Mme wangu anatembea na rafiki yangu

Mme wangu anatembea na rafiki yangu

honey ulimuadisi utamu unaopewa sasa lakufanya

ZIDISHA MAHABA
MAUNO MANJONJO MKIWA PANDE ZA 6

JITOE UFAHAM PANDE ILE

ikiezekana mfanyie katerero atarudisha majeshi

Wewe Una kesi! Nilikuuliza kulee ukauchuna
 
sifati kuridhishwa nafata mapenz ya kibabu yasiyo na stress
Kwa hiyo unataka kutuambia utabaki na minyenyere inakuasha bila kukunwa,Please ni pm ili niwe natoa hizo nyenyere,coz babu atakuwa anachezea tu juju.
 
Hivi kabla ya kuolewa na huyo Bwana ulifundwa? Kama ulifundwa kuna mahali unakumbuka uliambiwa matatizo yako na mume wako au udhaifu wake uwe unauweka hadharani? Kama umegundua hicho kitu malizana na mumeo huko huko hapa usitarajie utapata ushauri wa maana. Hivi umejiuliza kwa nini huyo mumeo ameamua kutembea na rafiki yako kipenzi? Basi tatizo sio mume wako, tatizo ni wewe. Usiangalie ulipoangukia, angalia ulipojikwaa.

Tiba

Yani we binti una akili kama Joyce Banda. Ningekuwa sijaoa ningeleta posa kwenu.
 
Kwa hiyo unataka kutuambia utabaki na minyenyere inakuasha bila kukunwa,Please ni pm ili niwe natoa hizo nyenyere,coz babu atakuwa anachezea tu juju.

sitak mchepuko mie...ila nitakuweka wa dharura
 
mfuate na matarumbeta....

Ahahhahhhahaha umenikumbusha Moro maana ndo mambo yao hayo,mpaka sare inashonwa kisa msoto lol mbwa naye avalishwa sare chezea msoto weyeee..
 
Hivi hawa wanaume(kama kweli wapo) wanawezaje kuvaa uhusika wa kike na kuandika mambo yanayohusu wanawake? Kweli watu wanazidi kuwa mabwabwa kila kukicha
 
Hivi hawa wanaume(kama kweli wapo) wanawezaje kuvaa uhusika wa kike na kuandika mambo yanayohusu wanawake? Kweli watu wanazidi kuwa mabwabwa kila kukicha

Hata mi nashanga, kwenye thread ya makalio kasema anayatamani hayo makalio na matiti
hapa kaja eti mme wake mmmh
 
jamani nisaidieni nifanyaje mana kila siku nakuta smes za mapenzi kwny cm y mume wng. Amemsev jna lingine baada kupga cm nikagundua ni namb y rafik yng kpenz. Naomba ushauri

Pole hao ndo mashoa/marafiki wa kizazi kipya!
 
Pole mwaya kwa masahibu hayo

ila huo uandishi wako kidogo sijauelewa

tafuta suluhu kwa mshenga wenu au wale matron wako aliyekusimamia mwambie
hiyo issue kwani yule ni mtu wa muhimu kwako uenda akakusaidia kwani hapa
utabakia kusemwa na wala dawa usiipate


pili jichunguze wewe mwenyewe kama ukoje kwake uenda kuna mahali umepunguza
tatu hawa mabazazi wanamatatizo sana wao wanaona kuwa wako wema kumbe
ndo wanaotuletea majanga siye hivyo bestito kuwa makini na mumeo asijeleta dude
kwako kisha na kusema wewe nidiye umeleta kuwa makini katika ushirikiano pale 6
 
Hata mi nashanga, kwenye thread ya makalio kasema anayatamani hayo makalio na matiti
hapa kaja eti mme wake mmmh

yaani we acha tu, wa hivyo wana walakini mkubwa, mwanaume atabaki kuwa hivyo na mwanamke pia. Sasa mtu anakuja kuongelea makalio yake, tena Ni mwanaume kabisa, kweli inanipa shaka.
 
Back
Top Bottom