Mme wangu kanizalisha mitoto myeusi

Mme wangu kanizalisha mitoto myeusi

Wapo aisee...wanawake wengine wapuuzi sana....kuna dada pia alishawai kumwambia rafikiyangu anataka ampatie "third born"...soo depressing
mbona wapo wengi sana. kwani kuna tofauti gani na mwanamke anayesema anataka motto wa kike au wa kiume nje ya ndoa? wapo wengiii hata kwa wanaume pia
 
Mimi nadhani mleta mada hakuiweka hii mada katika context husika. Hujamtendea haki huyo mdada. Eleza vizuri alichokuambia na ni wakati gani. Wakati mwingine mtu anaweza sema kiutani zaidi.
Haya maneno watu tunayasikia kila mara maofisini.
At 45+ ni nani anayeweza kuchukulia hayo maneno seriously?! Inawezekana alizungumza na wewe kwa tafsida. Ladies ni mahiri kwenye hili. Lakini JT sifa mojawapo ya mwanaume ni kuwa na kifua.
I can imagine ungekuwa ni Hotel Manager ungekuja kusema mangapi. Grow up boy.

mkuu nikieleza vizuri hapo ndio nitakuwa sijamtendea haki. nimeiongelea kiutu uzima kabisa na sioni ni wapi sikutenda haki, sijataja chuo alichosoma, wala kozi, wala bank anayofanya kazi. watoto weusi wapo wengi tuu, waliostaafu wapo wengi tu, wachaga wasukuma wapo wengi tu wanaombwa wazalishwe wapo wengi tu nini hasa kimekukera mkuu?
 
ukizaa nae {ikatokea} akatoka mtoto ana matege ya ubanio {siombei hivyo} atasema "MME WANGU KANIZALISHA MITOTO INA MITEGEEE"..
Maamuzi ni yako mkuu.

ah ah ah ah ah siwezi fanya hiyo dhambi mkuu.
 
Mwanamke tahira kweli huyu...kilichomfanya aolewe na mwanaume mweusi nini? kama alitaka watoto weupe angeenda kwa waarabu huko aalaaa...
Na wewe kaka kweli unamatatizo, jitu linakuambia hivyo bado unamsikiliza tu!!! unadhani kwako atafanya badiliko gani?
Yani huyo mmama Mungu amtandike fimboo ya uzee wake vipodozi vigome arudie rangi yake...

vaislay najua wewe ni mwanamke mara ngapi mwanaume amekukomalia hata kama ni miaka mitano anakufuatilia? sina jinsi ya kumkimbia kwani mimi ni mteja wa bank yao. cha msingi msimamo nilishaweka siku nyingi na hana anachoweza fanya
 
ooooh!! kumbe ushamaliza sasa anataka mkumbushie tena?? cdhani km kweli aliyasema hayo maana mama kwa mwanae hata aweje he/she remains the best to her, ww una lako jambo mayb ndie unayetaka ukupe mtoto maana unavyomsifia ni dhahiri kuwa umekolea.
mkuu wewe umenukuu majibu tu ukayatolea majibu? watoto ni watoto mkuu, kwa rehema za Mungu amenijalia watoto wa kike na wa kiume very beautiful labda baada ya kuwaona ndo na yeye akapenda hiyo mbegu. mkuu fanya ufanyavyo mke wa mtu usiguse.
 
Nasikiaga hata yule dada mwenye blog ya michambo huwa anamficha mtoto wake eti anasema mbaya
watu wanahangaika hawapati watoto, wao wanaona watoto wabaya, hongera zao.

Alafu huwezi kujaji mtoto mdogo...utafiti wangu usio rasmi unaonyesha watoto wengi wakiwa wabaya utotoni wakikuwa wanabadilika na kuwa wazuri....na wale wazuri utotoni ikatokea mkapoteana kwa miaka kadhaa..ukikutana naye amekuwa mkubwa hutaamini macho yako alivyopoteza ule uzuri wa utotoni.

Ila kama nilivyosema utafiti usio rasmi...kuna dada anaitwa Tedi nilisoma naye darasa la kwanza hadi la nne nikahama shule (hiyo ni about 30 yrs ago).....kwa sasa tuwatuwazima, lakini walahi yule binti ana uzuri ule ule kama kalivyokuwa kadogo...na ni mrembo kiukweli....

Tulipokuwa darasani, ilikuwa ukifanikiwa kukaa naye desk moja, siku hiyo unaomba vipindi viendelee hata siku mbili mfululizo msitoke darasani.
 
vaislay najua wewe ni mwanamke mara ngapi mwanaume amekukomalia hata kama ni miaka mitano anakufuatilia? sina jinsi ya kumkimbia kwani mimi ni mteja wa bank yao. cha msingi msimamo nilishaweka siku nyingi na hana anachoweza fanya
kila raheli bro
 
Menopause ni miaja mingapi vile,nahusi kuna harufu ya utunzi wa tamthilia hapa....just thinking loudly
 
Amelaaniwa huyo. Wenzie wanatamani wazae hata kilema ili aitwe mama tu. Wanaenda kwa waganga na kufanyiwa mambo ya kuzimu wapi. Alipokuwa anachumbiwa na huyo mume hakumuona sura??? huyo ni changudoa tu alikuwa anatafuta njia ya kufungua flaisi yako.
 
Menopause ni miaja mingapi vile,nahusi kuna harufu ya utunzi wa tamthilia hapa....just thinking loudly

sasa unadhani mwanamke wa 45 years hawezi zaa? shida mmezoea kuletewa habari zisizo na ukweli ndo mnaziamini. ila sitafuti uamini ila ni kubadilishana yanayotokea maishani
 
mkuu inabidi uwaze na kusoma vizuri. kwani wewe ukitongoza/ukitongozwa huwa umejifungia ndani ya gunia? hujawa kumsikiliza au kusikilizwa wakati unatongoza? mbona watu wengine mnakuwa wanafiki hivi?

haya ntasoma vizuri, samahani sana... what goes around???
 
Kuna watu wanamkufuru mungu loh yaani hapo anmavyosema mungu kakosea kuumba? Yeye mbona amemshinda kumtengeneza kiumbe kidogo tu sisimizi...weusi weupe wote viumbe wa mungu na hakuna mwenye darja na umuhimu zaidi ya mwenzie....angeshukuru kwanza kwa neema hiyo alopewa ya kuzaa watoto weusi kuna wenziwe wanahangaika waitwe mama hadi kwenda kwa waganga...mungu tusameh
 
ukiona mama anadis watoto kisa penzi.hapo hasara kubwa kwa watoto
 
kwani mkuu akiwa na motto ndo process haziwezi endelea?

teeh!! Akiwa na mtoto manake kuna baba, sasa mimi wa nini tena?
mtu akishakuwa na mtoto nafunga vioo...sitaki mashaka bwana!!
 
MIAFRIKA ndivyo tulivyo, tunajitahidi kuwa wazungu wakati sisi ni weusi asilia.
 
Kwani whats wrong na watoto weusi? Huyo mama anakitaka tu hakuna habar ya watoto..ni juu yako kukubali au kukataa basi
 
Back
Top Bottom