Mmepotea ghafla, mmeenda wapi?

Tupo Kongosho. Au we ulikua unamaanisha kina nani zaidi?
 
NImeshangaa kumskia anasema watu hawapo, kwani sisi sio watu?
 
Huo ndio ukweli ingawaje unauma
 
Kumbe na ww mchokozi?
Sio mchokozi kongosho, jaribu kuchunguza kwa makini utagundua kuna watu wapo kuanzia sa 2 asubuhi mpaka 11 jioni, jumatatu mpaka ijumaa. Wakishatoka ofisini huwaoni tena mpaka kesho yake. Mimi nna mpango wa kumwomba NN anitumie laptop kama zawadi ya x'mas...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…