Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,013
- 10,170
Hata huko kwingine nako wanakufa tena sana tu licha ya kutii sheria (ingawa si wote wanaotii sheria) na ndiyo kuna idoms kama "accidents will happen".
Kwa hiyo kama siku yako ya kufa imefika jua utakufa tu.
Death is no respcter of persons.
Ni kweli mkuu kufa kupo palepale ila kiana inabidi tuishi kwa assumptions kwa ukifanya hivi hiki hakitokei, kama tyre zimeisha unaweka mpya, kama brake zina shida unabadilisha pia kama njia huijui vizuri wakati unasafiri nenda speed ya kawaida ili uwe katika nafasi nzuri ya kuisoma ili wakati wakurudi unakuwa unaijua vizuri barabara japokuwa unaweza kutii sheria lakini mwisho wa siku ukagongwa. Lakini kama tahadhari huchui kisa kufa kupo tu hapa napata kigugumizi kusema.
Ila nimekupata ulikuwa unamjibu Kiranga tahadhari ni muhimu