Mme wangu kanizalisha mitoto myeusi

Mme wangu kanizalisha mitoto myeusi

Mleta mada umevurungwa na mambo ya katiba...Hakuna mama yoyote duniani anaweza kusema vibaya watoto wake!weka ushahidi hapa.

Kusema tu unashangaa? Wa mama wengine wanawarestisha watoto wao in pisi. Fatilia habari
 
...hilo nungayembe tu linatafuta namna ya kutongoza mchepuko,lishindwe...!
 
huyo mother anataka mchepuko na tena kuwa macho na husband wako akimjua tu anaweza hata kutembea nae.
 
Huyo dada kama kasoma hakuelimika hata kidogo. Biology ya kawaida ya kidato cha nne, angeelewa kuwa mtoto ni tunda kati yake na mumewe. Kama watoto ni weusi basi hata yeye kachangia. Asije akadhani mkorogo unarithishwa! Ni sawa na mwanaume kumlaumu mwanamke kuzaa watoto wote wa kike wakati kisayansi mwenye kuamua jinsi ya watoto ni mwanaume! Mwanamke ana mbegu za aina moja YY. Mwanaume ni XY. Wakati viini vinaungana, mwanaume akitoa Y basi anakuwa mtoto wa kike na akitoa X anakuwa wa kiume.

La pili na kubwa zaidi ni hiyo kasumba ya mtu mweusi kuchukia weusi. Inaonyesha jinsi dada huyo alivyo na fikra potufu na hajithamini hata kidogo. Kuoa wa aina hiyo ni majanga!

Umechanganya mkuu ebu edit hapo kwenye chromosomes za ke na kwenye muunganiko. Naona kama umefanya kinyume chake.
 
teeh!! Akiwa na mtoto manake kuna baba, sasa mimi wa nini tena?
mtu akishakuwa na mtoto nafunga vioo...sitaki mashaka bwana!!

Kwa hiyo na si wengine ndo basi tena... maana vioo ndo tumefungiwa! Basi acha tu tuji konsoli haikuwa rizki lol
 
Kwa hiyo na si wengine ndo basi tena... maana vioo ndo tumefungiwa! Basi acha tu tuji konsoli haikuwa rizki lol

hapana, wengine sio kama Mimi
Kila mtu Ana uchaguzi wake, nani aishi nae...kwangu Ni big no!...uzae na mwingine mie niishi na wewe, Ni kujitia kitanzi cha kujitakia...
 
Binadamu wengine kwa kupenda sifa amjambo,huyu mtoa mada anajiona ni bonge la handsome,ukijieshimu, na wewe utaeshimiwa.mtu mzima akikuambia jambo tulia kataa usimtangaze.
 
kwa hiyo JICHO TAI sababu ya wewe kutoka nduki ni hiyo tu,ina maana ingekuwa tofauti unngemzalisha kweli katoto ka white mama wa watu,phuuuu ni hatareeeeeee!!!!!!!!!!!!!!
mkuu sijamtamani kama ni hivyo ningemalizia kazi shida ni kwamba pale corporate customer wanaingia wakubwa wote wanahudumiwa wamekaa kwenye sofa sasa huwa najiuliza mawaziri, wakurugenzi wote wanaonana naye kweli na uzuri wake hawajamtokea? maana hao wana mkwanja kuliko mimi? nikatoka nduki.
 
Last edited by a moderator:
Kazi ya bank imemuharibu nahisi....Huna haja kuendelea kuwa rafiki na uyo mbaguzi.....Ni wazi uyo Mwanamke Allah atatoa mapenzi katika nyoyo za watoto wake...na hawatokua kumjali wakati ambao yeye anawahitaji....Tukumbuke weusi ndio asili yetu...Addam mwenyewe alikua Mweusi...
 
Binadamu wengine kwa kupenda sifa amjambo,huyu mtoa mada anajiona ni bonge la handsome,ukijieshimu, na wewe utaeshimiwa.mtu mzima akikuambia jambo tulia kataa usimtangaze.

hakuna sehemu yoyote ambayo nimesema mimi handsome hebu nionyeshe kwenye uzi wangu au kwenye majibu yangu mbona unajistukia? nimegundua hapa jf mnataka muambiwe umbea ndo mnafurahia ila mambo halisi yanawahumaa! mara nyingi siri ndo zinaharibu mahusiano hasa ndoa!
 
kwa hiyo JICHO TAI sababu ya wewe kutoka nduki ni hiyo tu,ina maana ingekuwa tofauti unngemzalisha kweli katoto ka white mama wa watu,phuuuu ni hatareeeeeee!!!!!!!!!!!!!!

hapana mkuu nilikuwa najipa majibu ni watu wangapi au weupe wapiti pale? pengine ilikuwa zaidi ya motto may be anataka tu tembea nami
 
Weupe ni dili asikuambie mtu,
Japo huyu mama kakosea kuwakashifu wanae..

Ila kubali usikubali weupe dili wanajf,
Hasa kwa wanawake,ila kwetu sisi wanaume so kivile hata ukiwa mweusi pesa itakusaidiaa...


Hahahahaha
Najivunia kuwa mweupe

weupe ungalikuwa dili ubuyu usingetiwa rangi
 
Wabongo bwana .,hlo mama linaonekana jeupe la mkorogo alafu akiwa mjamzito anapenda kula mkaa kama haitoshi amezaa na mtu mweusi alafu anatarajia atoe mwarabu cjui warabu hakuwaona? Kwel 1+1=11 ..au 2 ? Me naomba mungu akulaan kwa kuikosoa kaz yake baada ya kumshkuru.wew cio mwanamke coz wanawake wòte dunian wanaroho za huruma hata kama atazaa jiwe atalilea ltakua .yan ww hata wanyama hawanyanyapai watoto wao.utapgwa radi hali ya kuwa jua linameremeta
 
Back
Top Bottom