Mme wangu kanizalisha mitoto myeusi

Mme wangu kanizalisha mitoto myeusi

Habari zenu wana JF?

Hiyo ni kauli ambayo nimewahi kuambiwa na dada/mama wa makamo 40's years. Dada huyu tulitokea juana wakati anasoma Postgraduate Diploma chuo kimoja hapa mjini.

Pia shirika letu ni mojawapo ya wateja wakubwa wa bank yao (dada huyu anafanya kazi bank mojawapo kubwa town hapa) nami binafsi ni mteja wa bank hiyo. Basi nilikuwa nikienda ananihudumia kama corporate customer, siku moja akanitolea uvivu nikiwa nimekaa ofisini kwake akanambia tafadhali JICHO TAI nakuomba mtoto mmoja tu niangalie nilivyo mzuri jamani mme wangu amenizalisha mitoto myeusii!

Angalia watoto wako walivyo wazuri jamani, mme wake ni mtu wa kanda za juu kusini na sasa kastaafu. Huyu dada ni mrembo sana kwani kachukua sura ya kichaga miguu ya wasukuma lol, mimi nikamshauri kuwa kwanza haiwezekani na pia watoto ni baraka na zawadi toka kwa Mungu wawe weusi, weupe, wafupi au vyovyote.

Sasa kila akiniona anasisitiza ule mpango vipi. Mimi sitaki kuomba ushauri nifanyeje hapa kwani nilishajua cha kufanya, ila nawaza ni kwa nini mama awaseme watoto wake hivI? akina mama wa JF ulishawahi kuwaza hivi au kusikia mama akiwasema watoto wake kwa namna hii?

Siku hizi wazungu pia wanataka kuzaa watoto weusi.
Ndio maana wanatafuta wanaume wakiafrika weusi sana. Ili watoto wawe kama watoto wa Obama au awe kama mke wa obama.
 
Habari zenu wana JF?

Hiyo ni kauli ambayo nimewahi kuambiwa na dada/mama wa makamo 40's years. Dada huyu tulitokea juana wakati anasoma Postgraduate Diploma chuo kimoja hapa mjini.

Pia shirika letu ni mojawapo ya wateja wakubwa wa bank yao (dada huyu anafanya kazi bank mojawapo kubwa town hapa) nami binafsi ni mteja wa bank hiyo. Basi nilikuwa nikienda ananihudumia kama corporate customer, siku moja akanitolea uvivu nikiwa nimekaa ofisini kwake akanambia tafadhali JICHO TAI nakuomba mtoto mmoja tu niangalie nilivyo mzuri jamani mme wangu amenizalisha mitoto myeusii!

Angalia watoto wako walivyo wazuri jamani, mme wake ni mtu wa kanda za juu kusini na sasa kastaafu. Huyu dada ni mrembo sana kwani kachukua sura ya kichaga miguu ya wasukuma lol, mimi nikamshauri kuwa kwanza haiwezekani na pia watoto ni baraka na zawadi toka kwa Mungu wawe weusi, weupe, wafupi au vyovyote.

Sasa kila akiniona anasisitiza ule mpango vipi. Mimi sitaki kuomba ushauri nifanyeje hapa kwani nilishajua cha kufanya, ila nawaza ni kwa nini mama awaseme watoto wake hivI? akina mama wa JF ulishawahi kuwaza hivi au kusikia mama akiwasema watoto wake kwa namna hii?

mwambie akawachubue ngozi ili wapendeZE atakavyo
 
mmh!!.. et mme wake kamzalisha sio yeye mwenyew kazaa watoto weusi??? au mmewe alichukua mbegu kwingine akapandikiza kwake???? si angeshiriki ipasavyo atleast watoto wachukue na rang ake kidogo sasa lililala tu kama gogo mme ndo alishugulika ipasavyo ndio mana ha ha haaaaa. ni mtazamo tu.
 
Hahaaaa mnafanya matusi gizani watoto watakuwaje weupe..piganwni show saa sita mchana madirisha yawe wazi muone watoto watakavonoga kwa weupe
 
Huku uswazi kwetu utapigwa chabo hadi ushangae wameangukia ndani....
 
Nimemkumbuka rafiki wa mdogo wangu alikuwa na huo utani kabla ajaolewa...alipata jamaa ana pesa ndeeefu lakini atazamiki mara mbili...

Basi alikuwa anatuchekesha eti ana imagine huyu kijana akimuoa atakuwa anaendesha prado na vitoto vibaya ndani ya gari vinamuita mummy...aaahhhh akawa anasema pesa naipenda ila nikifikiria watoto...si watanilaumu mama yao kwa choice mbaya... in the end aliolewa na mdhungu ...lol...

Wanawake bwana...huwezi jua wanataka nini...utasikia hapendwi mtu pochi...kumbe aina ya mbegu ni serious matter...
 
Kuna ndugu yangu naye alikuwaga anasema anaomba Mungu mwanae wa kike asichukue shepu za shangazi zake...te te te...its seems hii si issue ndogo...
 
