Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,965
Wanaume wengine ni suruali tu aibu hakuna!!! Huu ni udhalilishaji ila dada nakushauri fanya juu chini forward sms kwenye simu ambayo mumeo haifikii kirahisi ili asije zifuta au kukuvunjia simu bure. Then fanya kila uwezalo mwalike rafiki yako lunch home na jifanye hujui chochote na hapo mumeo dear ziwe kibao. Wakishamaliza kula tu wakati mmekaa unaipokonya simu ya mumeo halafu unasearch hilo jina then piga hiyo namba mwenyewe pale pale ili shoga yako ainue simu yake. Ila uwe jirani na shoga ili ikiita tu uone ameandika jina gani!!! Baada ya hapo sasa muulize mumeo akuambie maana ya jina alilosave la shoga yako!!! Hapa kigugumuzi kitaanza!! Baadaye toa sms waonyeshe ila hapa hakikisha uwe na simu umeweka back up kwa kuwa siku hiyo itakuwa mtiti na simu anaweza pasua!! sasa pale unawataka wakupe maelezo!! Tena ongea kwa upole kabisa!!! Watajikanyaga sana!! Then waambie kuwa ingieni chumbani mkafanye kabisa sasa hivi!!! Hapa ni kuonyesha kuwa hujali japo moyoni unajali na inauma!!! Hakika hawataenda!!! Sasa pale mtoe shoga yako kwa kumpiga kistuli kidogo usoni tena ukimkimbiza kama mwizi tena ikiwezekana andaa vijana nje ili wampige kwa haja ila waambie wasimuue ila tu wampige na kumvua nguo zote kabisa!!! Liwalo na liwe!!! Mume wa mtu naye sumu!!! Minunga yembe kwa nini msitafute waume zenu mnadandia tu wa wenzenu?? Kama mko humu hakika mtalaaniwa na kizazi chenu hadi cha nne nyie wanaume na wanawake mnaowatenda wenzi wenu kiasi hiki!!! Shame.
