makoye78
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 672
- 229
Mie nimeipenda "signature" yako tu! Nisalimie Mwanza...!Huu ni zadi ya usengerema, mamaeee hadi nasikia hasira mxyuuuuuuuu.....aseee wafanye unachojisikia ila usiue tu
Mie nimeipenda "signature" yako tu! Nisalimie Mwanza...!Huu ni zadi ya usengerema, mamaeee hadi nasikia hasira mxyuuuuuuuu.....aseee wafanye unachojisikia ila usiue tu
mtafute mpenz wa rafiki yako ufanye mapenzi naye, inkuwa ngoma droo lakin utumie kondom. fanya hivo ili akili iwe sawa.
Mie nimeipenda "signature" yako tu! Nisalimie Mwanza...!
Tamisemi.
Started by Evz, Today 13:13
Nape nnauye hana sifa za kuwa kiongozi.
Started by Evz, Today 13:3
Mme wangu anatembea na rafiki yangu.
Started by Evz, Today 14:18
Na wewe mtafute rafiki yake utembee naye!
Du foard hizo mes kwako then mwite rafiki yako hapo kwako alafu uwe umechemsha maji moto kwenye thermo akifika mueleze kwanza kabla hajaanza kujitetea hakikisha hayo maji yameishia usoni kwake .
Hivi kabla ya kuolewa na huyo Bwana ulifundwa? Kama ulifundwa kuna mahali unakumbuka uliambiwa matatizo yako na mume wako au udhaifu wake uwe unauweka hadharani? Kama umegundua hicho kitu malizana na mumeo huko huko hapa usitarajie utapata ushauri wa maana. Hivi umejiuliza kwa nini huyo mumeo ameamua kutembea na rafiki yako kipenzi? Basi tatizo sio mume wako, tatizo ni wewe. Usiangalie ulipoangukia, angalia ulipojikwaa.
Tiba
Acha uchoyo na ubinafsi we she blv she can be advised wisely if u don't ts yo problem but kama unaweza msaidia wazo lolote u a welcome but not kwa majibu kama haya otherwise uniambie hujui maana ya hili jukwaaa
Unakeraaa
nitaolewa na kibabu..sitak shida kama hiZi..
uchafu mtupu..
Huu ni zadi ya usengerema, mamaeee hadi nasikia hasira mxyuuuuuuuu.....
aseee wafanye unachojisikia ila usiue tu
Jinsi ulivyoandika unaonesha ni mtu ambae hauko makini kabisa na upo self centered. Mapungufu yako hayo ndio yanakufanya mumeo akuchoke na rafikiyo akuoneshe kuwa wewe na kuringa kwako huna lolote zaidi yake.
Anza kujirekebisha tabia, la sivyo hayo yataendelea kwa huyo rafikiyo na mwingine.
Pia nnamashaka kama ni ndoa ya ukweli au ni uhawara tu na wewe unauita ndoa.
Pole dada mimi mwenyewe jamaa alikua anamega lakin nimefanya malipizi matakatifu sana na hatosahau