Hawa mastaa wawili Jay Z na Beyonce, pamoja na sura nzuri aliyo nayo Beyonce, mtoto aliyezaliwa hajaendana na sura ya mamake, ameelekea zaidi kwenye taswira ya babake.

Ingekuwa kuchagua mtoto wa kuzaliwa aweje na sura gani wengi wangeweza, lakini Mungu ametuwekea wigo kutovukia huko, ila tu apendavyo yeye Muumba ndivyo itakavyokuwa, tupokee tu zawadi anayotujali.

Nadhani tatizo la huyo mama si kupata mtoto wa sura anayotazamia labda ni hoja ya kukutaka kufanya ngono tu na hivyo anatafuta hoja ya kukupata. Uwe mwangalifu, kama anachotaka ni kupata mtoto maana yake kufanya ngono bila kinga na huna hakika na usalama wake, asije akakugawia masurufu ya njani kuelekea ahera kabla ya wakati wako.

Kwani ni muda gani wa binadamu kuelekea ahera?
 
Habari zenu wana JF?

Hiyo ni kauli ambayo nimewahi kuambiwa na dada/mama wa makamo 40's years. Dada huyu tulitokea juana wakati anasoma Postgraduate Diploma chuo kimoja hapa mjini.

Pia shirika letu ni mojawapo ya wateja wakubwa wa bank yao (dada huyu anafanya kazi bank mojawapo kubwa town hapa) nami binafsi ni mteja wa bank hiyo. Basi nilikuwa nikienda ananihudumia kama corporate customer, siku moja akanitolea uvivu nikiwa nimekaa ofisini kwake akanambia tafadhali JICHO TAI nakuomba mtoto mmoja tu niangalie nilivyo mzuri jamani mme wangu amenizalisha mitoto myeusii!

Angalia watoto wako walivyo wazuri jamani, mme wake ni mtu wa kanda za juu kusini na sasa kastaafu. Huyu dada ni mrembo sana kwani kachukua sura ya kichaga miguu ya wasukuma lol, mimi nikamshauri kuwa kwanza haiwezekani na pia watoto ni baraka na zawadi toka kwa Mungu wawe weusi, weupe, wafupi au vyovyote.

Sasa kila akiniona anasisitiza ule mpango vipi. Mimi sitaki kuomba ushauri nifanyeje hapa kwani nilishajua cha kufanya, ila nawaza ni kwa nini mama awaseme watoto wake hivI? akina mama wa JF ulishawahi kuwaza hivi au kusikia mama akiwasema watoto wake kwa namna hii?
JICHO TAI
Mi ntakuwa tofauti kidogo na watu kwa haya:
1.kwani wewe ukoje tuambie kwasababu hatumjui mume wa watoto wake tunataka tukujue wewe,je ni mweupe,mrefu,mfupi,unapenda kuvaaje?huwa una deposit pale kiasi gani,hatuhitaji kujua unafanya kazi wapi..
2.Umeoa au bado?
3.ntakuuliza baadae ukishajibu hayo
 
Mimi ni maji ya kunde na mume wangu ila nilipiga kitu whitee mpaka wakaanza kunitolea macho.
 
Habari zenu wana JF?

Hiyo ni kauli ambayo nimewahi kuambiwa na dada/mama wa makamo 40's years. Dada huyu tulitokea juana wakati anasoma Postgraduate Diploma chuo kimoja hapa mjini.

Pia shirika letu ni mojawapo ya wateja wakubwa wa bank yao (dada huyu anafanya kazi bank mojawapo kubwa town hapa) nami binafsi ni mteja wa bank hiyo. Basi nilikuwa nikienda ananihudumia kama corporate customer, siku moja akanitolea uvivu nikiwa nimekaa ofisini kwake akanambia tafadhali JICHO TAI nakuomba mtoto mmoja tu niangalie nilivyo mzuri jamani mme wangu amenizalisha mitoto myeusii!

Angalia watoto wako walivyo wazuri jamani, mme wake ni mtu wa kanda za juu kusini na sasa kastaafu. Huyu dada ni mrembo sana kwani kachukua sura ya kichaga miguu ya wasukuma lol, mimi nikamshauri kuwa kwanza haiwezekani na pia watoto ni baraka na zawadi toka kwa Mungu wawe weusi, weupe, wafupi au vyovyote.

Sasa kila akiniona anasisitiza ule mpango vipi. Mimi sitaki kuomba ushauri nifanyeje hapa kwani nilishajua cha kufanya, ila nawaza ni kwa nini mama awaseme watoto wake hivI? akina mama wa JF ulishawahi kuwaza hivi au kusikia mama akiwasema watoto wake kwa namna hii?

C ajabu ana ukimwi
 
Dah apo sasa minyege yenu yote ina uchafu tena mweusi ka oil khaaaaa!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ungekuwa mzungu watoto wako wangekuwa weupe...
 
Back
Top Bottom