Wengi wanatumia PCs za maofisini. Wakirudi majumbani wenye visimu vyenye intaneti unaweza ukabahatisha kuwaona hapa na pale kama netiweki haisumbui. Kama neti inasumbua basi itabidi uwasubirie hadi kesho yake wakitinga tena ofisini.
Ila kwa akina kama sisi wabeba maboksi tuko online 24/7 365/366. Teh teh teh...ngoja ninyamaze nsije nikaambiwa najidai bure....ingawa nimesema ukweli lol
Ukiniletea sitakuita tena mkali.Nikikuletea laputopu bado utaniita mkali?
Nimegundua ni bora watu wawepo hata kama mnagombana na kutofautiana.
Tulikuwa hapa wote tunabishana bishana jioni hii, ghafla siwaoni
Imekuwa kama vile watu wanaoishi nyumba moja halafu wanaamua kumtoroka mwenzao
sasa mie nipige story na nani?
Rudini bwana tuendelee na hizi porojo
Ofisi zinawabeba sana watu wengi hapa JF! Namshukuru mungu nina kichina changu! Muda wote network iko fullNafurahi vile wewe hutegemei kompyuta ya ofisi, mie sahizi nngekuwa napiga story na nani?
nilikuwa napiga cha fasta, nimerudi sasa
Triple N
Nikusaidie ?
Ukiniletea sitakuita tena mkali.
Na wewe haya mambo uneyajulia wapi? Hebu tupe experience..wewe waenda vingapi!!Na yeye kapiga cha fasta au ni wewe tu? Kama kawaida yenu, mie vitano, mara ooh kumi, kumbe peke ako mwingine hata moja bado.
Hivi we kwa nini uliniwekea kauzibe kwenye lile shindano?
Nisaidie AfroD, tafadhali.
Hahaha... Umeonae? Ndio maana siku zote jivunie sana ulichonacho manake ni mali yako na kina thamani sana kwako....lol.... Usisahau pia mtegemea cha nduguye...Ofisi zinawabeba sana watu wengi hapa JF! Namshukuru mungu nina kichina changu! Muda wote network iko full
Hahaha... Nichagulie wewe ambayo unaona itanifaa.. Zawadi haichaguliwi NN.Teh teh teh...haya sema unataka ya aina gani.
Yaaawi.
Haya nakuja na ya moto au unataka ya
Baridi?
Nataka ya uvuguvugu