ana mke tayari.

Mkuu ukiwa muongo usiwe msahaulifu, rudi page ya 6 kama sajakosea kwenye comment yako ulisema kwa kua ww ni muislam dini inaruhusu, na nyengine ukasema mke wa pili n sunna kwa hiyo kwako haisumbui, na comment hii kama unatudanganya mkuu

cc: miss neddy, lara 1
 
Last edited by a moderator:
Ofcoz kila mtu anayefanya jambo ana reasons....sasa cha kujiuliza hizo reasons zako ndo zimuumize mtu mwingine??

Anaeumiza watu wengine no mume MTU alieshindwa kuhonor commitment na vows zake.
BT the other woman hana comittment wala vows na pi.mbi yoyote, she is just living her life. Kumbuka She is not part of any contract.
IF YOU LOVE 2 PEOPLE AT THE SAME TIME CHOOSE THE SECOND BECAUSE IF YOU REALLY LOVED THE FIRST YOU WOULDNT HAVE NOTICED THE SECOND AND BE IN THE POSITION YOU ARE IN. by Johnny Deep.
 
Nitamchagua mtu mwingi ambaye hajao kwasababu dini yangu inaruhusu mke mmoja tu.
Na huyu niliyenaye siwezi kuolewa nae kwasababu dini tofauti na pia ana mke tayari.

Mkuu ukiwa muongo usiwe msahaulifu, rudi page ya 6 kama sajakosea kwenye comment yako ulisema kwa kua ww ni muislam dini inaruhusu, na nyengine ukasema mke wa pili n sunna kwa hiyo kwako haisumbui, na comment hii kama unatudanganya mkuu

cc: miss neddy, lara 1
 
Last edited by a moderator:
Nimezipata reasons kwako, sina haja ya kuuliza tena. Lakini to every action there's an opposite equal reaction. Sidhani kama ni kitu cha kujisifia kulala na mume/mke wa mtu.

Exactly equal reaction!!!!!!! but dont hate road bcoz your missing home...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…