Mmh!! Jk anaumwa nini??mbona hasafiri?

nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
15,515
20,005
Najiuliza huy jk vipi mbona hasafiri??? Au kwa vile barafu imeyeyuka ulaya??au lile bembea kule jamaica bovu??au anaogopa kupinduliwa??..maana nchi haitawaliki sasa hivi,..rais yupo kama hayupo...
 
Hazina imekwenda broke. Ngoja zikipataikana za Dowans ataenda tu kubemebea.
 
Najiuliza huy jk vipi mbona hasafiri??? Au kwa vile barafu imeyeyuka ulaya??au lile bembea kule jamaica bovu??au anaogopa kupinduliwa??..maana nchi haitawaliki sasa hivi,..rais yupo kama hayupo...

jana si ilikuwa achangishe hela za kujenga uzio wa UDSM.

alichangisha?
 
Najiuliza huy jk vipi mbona hasafiri??? Au kwa vile barafu imeyeyuka ulaya??au lile bembea kule jamaica bovu??au anaogopa kupinduliwa??..maana nchi haitawaliki sasa hivi,..rais yupo kama hayupo...
hivi mtu afanye lipi jema?akisafiri shida,asipo safiri shida,amakweli mkubwa jalala
 
Najiuliza huy jk vipi mbona hasafiri??? Au kwa vile barafu imeyeyuka ulaya??au lile bembea kule jamaica bovu??au anaogopa kupinduliwa??..maana nchi haitawaliki sasa hivi,..rais yupo kama hayupo...

Nasubiri siku hiyo nitakapo ambiwa amesafiri.Kama kama kama kama......................................hizi ni saa za majerui.
 
Anaogapa kuulizwa na waandishi wa habari wa vyombo vya kimataifa. maeneo ambayo ataulizwa maswali ni kama: 1. Kwanini bajeti 2010/2011 waliyoipeleka kwa wafadhili ni tofauti na waliyisoma bungeni?2. Mh. mbona inasemekana kuwa alichakachua kura?3. kwanini serikali yako inaharakia kuwalipa Dowans wakati hukumu haijasajaliwa mahakama kuu?4. kwanini polisi waliwaua raia waliokuwa katika mkutano uliokuwa halali kule Arusha?

Sidhani kama Jk atakuwa ameandaa majibu ya maswali hayo ndiyo maana anaogopa kusafiri.
 
Najiuliza huy jk vipi mbona hasafiri??? Au kwa vile barafu imeyeyuka ulaya??au lile bembea kule jamaica bovu??au anaogopa kupinduliwa??..maana nchi haitawaliki sasa hivi,..rais yupo kama hayupo...

Asafiri aende wapi? yeye anapenda sana kwenda US, Obama kishamshtukia na nchi inayumba kutokana na uongozi wake mbovu na hasa ukimya wake kuhusiana na malipo ya DOWANS. Nchi nyingine nyingi Bunge lingeshapiga kura ya kutokuwa na imani naye ili aachie ngazi, lakini kwetu wale mafisadi wameweka mbele maslahi ya matumbo yao bado wamemkumbatia tu pamoja na kushindwa kuiongoza nchi.
 
mbona huenda karibu atasafiri kuhudhuria kikao cha kamati ya habari na uwajibikaji
kwa afya ya akina mama na watoto ambapo yeye ni mwenyekiti mwenza.
kamisheni hii itakutana geneva, uswisi.
WHO | H.E. Mr Jakaya Mrisho Kikwete, President, United Republic of Tanzania

kisha kumbuka kuna davos (world economic forum) inakuja ambayo itafuatiwa
na kikao cha 16 cha wakuu wa nchi za kiafrika huko addis ababa.

mikutano yote mitatu itafanyika kati ya januari 24 hadi 31, 2011.
hivyo nitashangaa iwapo mkuu ataiminyia yote hiyo

Nasubiri siku hiyo nitakapo ambiwa amesafiri.Kama kama kama kama......................................hizi ni saa za majerui.
 
Najiuliza huy jk vipi mbona hasafiri??? Au kwa vile barafu imeyeyuka ulaya??au lile bembea kule jamaica bovu??au anaogopa kupinduliwa??..maana nchi haitawaliki sasa hivi,..rais yupo kama hayupo...

Bado anaandaa ratiba ya kuruka. Si unajua lengo lake la kuvunja rekodi ya vasco dagama!
 
tatizo lake anawaongopa watu wanje kuliko wabongo.....alikuwa akienda nje anajivunia amani ya Tanzania sasa atakapoenda watamuliza sijui atasema nini na la wabunge wa chadema kutoka nje ya bunge baada ya kuanza hotuba yake nalo ni kigugumizi kwake kulieleza, la dowans sijui kama analiongopa sana kwa nje ya nchi...kwanza kama isingekuwa matokeo yake kuwa na utata angesha jipendekeza kusuruhisha kule ivory coast
 
Najiuliza huy jk vipi mbona hasafiri??? Au kwa vile barafu imeyeyuka ulaya??au lile bembea kule jamaica bovu??au anaogopa kupinduliwa??..maana nchi haitawaliki sasa hivi,..rais yupo kama hayupo...

Nchi zote kisha zitembelea lakini naona wewe unataka akumbuke kwamba anatakiwa aanze ziara ya mtaa kwa mtaa!
 
Back
Top Bottom