Mmiliki wa SH AMON

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
wakuu naomba kuuliza je kuna mtu mwenye data kuhusu mmiliki wa sh ammon
Kama kuna mtu ana data atusaidie
 
Unataka kujua nini? Ila ndiyo mmiliki wa Landmark Hotels, anaitwa Sauli H. Amon, ni mnyakyusa wa Tukuyu. Nadhani hiyo inakutosha sana unless otherwise!
 
Unataka kujua nini? Ila ndiyo mmiliki wa Landmark Hotels, anaitwa Sauli H. Amon, ni mnyakyusa wa Tukuyu. Nadhani hiyo inakutosha sana unless otherwise!
Mi nilisikia ni msauzi au nilipigwa changa?
Ndio huyo huyo mwenye regency hotel??
 
Unataka kujua nini? Ila ndiyo mmiliki wa Landmark Hotels, anaitwa Sauli H. Amon, ni mnyakyusa wa Tukuyu. Nadhani hiyo inakutosha sana unless otherwise!

Spot on!..., correct..., mwanae wa kwanza ni binti anaitwa sara.., alisoma mzizima then alienda canada ku-graduate..., kati ya watu waliopigana kutajirika bila ufisadi huyu jamaa namkubali..., he is a fighter...,
 
Mnyakusya wa mbeya Tanzania,sina uhakika ana watoto wangap,wala wake,anamiliki landmark hotel at ubungo na kwingineko,
 
kauza unga sana kipindi cha mwinyi!guest zote za pattaya ni zake.vipodozi ni geresha
 
nimepata shida kuelewa title ya topic...na nilipokuja kuelewa,na jibu sikua nalo...nashukuru na mm nimemjua!..hapa ndo HOGT
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom