Mme wangu anatembea na rafiki yangu

Mme wangu anatembea na rafiki yangu

Evz

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
674
Reaction score
130
Jamani nisaidieni nifanyaje maana kila siku nakuta sms za mapenzi kwny simu ya mume wngu. Amemsevu rafiki yangu jina lingine baada kupiga simu nikagundua ni namba ya rafiki yangu kpenzi .

Naomba ushauri
 
mtafute mpenz wa rafiki yako ufanye mapenzi naye, inkuwa ngoma droo lakin utumie kondom. fanya hivo ili akili iwe sawa.
 
du foard hizo mes kwako then mwite rafiki yako hapo kwako alafu uwe umechemsha maji moto kwenye thermo akifika mueleze kwanza kabla hajaanza kujitetea hakikisha hayo maji yameishia usoni kwake .

amuharibu reception?
 
jamani nisaidieni nifanyaje mana kila siku nakuta smes za mapenzi kwny cm y mume wng. Amemsev jna lingine baada kupga cm nikagundua ni namb y rafik yng kpenz. Naomba ushauri

Hivi kabla ya kuolewa na huyo Bwana ulifundwa? Kama ulifundwa kuna mahali unakumbuka uliambiwa matatizo yako na mume wako au udhaifu wake uwe unauweka hadharani? Kama umegundua hicho kitu malizana na mumeo huko huko hapa usitarajie utapata ushauri wa maana. Hivi umejiuliza kwa nini huyo mumeo ameamua kutembea na rafiki yako kipenzi? Basi tatizo sio mume wako, tatizo ni wewe. Usiangalie ulipoangukia, angalia ulipojikwaa.

Tiba
 
jamani nisaidieni nifanyaje mana kila siku nakuta smes za mapenzi kwny cm y mume wng. Amemsev jna lingine baada kupga cm nikagundua ni namb y rafik yng kpenz. Naomba ushauri
baada ya yote unamuita rafiki kipenzi....sio mbaya inaonesha mnapendana sana na huyo rafiki yako!

Endeleeni kupendana na ikiwekana mkae kabisa nyumba moja!
 
jamani nisaidieni nifanyaje mana kila siku nakuta smes za mapenzi kwny cm y mume wng. Amemsev jna lingine baada kupga cm nikagundua ni namb y rafik yng kpenz. Naomba ushauri


Lazima kuna mahala umempunguzia kitu fulani.

Kimlacho mwenzie hakika kina njaa!

Kuwa makini!
 
huo uandishi wako balaa

halafu the way u sound..........
Tamisemi.
Started by Evz, Today 13:13
msaada jamani jinsi ya kuandika barua ya uhamisho. Idara ya sec. Pia naomba na pobox la tamisemi dodoma

Nape nnauye hana sifa za kuwa kiongozi.
Started by Evz, Today 13:3
katika miaka ya karibuni nimegundua viongozi wengi wa ccm ni wababaishaji. Mfano mzuru ni nape nnauye-katibu mwenezi pamoja na paul makonda. Embu wataje wengine ili tupate kuwajua..
Mme wangu anatembea na rafiki yangu.
Started by Evz, Today 14:18
 
Huu ni zadi ya usengerema, mamaeee hadi nasikia hasira mxyuuuuuuuu.....
aseee wafanye unachojisikia ila usiue tu
 
Back
Top Bottom