Mme wangu anatembea na rafiki yangu

Mme wangu anatembea na rafiki yangu

Hivi kabla ya kuolewa na huyo
Bwana ulifundwa? Kama ulifundwa kuna mahali unakumbuka uliambiwa
matatizo yako na mume wako au udhaifu wake uwe unauweka hadharani? Kama
umegundua hicho kitu malizana na mumeo huko huko hapa usitarajie utapata
ushauri wa maana. Hivi umejiuliza kwa nini huyo mumeo ameamua kutembea
na rafiki yako kipenzi? Basi tatizo sio mume wako, tatizo ni wewe.
Usiangalie ulipoangukia, angalia ulipojikwaa.

Tiba

ushaur mzuri.
 
Kwa mume hakuna ushoga kipenzi,wadada usijaribu kumuamini rafiki yako,wengi tunakosea shoga unamuhadithia siri za ndani na mumeo,yeye anaifanya kuwa fimbo ya kukuchapia,anajua madhaifu yako.
A6
 
jamani nisaidieni nifanyaje mana kila siku nakuta smes za mapenzi kwny cm y mume wng. Amemsev jna lingine baada kupga cm nikagundua ni namb y rafik yng kpenz. Naomba ushauri

Inawezekana ulimsimulia kuhusu ukubwa wa pistoni ya gari lako, nae akaona ajaribu!
 
Kiufupi mumeo na shoga yako wote wanatabia mbaya

Wanafiki

Wauaji

Mface mumeo

Mface rafiki yako

Wasipoachana fanya maamuzi magumu
 
pambana na mume wako huyo rafiki yako utakuwa unamuonea.Hata ukimdhibiti rafiki atahamia kwa rafiki yako mwingine
 
Tatizo lenu huwa hamna mipaka na marafiki zenu vipenzi. Nina hakika huyo rafiki yako katumia udhaifu wako kutimiza haja yake. Na wewe umeshiriki hilo aidha kwa kujua au kutojua ukiamini ni shogako kipenzi! Jifunzeni kuwa na kifua mambo ya chumbani yasitoke nje ya chumba ndo maana pakaitwa Master bedroom
 
Back
Top Bottom