Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Hawa mastaa wawili Jay Z na Beyonce, pamoja na sura nzuri aliyo nayo Beyonce, mtoto aliyezaliwa hajaendana na sura ya mamake, ameelekea zaidi kwenye taswira ya babake.
Ingekuwa kuchagua mtoto wa kuzaliwa aweje na sura gani wengi wangeweza, lakini Mungu ametuwekea wigo kutovukia huko, ila tu apendavyo yeye Muumba ndivyo itakavyokuwa, tupokee tu zawadi anayotujali.
Nadhani tatizo la huyo mama si kupata mtoto wa sura anayotazamia labda ni hoja ya kukutaka kufanya ngono tu na hivyo anatafuta hoja ya kukupata. Uwe mwangalifu, kama anachotaka ni kupata mtoto maana yake kufanya ngono bila kinga na huna hakika na usalama wake, asije akakugawia masurufu ya njani kuelekea ahera kabla ya wakati wako.


