Mmiliki wa gari aliyopata ajali marehemu Sharo Millionea ajitokeza na kusema haidai chochote familia

the case is ata angetaka kudai,angemdai nani hasa? do u thnk familia inaweza kukulipa in cases like this, silly joke.
anyway hongera kaka kwa moyo wako,afu nlisoma thread ya kifo cha sharo kuna sehemu kama wameandika jamaa ana bima kubwa?au walikosea?
 
What a noble man...a world would
Be a better place if people were more like this
 
Yes that's brotherhood, gari ya sharo millionea ni Toyota Opa ambayo wa safari za kijijini haifai as ipo chini sana...

So as brothers mnasaidiana as anakwenda kwa mama na mazaga zaga kama una gari ya juu huitumiii unamwachia jamaa apande nayo as vijijini barabara sio nzuri kwa gari za chini...

hata ningekuwa mimi hapo Gari huwez liwaza ni kitu kidogo sana as ukilinganisha na kumpoteza rafiki yako mnaependana..

I real miss you sharo millionea especially kila nikilisikia neno meeen

as nimesoma comment yako as wewe mkata kiu as unapenda as kuandika as kama nini yani as kila baada ya neno as
nataka as kukuuliza as hivi as hiyo as ni sa swaga au??
R.I.P MY BROTHER FROM ANOTHER MOTHER bibi yangu alikuwa anakupenda sana sharo
 
Back
Top Bottom