Muongo mkubwa...., si vzr kumsingizia mtu mambo ya uongo..., na ww uliyesema muuza unga si kweli...,Jamaa alikuwa mganga wa kienyeji pale sumbawanga
Muongo mkubwa...., si vzr kumsingizia mtu mambo ya uongo..., na ww uliyesema muuza unga si kweli...,
Jamani, kama una data za vijiweni si vzr kuchangia,,, na sio lazma uchangie ili uonekane unamjua flani..., pattaya ni zake kweli, landmark za kwake, kkoo ana mjengo pia..., jamaa ame-fight kupata mali zake,
Hivi hizo pattaya mnazoiongelea ni za wapi??Muongo mkubwa...., si vzr kumsingizia mtu mambo ya uongo..., na ww uliyesema muuza unga si kweli...,
Jamani, kama una data za vijiweni si vzr kuchangia,,, na sio lazma uchangie ili uonekane unamjua flani..., pattaya ni zake kweli, landmark za kwake, kkoo ana mjengo pia..., jamaa ame-fight kupata mali zake,
Nilifikiri pattaya za kule thailandanakaa mikocheni B....ana miliki Pataya iko maeneo ya Mikocheni nyuma kwa kairuki..ana watoto wengi tu...huyo wa cananda ni wa kwanza....jamaa alinunua nyumba ya ghorofa mikocheni na kuivunja kisha akajenga parking..pembeni na kwake...
Nilifikiri pattaya za kule thailand
kwani anaumwa nini?
mmiliki wa regency hotel ni bwana m1 anaitwa raymond..,sauli amon ndiye mwenye landmark hotel pamoja na s.h amon..,nackia kuna tetesi zimezagaa kwamba jamaa anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja..ila am not sure
wakuu naomba kuuliza je kuna mtu mwenye data kuhusu mmiliki wa sh ammon
Kama kuna mtu ana data atusaidie