na ni kweli kabisa ila ndo imeshatoka tena saa hizi huwa anakumbushia tu.
Ama kweli tutasikia mengi nyakati hizi, sasa kaka angu huyo mama si angetafuta mwarabu kabisa ili kukata mzizi wa fitina halafu mbona kachelewa hivyo kufanya maamuzi mtu ana 40+ ndo anakumbuka ana watoto wenye rangi asiyoitaka. Halafu wakati anaolewa na huyo bwana kwani hakumuona kuwa ni black? Hii inafundisha kuwa kabla ya kufanya maamuzi ya kuolewa au kuoa fanya tathmini ya kutosha ili usije kujilaumu baadae. Bado nashangaa pamoja na uzuri wote huo hakuweza kufanya maamuzi angali hajaolewa mimi nahisi ana lake jambo tu kwani hana sababu ya msingi huenda kaona umetulia sasa anatafuta sababu za kukuingiza dhambini kama ujuavyo ulimi wa mwanamke...........jinsi ulivyo na urimbo wa kunasa mawindo.
mkuu mleta mada, wewe ni mweupe?
na yeye huyo mama ni mweupe au mweusi? tuanzie hapo kwanza
Wacha wee huyo mama hanalolote alikuwa anakutaka tu!!
kwani huyu mama hakumuona mume wake tangia mapema kabla ya kuoana? yawezekana kuna sababu zaidi ya hiyo ya kishetani, upande wa pili anasema mume wake kastaafu, sasa kama huyu mume kastaafu ina maana ni mzee, na kama ni mzee hata huyu dada pia ni mzee hivyo yawezekana yupo kwenye menopause. Chukulia kama wamepishana na miaka kumi mfano, huyu mzee kwa sheria za TZ kustaafu ni miaka 60, kama vivyo ndivyo basi huyu mama atakuwa na miaka 50. (total menopause - unless for few cases). Lakini kama huyu mume alioa kabinti kadogo akiwa mtu mzima hapa ni wazi kuwa huyu binti hakumpenda bali alipenda pesa yake, na sasa hamtaki kwa sababu kile alichokipenda yaani pesa hakipo, ndiyo maana anaforce kuchepuka kifidhuli hivyo.
umetunga. hakuna mama wakuwasema vibaya watoto wake. labda hakushika mimba miezi tisa na uchungu hakusikia. acha maneno ya mitaani.
nimekupendea hapo tu!..watoto wa kichaga naturally ni warembo!!..asantee!
wapi miss chagga jaman
mkuu Tuko ni kweli ila si unajua watoto wa kichaga naturally ni warembo. ila amesha kuwa aged kiasi maana hakosi 45years
una uhakika hayumo humu jukwaani? Kama akiisoma hii post unadhani atajisikiaje? Wewe ni mmbea mkuu , kama alikumind ww ungemfichia siri tu hata kama ulimtolea nje. Huo ndio utu uzima, othewise utoto haujakutoka.
mkuu ni kweli kabisa inaonekana wana gepu kubwa sana la umri na nashawishika kusema pengine huyu mama anaona mme wake sio tena in term of sex. cha kushangaza mme amestaafu then unataka motto!
mkuu inabidi uwaze na kusoma vizuri. kwani wewe ukitongoza/ukitongozwa huwa umejifungia ndani ya gunia? hujawa kumsikiliza au kusikilizwa wakati unatongoza? mbona watu wengine mnakuwa wanafiki hivi?jiulize wewe ni wa ngapi kuambiwa hayo?
unazaaje na mke wa tu, tena mumewe kastaafu??
unafikiaje kuongea na mke wa mtu mambo hayo??
and then unakuja public kabisa?